NACOPHA
457 posts


@eacgiz @jumuiya @StartHubAfrica @NM_AIST @InnovationHubUg @RwandaICT @KENIAupdates @miic_ug great work...
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 English

We wrapped up the first phase of our "Digital Skills for Universities" training across six EAC Partner States! which kicked off in 🇨🇩.
Next up: digital skills development for unemployed grads. in Data Analysis, Visualisation & Storytelling. 🇩🇪🫱🏽🫲🏼@jumuiya #DigitalSkills #Education




English

Karibu usome Wasifu wa Kikundi Wezeshi Jitegemee Ichesa kilichopo Mahenje, Mbozi, Songwe.
Kikundi hichi kimewezeshwa kwa msaada wa @USAID kupitia mradi wa #HebuTuyajenge
#USAID #Hebutuyajenge #NACOPHA #UN #Songwe #Mahenje #Mbozi #AIDS #HIV #UkimwiZii

Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia

Bi Happiness Seneda, Katibu Tawala Mkoa wa Songwe alitukaribisha kwa moyo upendo na furaha katika safari yetu kuelekea kwenye mradi wa #JITEGEMEEICHESA wa @usaid #HebuTuyajenge.
#USAID #NACOPHA #HEBUTUYAJENGE #UKIMWIZIII #Tufikie959595 #BarazalaWaVIU



Indonesia

Mkurugenzi Mtendaji, Bwana Deogratius Rutatwa, aliwapokea wageni wetu kutoka @unaids_esa, @who_tanzania, @uniceftz, @unfpatanzania na wengine, kwa shangwe, furaha na ngoma za jadi, ikionyesha utamaduni na ukarimu wetu kama wana @NACOPHA.
#TraditionalDance #UN #NACOPHA #HIV #AIDs




Indonesia

@anneshongwe, @UNAIDS ESA Regional Director, advisers from @UNAIDSTanzania, and reps from @WHO_Tanzania, @UNICEFTanzania, @UNFPATanzania, and others paid @NACOPHA a visit to understand the impact of our #CommunityLedMonitoring work on the communities we serve. #NACOPHA #CLM




English

Kuelekea Siku ya UKIMWI Duniani, @nacophatz imeshiriki kikamilifu katika Kijiji cha Jamii kufuatillia kwa ukaribu ni changamoto zipi wanazopitia vijana na watoto katika suala zima la kinga dhidi ya maambukizi ya UKIMWI kwa makundi maalumu.
#letcommunitieslead
#jamiiiongoze2023




Indonesia










































