Developed Speculator

1.6K posts

Developed Speculator banner
Developed Speculator

Developed Speculator

@MrNoely

I prefer dangerous freedom over peaceful slavery

Katılım Nisan 2020
1.7K Takip Edilen301 Takipçiler
MIRIAM💜
MIRIAM💜@MiriamMkanaka·
Nishabook 2024 wengine mjipangeee, Goodmorning Fam 💜
English
3
45
296
15.3K
Developed Speculator retweetledi
SA
SA@SalumAwadh·
FURSA ZA BIASHARA AMBAZO HAZIJAFANYIWA KAZI SANA KATIKA SEKTA MBALIMBALI (Zipo baadhi tayari zimeanza) KILIMO NA CHAKULA 1. Uhifadhi wa mazao baada ya kuvuna 2. “Ghost kitchen” - kuwa na jiko bila mgahawa, unapika na kufanya delivery kupitia app. Na jiko linakuwa shared na wapishi tofauti 3. Matumizi ya teknolojia kuanzia kuandaa shamba hadi chakula kumfikia mlaji (hapo katikaki fursa ni nyingi kwa kutumia tech) 4. Huduma za fedha na bima kwa wakulima 5. Usimamiza wa shamba (farm management) 6. Kulimia watu wengine na kuchukua percent (crowdfarming) 7. “Restaurant booking” SEKTA YA AFYA 1. Doctor-Patient booking kupunguza queing hospitali 2. Kutumia AI kugundua magonjwa mapema (AI early detection) 3. Home-based care 4. “bed-side imaging” 5. Pickup & delivery of lab samples from home HUDUMA ZA FEDHA 1. “credit scoring” kwa wasio na akaunti za benki 2. Robo-advisor - ushauri wa kuwekeza kutumia robot 3. Utoaji wa elimu ya fedha 4. “Profiling-based insurance products 5. FX hedging platform HUDUMA ZA UJENZI NA MAJENGO 1. Nyumba za bei ya chini (affordable housing) 2. “Smart homes” 3. “Real estate crowdfunding” 4. Real Estate Investment Trust (REIT) 5. Peer-to-peer mortgage platform 6. Green building technology Itaendelea…..
SA tweet media
Filipino
17
126
315
31.6K
Developed Speculator retweetledi
SA
SA@SalumAwadh·
Omba “RISK PREMIUM” Risk premium ni “return on investment” ambayo unatakiwa upate kwa kiwango kilicho juu ya “risk-free/low-risk investment return. Yani, ukiwekeza pesa zako kwenye uwekezaji wenye risk kubwa, basi return yake iwe kubwa kuliko return ambayo ungepata kama ungewekeza katika maeneo yenye risk ndogo. Mfano, kuwekeza katika hati fungani (bonds) kuna aminika kuwa risk yake ni ndogo, hivyo basi, mtu akikuletea uwekezaji mwingine wowote ambao risk yake ni kubwa kuliko bonds, hakikisha kuwa return yake inakuwa kubwa zaidi ya return ya bond. Mfano, bond ya miaka 5 sasa hv, utapata return ya 9.18% kwa mwaka, maana ake, any other investment ukiletewa mfano kuwekeza katika hisa, crypto, forex, startups, au commodities, return yake iwe kubwa zaidi ya 9.18%. Mfano, unaweza kuchukua 9.18% + inflation rate, unapata expected return yako. Inflation rate sasa hv ni 3.1%, hiyo ndo risk premium yako. 9.18+3.1% unapata 12.28%. Kwa hiyo, annual investment return yako ya kuanzia, nje ya bonds, ni 12.28%. Mtu akikuletea deal/investmemt opportunity, mwambie tuanzie hapo Akileta biashara ya kufuga kuku na return yake ni 10% kwa mwaka, piga chini. NOTE: Hii inaweza isi apply maeneo yote, inategemea na malengo na risk appetite yako. Mfano, highest residential rental yield Tanzania ni 10%, ni chini ya 12.28%, unaweza kukubali kama malengo yako ni kufanya kuwa na long-term capital appreciation (kuongezeka thamani kwa jengo lako), au kupata “regular cash flow”
SA tweet media
Indonesia
16
51
185
14.5K
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒@Its_elknows·
Baada ya kuwapa zile njia mbili za kutumia kutengeneza walau $500 kwa mwezi kutoka Gripped media, wengi wamesema ni ngumu pia wengine wamesema hawana budget ya $10 kwa ajiri kulipia matangazo, nitakupa njia hii ambayo unatakiwa kuifanya Sasa hivi ili kesho ulipwe Thread👇
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒 tweet media
Indonesia
57
273
449
124.7K
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒@Its_elknows·
Kuna thread niliwahi kuandika kuhusu kazi za Transcription ambapo niliwaeleza jinsi unavyoweza kujipatia mpaka $60 kwa siku kama utatumia AI, kuharakisha ufanyaji wa kazi, hii itakua thread ambayo ita cover transcription kwa ujumla Thread👇👇👇
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒 tweet media
Indonesia
21
227
391
70K
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒@Its_elknows·
CPA MARKETING MENTORSHIP ⭐️ Itaanza 11/7-12/7/2023 ⭐️ Itakua kupitia Google meet ⭐️ Mda itakua 09:30-11:59 pm Usiku ⭐️ Nafasi 20 Tu ⭐️ Gharama ni 30,000 Tu ⭐️ Namba ya malipo: 0759952554 (Mpesa) Fanya booking mapema kabla nafasi hazijaisha, mwisho wa kupokea hela ni 10,Jumamosi
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒 tweet media
Indonesia
7
23
89
18.8K
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒@Its_elknows·
Miongoni mwa mitandao ambayo unaweza kuitumia kutangaza affiliate product ni tiktok, kwa hapa Tanzania ni ngumu sana kutumia tiktok kutangaza bidhaa, hakuna watu watakao nunua product zinazouzwa $2000+ nitakuonesha njia za kupata tiktok ya marekani na jinsi ya kuimonetize 👇
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒 tweet media
Indonesia
20
93
263
39.5K
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒@Its_elknows·
Kumekua na changamoto kubwa sana kwa watu kulalamika kua Paypal haikubali kutoa pesa ukiwa Tanzania.. Pia makampuni mengi yamekua yanalipa kwa kutumia Paypal ambapo hiki kimekua kikwazo kwa watanzania wengi kupata maokoto online. Leo nitakuonesha njia 3 za kupata Paypal Thread👇
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒 tweet media
Indonesia
39
210
527
70.5K
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒@Its_elknows·
Kama ulikua miongoni mwa watu walishindwa kufungua akaunti kwenye INBOX DOLLARS ambayo ni website wanayolipa mpaka $5 kwa kufanya survey Basi hizi ni miongoni mwa website za survey unazoweza kujiunga na kujipatia pesa kidogo kwa kufanya survey popote pale ulipo Thread 👇
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒 tweet media
Indonesia
22
177
353
41.5K
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒@Its_elknows·
Watu wengi walikua wanataka namba kwa ajiri ya kufungulia akaunti ShareAsale pia hata kwenye survey za inbox dollars, Hii video nmeeaonesha njia zote youtu.be/ON-zRc5jIYg?si… Hapo kutakua hakuna shida tena upande wa kupata namba kwa ajiri ya kujisajiri
YouTube video
YouTube
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒 tweet media
Indonesia
10
56
127
12.4K
👨‍💻💰5.0
👨‍💻💰5.0@meetmelch·
HUITAJI PC KU-MAKE "SOME DOLLARS" KUFANYA HILI. Zingatia. - Uwe na Paypal, kma huna nenda kwenye YouTube ya @its__Elknows ameelekeza vyema sana, namna unaweza kua na paypal. - Uwe na VPN (Tumia Tunnel Bear VPN) ili mambo yasiwe magumu kwako. - Kingereza kizuri cha kuongea
👨‍💻💰5.0 tweet media
Indonesia
16
164
297
37.8K
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒@Its_elknows·
Kuna hii website mpya ambayo naona itakua bora kuliko inbox dollars Wala sliceapie sababu huhitaji kutumia VPN Wala Proxy kuweza kupata access ya ofa zake Huhitaji kuuza wala kununua product yoyote hii ni micro task website tu ambayo unaweza kupata mpaka $20 Kwa siku Thread 👇
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒 tweet media
Indonesia
18
74
184
38.8K
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒@Its_elknows·
Njia rahisi ya kuelewa internet marketing Kwa urahisi kabisa join Nigerian Yahoo boys group hawa watu wapo very smart linapokuja swala la kutumia internet Utajifunza skills na trick ambazo hata google huwezi kuzipata labda utumie onion link tu na hawa watu hawana wivu kabisa
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒 tweet media
Indonesia
10
29
95
6.9K
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒@Its_elknows·
Ngoja leo niwape njia mbili ambazo nimejifunza kwenye baadhi ya yahoo boys group ambazo Nigerian wanazitumia kutengeneza pesa nyingi na kununua Benz kupitia crypto ambazo wewe unatakiwa ukae nazo mbali kabisa Hizi ni njia kwa ajiri ya kutoa elimu tu ili usiwe muhanga Thread👇
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒 tweet media
Indonesia
11
28
91
15.1K
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒@Its_elknows·
Ngoja niwape njia hii ambayo kwa mwezi wa 12 ukiifanya utapata pesa nzuri pia hii ni kwa mtu ambaye yupo tayari kutenga mda wake kujifunza na kutake action Hii inahitaji mtu aliye tayari sababu inachukua mda sana sio simple kwa mtu mvivu kabisa Thread👇
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒 tweet media
Indonesia
8
38
150
22.6K
Developed Speculator retweetledi
Kelvin king
Kelvin king@Kelvinking_·
🔥 Giveaway Alert 🔥🔥 5x$5k Accounts up for grab ❗️Instructions: 1. Follow @fundingpips @Khldfx@Kelvin_Graph 2. Like and repost 3. Tag 2 friends Best of luck to all participants! Winners will be revealed in 2 days.
Kelvin king tweet media
English
1K
756
898
26K