Agwambo

47.7K posts

Agwambo banner
Agwambo

Agwambo

@Mukie254

Mind your tweets, not mine. Thank you 👏 #Arsenal 💘

Nairobi, Kenya Katılım Kasım 2011
2.8K Takip Edilen11K Takipçiler
Agwambo retweetledi
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Timu ya Arsenal iliyokuwa bingwa wa EPL 2004 bila kufungwa hata mechi moja ilipewa jina la “The Invincibles”. Timu ya sasa ya Arsenal ambayo imekuwa bingwa wa EPL baada ya miaka 22, ikifanikiwa kuwa bingwa wa UEFA leo hii itapewa jina la “The Unforgettables”. Kila la heri Arsenal
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
8
20
457
5.1K
Agwambo
Agwambo@Mukie254·
@Captain_Veer20 Na bado askari wa barabarani akachukua takrima mbele yako 🤣
Indonesia
1
0
1
66
Veer20
Veer20@Captain_Veer20·
Kumekucha Sasa Gm wakuu
Veer20 tweet media
Indonesia
65
27
231
20.9K
Agwambo retweetledi
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🔴⚪️🫂 Arsenal in training ahead of the Champions League Final.
Fabrizio Romano tweet media
English
1.6K
3K
73K
1.8M
Agwambo retweetledi
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Michezo 27 bila kupoteza kwa kocha Barker. Hatujamaliza, unbeaten zinaendelea. #NguvuMoja
Simba Sports Club tweet media
9
37
907
8.7K
Thealpha
Thealpha@thealpha24_·
Kesho hiyo mida kama hii: 40' PSG 3- 0 Arsenal
Thealpha tweet media
Indonesia
16
4
45
1.4K
ELIAS🇹🇿
ELIAS🇹🇿@Eliaskaneke·
Ukisema nina Degree, Una maana? Degree of Law Degree of Medicine Degree of Engineering Degree nyingine ni Ushahidi tu kuwa Ulisoma Chuo Kikuu 😂🙌 Sio kwa ubaya wasomi 😂😂🙌
Filipino
72
75
636
28.8K
Agwambo
Agwambo@Mukie254·
@Veriafya Lakini kiukweli huwa hawazianiki hivi uswahilini
Filipino
0
0
0
64
Veriafya
Veriafya@Veriafya·
Kuanika nguo za ndani juani ni muhimu kwa sababu mwanga wa jua huua vimelea kama Bakteria na Fangasi na kuzuia maambukizi ya ngozi na njia ya Mkojo. Pia husaidia kuondoa unyevu na harufu mbaya, kupunguza hatari ya magonjwa ya ngozi na ni njia salama kwa mazingira kwa kuwa inapunguza matumizi ya kemikali na umeme.
Veriafya tweet media
Indonesia
2
2
20
1.3K
Pablo
Pablo@MoruoKing·
Pablo tweet media
ZXX
2
1
7
229
Agwambo retweetledi
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Kitu cha kwanza Kumfundisha Mtoto Wako Naomba iwe ni Confidence. Hili ni Somo Ambalo litamsaidia Sana kulegeza Ukali wa Maisha.
Filipino
23
86
446
7.1K
Agwambo retweetledi
U.S. Embassy Dar es Salaam
Limetengenezwa kwa umadhubuti kama ilivyo kawaida ya magari yote aina ya Ford. Sasa yanasaidia kuhakikisha usalama wa reli nchini Tanzania. 🇺🇸🇹🇿 Magari ya TRC aina ya Ford Ranger Hi-Rail yamefungwa teknolojia ya laser ya kukagua njia ya reli ya SGR kwa haraka, ufanisi na kwa usahihi zaidi. Ubunifu wa Kimarekani, ukiwa kwenye reli. thecitizen.co.tz/tanzania/busin… @Ford
Indonesia
14
18
121
11K