quo warranto

1.6K posts

quo warranto banner
quo warranto

quo warranto

@OmaryFadhiry

Everyone are equal before the law. Believer in NO REFORMS NO ELECTION

wherever justice is Katılım Ağustos 2017
251 Takip Edilen68 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
You're delaying me,let's go & Hang me. You've charged me with treason To scare me with a noose! I know you would like to see me fawning, trembling, accepting lies, but that will never happen. I would rather die telling the truth than live bowing down to hypocrisy @TunduALissu
quo warranto tweet media
English
0
0
0
95
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
@zittokabwe Bravoo MWAMI @zittokabwe , unfortunately you won Kigoma constituency Bt since you supported unincredible, unjust & unfair 2025 G.Election by insisting your party leaders to not only participate bt ALSO to Bless that illegality. See now even the Court has no diligence.
English
0
0
0
208
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
President Samia Suluhu Hassan is expected to launch the construction of the Standard Gauge Railway (SGR) from Tabora to Kigoma on Monday, July 20. It is a milestone worthy of recognition. For decades, the people of Kigoma have campaigned for a modern railway to connect the region with the rest of the country. That aspiration is finally becoming a reality, albeit later than many had hoped. thecitizen.co.tz/tanzania/oped/…
English
32
15
51
10K
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
@millardayo How can you guys Abduct, dissappear your own nurtured Diplomat & come up with this hypocritical answer. Fimbo ya mungu ni kali itamgusa kila aliyehusika mpaka kizazi chake cha saba...kusababishia vitukuu vyenu laana ambazo zitawatesa bure kabisa.
Indonesia
0
0
0
33
millardayo
millardayo@millardayo·
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Serikali inaendelea na uchunguzi kuhusu madai ya kutoweka kwa Mwanasiasa Humphrey Polepole. Kauli ya Katambi inakuja ikiwa ni siku 274 tangu kutoweka kwa Polepole alfajiri ya Jumatatu, Oktoba 16, 2025 katika Makazi yake ya Ununio, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es salaam hadi kufikia leo Julai 16, 2026. Kupitia mahojiano maalum na AyoTV, Waziri Katambi amesema, “Katika hayo ya utekaji kulikuwa na sura nyingi, sura ya kwanza mambo ya utekaji yalikuwa yanafanyika na Watu wenyewe unakuta ni raia kwa raia labda ni ugomvi, uhasama, chuki ama ubabe na kwasababu wanatofautiana misimamo fulani fulani mwisho inaonekana imefanyika na Watu kutoka Mamlaka za Serikali, utakumbuka juzi mauaji ya James Temba (aliyekatwa kichwa) walisema Serikali imefanya, Super Sami alitekwa wakasema Serikali ila uhalisia ukagundulika sivyo, na mifano mingine mingi kama yule Bonge wa Kimara (Tarimo) haikuwa Serikali” “Sisemi kwamba natetea tu Serikali, upande pia wa Serikali naweza nikafanya mimi Mwajiriwa wa Serikali kwakuwa nina visa na Mtu lakini sio kwamba nimetumwa na Serikali na wapo Askari ambao wamebainika kufanya makosa na wamechukuliwa hatua, Serikali haiteki inakamata na kumpeleka Mtu kwenye vyombo vya sheria” Katambi ameongeza kuwa uchunguzi wa masuala ya aina hiyo unahitaji muda wa kutosha ili kuhakikisha haki inapatikana kwa pande zote zinazohusika. “Ukiharakisha shauri haraka unaweza kuzika haki za Watu na ukichelewesha haki umeinyima pia haki hiyo, kuhusu Polepole taarifa ya mwisho Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilisema vinaendelea na uchunguzi na upelelezi juu ya jambo hilo na hata aliyekuwa anatoa taarifa hiyo niliiona kupitia Ayo TV, alisema inasadikika hakuwepo Nchini lakini kuna taarifa zinasema alikuwa Nchini kwahiyo kama ni kweli au sio kweli upelelezi unaendelea,”. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
90
18
527
60.6K
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
@royalmediatz Huyu ni mpumbavu mmoja tu alielewa fedha na marupurupu ya dola haramu. Huwezi kulipwa mshahara na wa tz alafu ukawa na kiburi namna hii na mungu akakuacha.
Indonesia
0
0
0
21
Royal Media
Royal Media@royalmediatz·
“Katika hayo ya utekaji kulikuwa na sura nyingi, sura ya kwanza mambo ya utekaji yalikuwa yanafanyika na Watu wenyewe unakuta ni raia kwa raia labda ni ugomvi, uhasama, chuki ama ubabe na kwasababu wanatofautiana misimamo fulani fulani mwisho inaonekana imefanyika na Watu kutoka Mamlaka za Serikali, utakumbuka juzi mauaji ya James Temba (aliyekatwa kichwa) walisema Serikali imefanya, Super Sami alitekwa wakasema Serikali ila uhalisia ukagundulika sivyo, na mifano mingine mingi kama yule Bonge wa Kimara (Tarimo) haikuwa Serikali” “Sisemi kwamba natetea tu Serikali, upande pia wa Serikali naweza nikafanya mimi Mwajiriwa wa Serikali kwakuwa nina visa na Mtu lakini sio kwamba nimetumwa na Serikali na wapo Askari ambao wamebainika kufanya makosa na wamechukuliwa hatua, Serikali haiteki inakamata na kumpeleka Mtu kwenye vyombo vya sheria” “Ukiharakisha shauri haraka unaweza kuzika haki za Watu na ukichelewesha haki umeinyima pia haki hiyo, kuhusu Polepole taarifa ya mwisho Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilisema vinaendelea na uchunguzi na upelelezi juu ya jambo hilo na hata aliyekuwa anatoa taarifa hiyo alisema inasadikika hakuwepo Nchini lakini kuna taarifa zinasema alikuwa Nchini kwahiyo kama ni kweli au sio kweli upelelezi unaendelea."- Patrobas Katambi, Waziri wa mambo ya ndani akizungumza na AyoTv leo Alhamisi Julai 16, 2026.
Royal Media tweet media
Indonesia
17
2
52
6.1K
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
@ZakayoMmbaga @ZakayoMmbaga aaa sana kaka. Yani hata mimi nlivoskia hizi rumors oh heche anajenga mjengo mkali kuptia fedha za wizi nkadhani basi ni anajenga kijiji kizima, Watz tutakufa na akili zakimaskini walahi kama huu ndo utajiri tunaodhani
Indonesia
0
0
1
277
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
@sukununu01 Ww ndo umerogwa mkuu, unaona vibaya mbna hao wapo kawaida sana.
Filipino
1
0
0
72
SUKUNUNU 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01·
Kwa hawa mabinti wa sikuiz wamerogwa nanani ?
Filipino
7
6
72
24.2K
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
@PMadeleka But @PMadeleka, it isn't BY their IGNORANCE, they exactly knows what's Activism & it's contribution in the process of JUSTICE. They're just hypocrites. They can never fool us endlessly
English
1
0
1
29
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
I have decided to give a FREE LESSON to those who, by their IGNORANCE 👇, do not know the REAL meaning of ACTIVISTS and the NOBLE ROLE of Lawyers in serving JUSTICE.
Peter Madeleka tweet media
English
8
21
93
3.8K
quo warranto retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Free SC Tundu AM Lissu Now!!
Eesti
4
89
419
5.2K
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
KtK siku hii muhimu kwako yakuzaliwa kaka @HecheJohn, napenda kukukumbusha nakukutia moyo kuwa, ktk mapambano haya ya haki dhidi ya dhulma unabaraka zote na muumba na za watanzania, Pamoja nakukutakia siku njema ya mfanano wakuzaliwa kwako nakuomba usichoke kusimama ktk Haki 🙏.
quo warranto tweet media
Indonesia
0
0
0
11
mkadimba jnr
mkadimba jnr@Mkadimbajnr·
Huyu Babu tale vipi?😂
Türkçe
44
7
140
55K
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
@Jambotv_ Huyu katibu matako yake, Heche hatoki madarakani na hakuna anaepisha uchunguzi. Waambieni MaCCM njama hii wamekwama. Huu mkakati wakutuvuruga CDM umekwama
Indonesia
0
0
0
5
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Morogoro kimeitaka mamlaka ya chama hicho kuchukua hatua ya kufanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma za kifedha zinazomkabili Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche na kutoa majibu rasmi ili kuondoa sintofahamu miongoni mwa wanachama na wananchi wa Tanzania. Akizungumza na wanahabari usiku wa kuamkia leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Katibu wa CHADEMA mkoani humo Barnabas Okola ameeleza kuwa viongozi wa Chadema ni binadamu na siyo malaika, na hivyo wanapaswa kuongozwa na kanuni na taratibu za chama na kwamba ikiwa tuhuma hizo ni nzito, ingekuwa vyema hata Makamu Mwenyekiti akajivua nafasi yake kwa muda ili ukweli ubainike. Okola amebainisha kuwa uvumi kwenye mitandao ya kijamii ambao umekuwa ukidai kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amekuwa akipokea michango ya "tonetone" kutoka kwa wadau lakini haifikishi kwenye chama si wa afya kwa chama, akisisitiza kuwa jambo hili ni lazima lizungumzwe na kutolewa ufafanuzi kwa sababu lisiposemewa, linaweza kuonekana kuwa ni kweli.
Indonesia
171
10
101
37K
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
@joeselasini Asa 3M nikubwa bwana madelu, ww mbna unakunja M mingi tu mixer Per deum waTz tunakutzama tu. N ways ata kama analipwa ilimradi huyo mtu yuko upande wakutete haki na usawa basi na aendelee kulipwa tu
Indonesia
0
0
0
84
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Umeshawahi kuusikia huu uongo? Mamlaka anayo uwezo wa kuchukua hata anao; anatumia muda, mafuta ya magari na analipwa kwa kodi zetu kuropoka uongo majukwaani. Kama kijana yupo kwanini asikamatwe na kuhojiwa kwa uchochezi? Watanzania wamewakataa sasa mmegeuka "content creators."
Filipino
49
46
270
18.9K
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
@PMadeleka Hapa sasa Madeleka kawa serious. Limadeleka ndo hili sasa
Filipino
0
0
0
5
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Waziri Patrobas Katambi, HANA MAMLAKA ya kuzuia jambo ambalo LIMERUHUSIWA KIKATIBA chini ya Ibara ya 3(1). Mikutano ya Hadhara ni HAKI ya Vyama Vya Siasa, kwa mujibu wa KATIBA na SHERIA. Kama HAMTAKI UPUNZANI, BADILISHENI KATIBA.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
48
136
841
18.5K
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
@JamiiForums Hii ndio Tofauti ya professional military officer na unprofessional military officer, hawa soldiers wakenya wamekuwa recruited from the one's who's their competence has no doubt. Sisi Malawi mtu ana join military kwanza kwa kupenyezwa na ndgu yake ni at sababu tu amekosa option
Indonesia
0
0
0
60
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
KENYA: Baadhi ya Wananchi wameandamana Juni Mosi 2026 na kufika nje ya lango kuu la Kambi ya Jeshi la Anga ya Laikipia iliyopo Nanyuki kupinga mpango wa kuanzishwa kwa kituo cha karantini na matibabu kwa ajili ya raia wa Marekani waliokumbwa na Virusi vya Ebola. Mdau, Una lipi la kusema? Shiriki mjadala jamii.app/KDFWaandamaji #JamiiForums #Governance #Accountability
Indonesia
11
45
307
19.4K
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
@millardayo Kwahiyo hiyo ndiyo hoja yakujitetea? Nikweli matatizo hayajawi kuisha ila haya matatizo yakwetu mmechagua wenyewe kutoyamaliza kwa kuendekeza matumbo yenu na familia zenu.
Indonesia
0
0
1
94
millardayo
millardayo@millardayo·
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi amesema Serikali haiwezi kumaliza changamoto zote kwa siku moja ndiyo maana inaendelea kukusanya mapato kwa ajili ya kuharakisha maendeleo. Akizungumza leo Mei 31, 2026 Wilayani Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Kihongosi amesema “Kujenga Nchi ni kazi ngumu, wengine mmehamia kwenye Nyumba zenu hata madirisha na milango hamjaweka, lakini mkaamua kuishi hivyo hivyo kwa sababu fedha hazikutosha, sasa mnashangaa nini mambo yasipokamilika kwa wakati? Kadri Serikali inavyokusanya mapato na bajeti inavyopatikana, ndivyo maendeleo yanavyoendelea kwenda mbele.” #MillardAyoUPDATES
Indonesia
21
3
40
6.1K
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
@Royal_Tv_Tz Hii kichwa ya madelu sijui ina togwa humo ndani. Hivi wewe ndiye kiongozi wa shughuli za serikali, wewe ndie wazir mkuu ambaye wizara zote zipo Chini yako unaletewa swala zito swala linalohusu UHAI, unamwagiza mtu mdgo kbsa RPC kwann usi react instantly ww mwenyewe? Rubbish
Indonesia
0
0
2
320
ROYAL TELEVISION PLUS
ROYAL TELEVISION PLUS@Royaltv_plus·
VIDEO: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba ameendelea na ziara ya kikazi Mkoani Singida ambapo pamoja na mambo mengine amekuwa akitumia ziara hiyo kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo, kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi nk, Akiwa Wilayani Manyoni, Waziri Mkuu amepokea kilio cha Bibi Joyce Abel ambaye amedai kwamba takribani siku 40 zimepita tangu watu waliofika nyumbani kwake na kujitambulisha kuwa ni askari wamchukue mtoto wake na kuondokanae kusikojulikana, na kwamba hadi sasa hajuwi alipo mtoto wake na hajuwi huko alipo ni mzima au la, Bibi huyo ameeleza kuwa amefika kwenye Kituo cha Polisi ili kuhoji endapo mtoto wake anashikiliwa na Polisi lakini aliambiwa kuwa hayupo kwao, na kwamba kwa sasa majibu aliyonayo kutoka Polisi ni kwamba wanapeleleza jambo hilo, Baada ya kupokea kilio cha Bibi Joyce Abel, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alimuelekeza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida kuwasiliana na Bibi huyo, kimsikiliza na kujuwa 'shauri lake' limefikia wapi.
Indonesia
16
27
129
6.5K
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
@TanzaniaGains Aya sawa yote ya yote tufanye samia ni Rais wa mkndn mwako. Killer of innocent civilians cannever be my prsdnt
English
0
0
0
11
Mr Mchambuzi
Mr Mchambuzi@TanzaniaGains·
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, ameonyesha dhamira thabiti ya kuendeleza Jeshi la Polisi na kuhakikisha kila Mheshimiwa na kila raia anaishi salama. Ahadi zake zilizotolewa wakati wa kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi, Kozi Na. 1 ya mwaka 2025/2026, zinadhihirisha kujali kwa kina usalama, nidhamu, na ufanisi wa Jeshi la Polisi. Ushirikiano huu unaimarisha imani ya wananchi na kudumisha amani nchini. Hatua za Rais Samia Suluhu Hassan kuwekeza katika mafunzo, ujuzi na ustawi wa maafisa wa polisi ni dhihirisho la kuona kwamba maendeleo ya Taifa yanafanikiwa pale ambapo usalama umeimarishwa. Tanzania inaendelea kuwa na Jeshi la Polisi lenye weledi, uadilifu na uthubutu wa kulinda amani.
Mr Mchambuzi tweet media
Indonesia
1
22
19
197