Sabitlenmiş Tweet
موسى
5.1K posts


@CodeMetalai @hilarymbowe_ @octaa01 @frajo_ Mzee kwa macho yako huoni kama unadanganywa?? Kama ilizunguka dunia mara mbili inaamaanisha kuna sehem ilionekana kabla ya kufika mwezini hiyo mizunguko ilifanyika hapa duniani??? Au hiyo mizunguko miwili ilifanyika nje ya dunia???
Indonesia

@MosesGermanico @hilarymbowe_ @octaa01 @frajo_ Umefuatikia path wanayotumia? Ama wewe unaangalia macho yako yanapoishia kuona? Artemis ii iliruka kwenda juu hadi orbit ya chini zilipo satellite, ikazunguuka dunia twice, halafu hapo ndio inatumia nguvu nyingi zaidi kujitoa hiyo orbit (maana gravity ya dunia inakuwa inaivuta)…
Filipino

@CodeMetalai @hilarymbowe_ @octaa01 @frajo_ Ewaaaah hapa sasa nafikiri umenipata kama dunia haina muunganiko na mawingu kwanini mawingu yanaonekana juu tu???
Indonesia

@MosesGermanico @hilarymbowe_ @octaa01 @frajo_ Dah, hapa ndio nimeona kuwa hauelewi kabisa hii concept aisee. Nikisema Dunia wewe unaelewa ni nini? Labda tuanzie hapo halafu ndio nikuelekeze kuwa mawingu hayana muunganiko na Dunia
Filipino

@CodeMetalai @hilarymbowe_ @octaa01 @frajo_ Namaanisha kama dunia duara kwanini wasitumie uelekeo wa ndege kutoka nje ya duara badala yake wanatumia uelekeo wa kutoka chini kupandisha juu?
Indonesia

@CodeMetalai @hilarymbowe_ @octaa01 @frajo_ Kama unavyosema ndege haiendi straight, vipi hivyo vifaa wanavyoenda navyo angani uelekeo wake(unanyooka kwenda juu) na sio kama ule wa ndege???
Indonesia

@CodeMetalai @hilarymbowe_ @octaa01 @frajo_ Which means kila utakachoambiwa huwez kupinga wala kuhoji wewe ni wa kukubali tu???
Polski

@MosesGermanico @hilarymbowe_ @octaa01 @frajo_ Maelezo sio yangu. Ni well researched and documented scientific facts. Labda useme ni uvivu wako tu wa kusoma!
Filipino

@CodeMetalai @hilarymbowe_ @octaa01 @frajo_ Unaposema dunia ni duara ina maana ni kitu chenye umbo moja kama chungwa sio? Jee muunganiko wa mawingu(clouds) na ardhi upoje??
Nilikuwa nategema ardhi pia iwe na shape ya U
;NAOMBA KUJIFUNZA
Indonesia

@MosesGermanico @hilarymbowe_ @octaa01 @frajo_ Scales, ukubwa wa dunia ukilinganisha na ukubwa wa ndege ni ndogo kuliko sisimizi, hauwezi kuiona wala kuifeel curvature. Na pia unakuwa karibu sana na Dunia, ukitoka hadi kwenye lowe earth orbit ndio curvature inakuwa wazi (kama satellites zilipo na zinavyoizunguuka dunia)
Filipino

Hivi Bigi huwa ana elewaga matokeo kweli au yeye akienda uwanjani ni kupiga mapande tu mwa mwii!😂
The 44 ⚽️@The_Forty_Four
SOMEONE CHECK ON P DIDDY DAWSON 😭😭😭 HE MUST BE HAVING THE TIME OF HIS LIFE
Filipino

@CodeMetalai @hilarymbowe_ @octaa01 @frajo_ Hivi kwanini ndege ikiwa inatembea angani inakuwa straight na haioneshi kama inapanda duara kuelekea inchi zilizoko juu ya duara au chini ya duara???
Indonesia

The only “Jesus” i acknowledge is the first and the last two.
Cinema CLT 👷🏻@cinemaclt
🎬📺 | As versões de Jesus nos Filmes e na TV.
English

Leading @Arsenal to go nine points clear at the top of the Premier League table 🔝
A flawless March for Mikel Arteta sees him crowned @BarclaysFooty Manager of the Month ❤️

English

@MosesGermanico @EsirEid Umeambiwa uchafu mkubwa sawa, lakin bado hata ww hujui huo uchafu ni upi maana hamna tofaut ya aliyekula ng'ombe na ngruwe, anyway linabak kuwa swala la kiimani.
Filipino

#TajiriLaKihaya
Vipi Magharibi waliwezaje kuwashawishi Waafrika kwamba ndoa za wake wengi ni mbaya, lakini ushoga ni haki ya binadamu?
Indonesia

@Mackincheese23 @EsirEid Kwa Nguruwe tumeambiwa cha kwanza kwa sababu nyama yake inasababisha magonjwa na cha pili hacheui
Ingawa ukila utakupaswa ujisafishe ndani ya siku 7 ndio uwe msafi
Indonesia

@Mackincheese23 @EsirEid Najisi ni uchafu mkubwa ambao unaweza kukufanya ukajitenga na baadhi ya vitu, mfano sala, kushika quraan na vitu vingine
Kuna baadhi ya wanyama kwa waislam tumeharamishiwa kula au kuwagusa kwa sababu wanaweza kukufanya uwe mchafu au kuondoa Udhu
Kwa Nguruwe
Indonesia

@Mackincheese23 @EsirEid Hakuna andiko kwenye Quraan inasema kula nguruwe unapata dhambi bali nguruwe ni haram kwa sababu huleta najisi
Filipino










