Dr. Mianguko (PhD Causa)

21.2K posts

Dr. Mianguko (PhD Causa) banner
Dr. Mianguko (PhD Causa)

Dr. Mianguko (PhD Causa)

@Mpoyoki

Tuko Majaribuni kwa Shetani

Katılım Temmuz 2011
4.3K Takip Edilen2.6K Takipçiler
Dr. Mianguko (PhD Causa)
@PMadeleka @PMadeleka msitafute kupenda watu waovu kwa kusifia cover yao, ni kujikomba.... Kwa hiyo wote waliokwishtekwa na hawajapatikana wako kwa wachina? Vipi polisi hawajamtaja Semagei mtu wao?
Dr. Mianguko (PhD Causa) tweet media
Indonesia
1
0
0
431
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Hatimae, WATEKAJI wamejulikana. Hongereni sana POLISI kwa KUWAKAMATA WATEKAJI. Sasa TATIZO LIMEKWISHA.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
35
22
389
14.6K
Dr. Mianguko (PhD Causa)
@PaulKagame Tanzania has a big concern on its citizens, someone continues to abduct and murder. Can't you help even by mere condemnation? Lissu's Assistant was abducted yesterday 21 May 2026, hear him speak. Abdul Samia son is using the army and the Police to DESTROY PERSONS
Dr. Mianguko (PhD Causa) tweet mediaDr. Mianguko (PhD Causa) tweet mediaDr. Mianguko (PhD Causa) tweet media
English
0
0
0
18
Dr. Mianguko (PhD Causa)
@PaulKagame congratulations for the energy agreement... with an impositor... to you Samia is a criminal known to you too as a President in a failed election. So you ate your own vomit... to please a woman. No Tutsi is ever known to do that...Your agreement is an embarassment.
Dr. Mianguko (PhD Causa) tweet mediaDr. Mianguko (PhD Causa) tweet mediaDr. Mianguko (PhD Causa) tweet media
English
1
0
0
28
Dr. Mianguko (PhD Causa)
Dr. Mianguko (PhD Causa)@Mpoyoki·
@TheChanzo @zittokabwe @shivji sababu zinajulikana @SuluhuSamia alitaka sana uRais kwa kupigiwa kura lakini hakuona dalili za kushinda. Akalipa wahuni kuandaa vurugu na kujipa kura. Akaingiza jeshi kupiga watu risasi bado uchaguzi ukabuma. Akajiapisha faragha ili tu AITWE RAIS aendelee kuendesha uhuni!
Dr. Mianguko (PhD Causa) tweet media
Dr. Mianguko (PhD Causa) tweet mediaDr. Mianguko (PhD Causa) tweet media
Indonesia
0
0
0
24
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Prof. Shivji— kufuatia matukio ya Oktoba 29: Hatuwezi tukapiga hatua yoyote ile bila uwajibikaji Dar es Salaam. Prof. Issa Shivji amesema kuwa kwa matukio yaliyotokea hatutaweza kupiga hatua yoyote ile kama taifa kama hakutakuwa na uwajibikaji. Akizungumza kwenye mkutano wa kitaifa ulioandaliwa na chama cha ACT Wazalendo juu ya mkwamo wa kijamii na kisiasa uliopo Tanzania kufuatia matukio ya Oktoba 29, Prof. Shivji amesema kuwa uwajibikaji ni kiungo muhimu kwa haki na amani. Prof. Shivji ameeleza kuwa Tanzania tayari inayo historia ya viongozi kuwajibika yanapotokea matukio makubwa akitolea mfano mwaka 1976 baada ya kubainika Polisi na Usalama walitesa wananchi katika 'Operesheni Mauaji' iliyolenga kuwakamata watekelezaji wa mauaji ya vikongwe mikoa ya Shinyanga na Mwanza. Ametaja kuwa Mawaziri wawili walijiuzulu, wakuu wa mikoa wa Mwanza na Shinyanga walijiuzulu huku wakuu wa Polisi na Usalama wa mikoa husika walifikishwa mahakamani na kuhukumiwa.
Indonesia
7
55
161
3.2K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kwenda KUJADILI RIPOTI ambayo HAIJASOMWA, ni aina mpya ya UTAPELI wa karne hii.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
35
70
303
10.6K
Dr. Mianguko (PhD Causa)
Dr. Mianguko (PhD Causa)@Mpoyoki·
@PMadeleka @PMadeleka kuna makosa makubwa Samia anatakiwa impeachment:- 1. A campaign manifesto issue left as a war item. 2. Abduction and repatriation of an ICC Team sent to investigate. 3. Having sex inside Her office etc. Constitutional Court and Parliament. Murder innocents by shooting.
Dr. Mianguko (PhD Causa) tweet media
Dr. Mianguko (PhD Causa) tweet media
English
0
0
0
70
Dr. Mianguko (PhD Causa)
Dr. Mianguko (PhD Causa)@Mpoyoki·
@IamLyenda Kahama mmerudi enzi za kutembeza bendera baada ya Samia kumifyatulieni risasi na kuua ndugu zenu. Na kwa kufuata taratibu @UN @antonioguterres akawapa heshima ya kumkabidhi mwuaji wenu ICC hamkutaka kumkamata. Hilo jipya mnatangaza lipo kweli au ni ujinga hata hamjui mnachotaka?
Dr. Mianguko (PhD Causa) tweet mediaDr. Mianguko (PhD Causa) tweet media
Indonesia
0
0
0
47
LYENDA
LYENDA@IamLyenda·
Wananchi wa Kahama wanaendelea na maandalizi ya kuunadi mkutano wa Opereshini KATIBA MPYA, FREE LISSU utakaofanyika Mei 19. Wahudhuriaji watakuja wenyewe bila kuletwa na malori wala punda. Msajili wa vyama vya siasa tuachieni CCM tuwatoe jasho. Achaneni na huo mpango wenu.
Indonesia
6
79
449
9.1K
Dr. Mianguko (PhD Causa)
Dr. Mianguko (PhD Causa)@Mpoyoki·
@Royal_Tv_Tz @AMsongoma Heche hawawezi kujipeleka wenyewe, nyie ni Chama kikubwa wapelekeeni kesi zao ICC. Dunia yote inasema ni Wahalifu lakini hawataki kukamatwa. Kosa kubwa kuvunja Geneva protocol Samia kuwazuia wachunguzi, ICC iwakamate Samia na Jenerali Mkunda kwa sanction ya @UN @antonioguterres
Dr. Mianguko (PhD Causa) tweet media
Indonesia
0
1
1
79
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche amesema wahusika wa mauaji yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 hawawezi kukwepa kuwajibika kimataifa, akidai kuwa hata kama wataendelea kubaki madarakani bado watafikishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) ya The Hague. Heche ameyasema hayo leo jijini Mwanza wakati akizungumza kwenye kongamano la Wasomi wa Vyuo Vikuu lililoandaliwa na Mtandao wa Wanafunzi wa CHADEMA Vyuo Vikuu (CHASO). "Nataka niwahakikishie hata kwa namba hii waliyosema wenyewe waliyosema 518 lazima watakwenda The Hague hata wakifanikiwa kukaa madarakani mpaka wakamaliza watakwenda tu, hata wakituonea na kutubandika sisi kesi wakatuweka ndani, wakaifuta CHADEMA kama wanavyopanga wakafanya chochote amesema mwenyekiti wenu Historia huwa haiandikwi bali inajiandika," Hata hivyo Heche akitolea mfano taarifa iliyowahi kuripotiwa na kituo cha habari cha CNN kuhusu madai ya uwepo wa makaburi ya halaiki amesema endapo kama taarifa hizo hazikuwa na ukweli kwa nini chombo hicho kisingefunguliwa kesi ya kuichafua Serikali. "Zama hizi nizakufucha taarifa tunajidanganya tu na ndio maana CNN iliposema kuna makaburi ya haraiki waliishia kusema CNN inadanganya... Sasa kama imekuchafua si kuna kitu kinaitwa Defamation na hiyo is a Big defamation nchi ingepata Matilioni labda fedha za kulipa miaka mitatu kwa nini hawajawashtaki?," amesema.
Indonesia
2
43
163
4.1K
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Hawa ndio wabunge wa watu sasa na wabunge wanaotegemea kura za wananchi. Repost 200
Indonesia
31
479
1.8K
24.9K
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Free TUNDU LISSU Now.
Eesti
37
419
1.7K
22.5K
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Mkiwateka na kuwauwa wakosoaji wa ndani; nje Mungu atainua mawe kutusemea. Jaji IBRAHIM Juma wa tume ya CHANDE alituambia video ni za Gaza. Hawa wabobevu wa utaalam na wenye satellite za kuwezesha kuona vilivyofichoka watatuanika. Niliwaambia narudia tena mnatakiwa KUCHUTAMA.
Indonesia
8
128
495
14.9K
millardayo
millardayo@millardayo·
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema mafuta yote yanayonunuliwa kuanzia Mei 28, 2026 ndiyo yaliyopaswa kupanda bei, na si mafuta yaliyopo nchini kwa sasa. Heche ametoa kauli hiyo hii leo Mei 9, 2026 wakati wa harambee ya ujenzi wa Ofisi ya Chama cha CHADEMA Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara ambapo amesema mafuta yanaponunuliwa huchukua takribani siku 60 kabla ya kufika nchini, hivyo suala la kupanda kwa bei linapaswa kuzingatia muda wa manunuzi na si hali ya sasa pekee. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
5
24
217
14.9K
Freya Queen
Freya Queen@FreyaQueeni·
Can you name just one more word with "OO"?
Freya Queen tweet media
English
2.3K
123
508
108.6K
Dr. Mianguko (PhD Causa)
Dr. Mianguko (PhD Causa)@Mpoyoki·
@HildaNewton21 @HildaNewton21 bahati mbaya hata viongozi wako wameshindwa kujibu swali la @SuluhuSamia . Aliingia Ikulu na ahadi ya Katiba Mpya lakini akakuta Taifa lina mazuzu hayajui ni ya nini?! Naanza kumwona Samia ana akili nyingi sana kupima mabuda, Lissu na Heche wajipime wataishia jela!
Dr. Mianguko (PhD Causa) tweet media
Indonesia
0
0
0
24