Petermsaki

13.5K posts

Petermsaki banner
Petermsaki

Petermsaki

@Petermsaki941

C.e.o Ndichielectronics Company LTD Ndichi_Automotive Founder: Oppotanzania Undefeated Mind🇹🇿🇰🇪🇨🇳 🇦🇪 for Bussiness kindly dial https://t.co/xbCuhW0V9U

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2018
1.7K Takip Edilen5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Petermsaki
Petermsaki@Petermsaki941·
Kuudhuria Kanisani, Msikitini au nyumba ya ibada kila Week walau mara moja kuna mchango mkubwa sana katika kukuongeza hofu ya Mungu na kukufanya uishi maisha ya kumpendeza Mungu ambapo kuna mda hata upitie magum kiasi gani unakuta Mambo yako yanaenda tu.
Indonesia
17
41
337
0
Petermsaki
Petermsaki@Petermsaki941·
Panapohitaji Damu usiweke maji utachelewa.
Indonesia
0
0
1
23
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kitaalam mlisema hii ndo inaitwaje vile???😂
Indonesia
124
186
829
29.3K
Petermsaki retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
GIRISHONI alijua akiongea kwa KUFOKA kama anaongea na watoto wake ndio CNN watagwaya. Haya Kumbe YEYE GIRISHONI alitumiwa maswali akapotezea nafikiri hapo shida itakuwa LUGHA. NAONA Larry nae kwenye hii taarifa ameona atumie kiswahili ili GIRISHONI AELEWE huenda LUGHA ni tatizo kwa GIRISHONI. Jana anaongea kwa mbwembwe nyingi kumbe Limelaza mshale lugha haipandi. TUTAKUWEPO🫵😎
Indonesia
21
185
890
27.8K
Petermsaki
Petermsaki@Petermsaki941·
@swahilitimes Hii ni danganya toto wenye haiba ya uwajibikaji tunawajua
Indonesia
0
0
1
29
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza wafanyakazi wazembe na wala rushwa wasihamishwe vituo, badala yake wafukuzwe kazi.
Indonesia
35
1
62
5.8K
Petermsaki
Petermsaki@Petermsaki941·
@YerickoNyerereT @freemanmbowetz unapuyanga masta Fam alishapoteza reputation yake ana zero endorsement haina come back hiyo tena tafuta wakuwazungumzia ila sio madalali wa kisiasa
Filipino
0
0
0
84
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Pichani ni Mh Freeman Mbowe akimkumbatia Godbless Lema. Mimi binafsi, Nitajitahidi angalau niwe na hata robo tu ya moyo wa Mh @freemanmbowetz katika maisha yangu…. Moyo wa kutowachukia wabaya wako, waliokuumiza, waliokuvunjia heshima, waliokutusi matusi ya nguoni. Haw nitawapa nafasi ya kuwashika mkono popote niwezapo! Moyo kama huu wa Freeman Mbowe niliusikia na kuusoma kwa Papa wa Roma John Paulo wa pili aliyepigwa risasi katika jaribio la kuuawa mwaka 1981 na Bwana Ali Agca kwa misukumo ya kiimani. Papa wa Roma kiongozi wa Kanisa Katoliki John Paul wa II, baada ya kupigwa risasi, alilazwa wodini kwa majuma kadhaa, na kisha baada ya kupona alikwenda gerezani alikokuwa amefungwa muuaji wake akakutana na akazungumza na Ali Agca ambae muda huo alikuwa jela kwa kufanya jaribio hilo la kumuua Papa huyu Mei 13 mwaka 1981 mjini Vatican Roma Italia. Katika mshangao wa ulimwengu, Papa wa Roma alimsamehe na kumwachilia moyoni mwake na kumuombea msamaha kwa ulimwengu wa sheria. Kisa hiki ni kirefu na kina nadharia nyingi na maswali mengi yasiyo na majibu. Hivi ndivyo leo Mh Mbowe anafanya, anamkumbatia na kucheka nae Bwana Godbless Lema mmoja ya genge la wahuni waliotembea nchi nzima wakimtusi na kumvua nguo zote Mh Mbowe, mmoja wa watu waliomtweza na kumfedhehesha kwa viwango ambavyo hata shetani mmiliki wa uovu aliviogopa. Lakini kwa Mbowe hilo ni sadaka kwa ulimwengu wa wema anasema kwa vitendo njooni kwangu enyi wa ovu nami nitawatakasa na kuwa wema. Nimfananishe na nani mtu huyu? Mbona mimi siwezi hata kushika kamba za viatu vyake? Ninapata somo kubwa sana, nitajitahidi sehemu ya maisha yangu angalau nichote makuzi na maonyo ya Freeman Mbowe hata robo tu, na katika hili nimeanza, najitahidi kupokea na kuvumilia matusi na udhalilishaji wa mashabiki zangu mitandaoni nimejizuia sana kublock yeyote, nahisi nitaweza japo inahitaji moyo mkuu, pengine nikizeeka nitakanyag nyayo za mwalimu, baba na mzee wangu Freeman Mbowe. Na Yericko Nyerere
Yericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet media
Indonesia
141
7
103
20.3K
Petermsaki
Petermsaki@Petermsaki941·
@hancymachemba 😂😂😂kaka usifanye nikutoe kwenye kundi la wenye akili timamu, kwa yanayoendelea kwetu hata tusiposhabikiwa na majirani but the law of nature mast operates iwe mvua iwe jua kwa amani au kwa upanga haki itapatikana tu, majirani has nothing to do with our country
Indonesia
0
0
0
80
Hancy Machemba
Hancy Machemba@hancymachemba·
Kama taifa tunapaswa pia kutafakari ni kwann majirani wanatushabikia sana kwa sasa kuliko wakati wowote? Kwann majirani zetu wapo tayari kutupa msaada wowote ili kuhakikisha kimewaka? Kwann majirani wameibeba vita yetu ya kupambania HAKI kama yao? WANATUPENDA SANA?
Indonesia
659
57
332
496.3K
Petermsaki
Petermsaki@Petermsaki941·
@MelaninAliyah1 kauli ya raisi sio sheria mpaka hapo inaonyesha kua mhimili wa utaoji haki hauko huru na umewekwa makwapani hakukua na haja kuiweka hiyo kauli na haikua sehemu ya uchafuz wa 29
Indonesia
0
0
0
137
Aliyah
Aliyah@MelaninAliyah1·
𝐌𝐀𝐊𝐎𝐒𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐊𝐔𝐒𝐔𝐃𝐈 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐕𝐈𝐃𝐄𝐎 𝐘𝐀 𝐂𝐍𝐍 𝐘𝐀 𝐋𝐀𝐑𝐑𝐘 𝐌𝐀𝐃𝐎𝐖𝐎 Larry hajaeleza tamko la Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu kuwaachia huru vijana waliokamatwa kufuatia vurugu zilizotokea tarehe 29 Oktoba. Hajaeleza pia hatua ya Rais Samia kuhoji mbinu zilizotumika kuwadhibiti waliosababisha vurugu hizo, akisisitiza kuwa kulipaswa kuwepo na njia mbadala zilizo salama zaidi. Vilevile hajaeleza maagizo ya Rais ya kuhakikisha uchunguzi wa haraka unafanyika ili kubaini chanzo cha vurugu hizo za Oktoba 29. Ameeleza kuwa vijana waliingia barabarani kwa sababu uchaguzi haukuwa wa haki. Hoja hii haina ushahidi wa kutosha, kwani waliotajwa kuanzisha vurugu hawakuwa na mabango ya kueleza madai yao, na wengi wao walijikita zaidi kwenye vurugu badala ya kueleza malalamiko yao. Taarifa ya uchunguzi wa CCN haiko sawia (balanced), kwa kuwa imetoa takwimu ambazo hazijathibitishwa kikamilifu. Kwa mfano, idadi ya vifo imedaiwa kupatikana kutoka kwa viongozi wa upinzani, lakini haijafafanuliwa ni kwa wakati gani au kwa utaratibu gani walizipata takwimu hizo.
Aliyah tweet media
Indonesia
81
6
25
5.6K
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Naungana na Msimamo huu madhubuti. Pamoja na wajumbe wengine wote kutokidhi vigezo vya UCHUNGUZI HURU lakini kuwemo kwa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi @DrTaxs kwenye Tume ilhali JWTZ ni watuhumiwa ni UTANI wa hali ya juu kwa Watanzania waliouwawa, kujeruhiwa na kupoteza mali zao.
ACTWazalendo@ACTwazalendo

TAARIFA KWA UMMA Chama cha @ACTwazalendo kinapinga na kinakataa kabisa Tume iliyotangazwa na Rais @SuluhuSamia kuchunguza matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

Indonesia
132
63
374
78.2K
Petermsaki
Petermsaki@Petermsaki941·
@MiriamMkanaka Tanzania kuna the so called wasanii kioo cha jamii sijui wachekeshaji baadhi ni narrow minded they dont know even their role to the society yet they want to be influencers na wapate deals kuinfluence society🚮
English
0
0
0
352
Petermsaki retweetledi
MIRIAM💜
MIRIAM💜@MiriamMkanaka·
We Made the wrong people famous aisee 💔
English
66
224
1.6K
60.4K
Petermsaki
Petermsaki@Petermsaki941·
@PMadeleka Utalipia maiti mpaka lini? pigania Reforms zipatikane acha uduwanzi
Filipino
0
0
0
132
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Biashara ya KUUZA MAITI ni USHETANI. Licha ya KULIPIA MAITI 17 za waliokuwa wakazi wa KIVULE, nitaendelea KULIPIA MAITI zote “ZINAZODAIWA MOCHWARI”, bila kujali kama nitakuwa MBUNGE WA KIVULE au vinginevyo.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
28
17
324
14.1K
Petermsaki
Petermsaki@Petermsaki941·
Mungu atuepushe na wanawake Malaya
Filipino
0
0
1
100
Petermsaki
Petermsaki@Petermsaki941·
@rollymsouth eee Mungu Baba na mimi nipe Rozi rozi sitawatambia watu wako
Indonesia
0
0
4
858
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Huwezi kusikia hizi kauli kwa watoto waliotoka familia tajiri, masikini wakipata ndio huwa wanaona wasio na kazi ni wavivu
Latto 𝕏@Rydx_017

Diamond..

Indonesia
176
141
1.2K
104.8K
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
1/2 TAARIFA: Sitoweza kuendelea na mchakato wa Uchaguzi au kushiriki kwa vyovyote vile uchaguzi Mkuu huu wa 2025. Nimeshatoa taarifa kwa Chama kuwa kitafute mtu wa kugombea Jimbo la Iringa Mjini as long as sijachukuwa FOMU ya Serikali na muda bado upo.
Vitus Nkuna tweet mediaVitus Nkuna tweet media
Indonesia
187
49
506
99.3K
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
Mimi nimekulia Chadema na nimeishi maisha ya Chadema kwa miaka yangu yote mpaka 17 May 2025. Chadema ni NYUMBANI, sasa nitafuata taratibu za Nyumbani kurudi NYUMBANI. Vijana,Marafiki zangu na yeyote niliemukwanza naomba MNISAMEHE ndugu zangu🙏. Aluta continua ✌️ NITAONGEA ...
Vitus Nkuna tweet mediaVitus Nkuna tweet mediaVitus Nkuna tweet media
Indonesia
448
167
1.2K
123.1K
HABARIMPYA TV
HABARIMPYA TV@HabarimpyaTv·
VIDEO: Alichosema Ummy Mwalimu baada ya Jina lake kukatwa kwe Ubunge Tanga Mjini,.
Filipino
64
26
305
21.8K
Ummy Mwalimu
Ummy Mwalimu@ummymwalimu·
Octoba 29, Tanga Mjini tunatiki kura zote za Ndiyo kwa Dkt Samia Suluhu Hassan✅, Mbunge Kassim Mbaraka Amari✅ na Madiwani wa CCM✅
Jambo TV@Jambotv_

VIDEO: Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, ametoa wito kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo hilo kumuunga mkono Kassim Amari Mbaraka, aliyepitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuwa mgombea wa ubunge wa Tanga Mjini, huku akisisitiza umuhimu wa kuvunja makundi ndani ya chama. Ummy ametoa kauli hiyo Jumatatu, Agosti 25, 2025, akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam, akisema maamuzi ya chama yanapaswa kuheshimiwa na kila mwanachama. "Kwa sisi WanaCCM pale ambapo chama tayari kimefanya maamuzi ya kumteua mtu kuwa mgombea wa CCM katika uchaguzi wa vyombo vya dola, wajibu wetu sisi sote ni kuheshimu uamuzi huo. Ninawaomba sana ndugu zangu kumuunga mkono ndugu yetu Kassim Amari Mbaraka ambaye ameteuliwa na chama chetu kuwa mgombea wetu wa Jimbo la Tanga Mjini," amesema Ummy. Kauli hiyo ya Ummy inakuja siku moja tu baada ya makundi ya wanachama wa CCM Tanga kuandamana na kutangaza kurejesha kadi zao za uanachama wakipinga uamuzi wa Halmashauri Kuu kumteua Mbaraka, licha ya Ummy kuongoza kwa kura nyingi kwenye kura za maoni. Wanachama hao, wakiongozwa na Mwinyi Zahoro Bakari, Mwenyekiti wa Tawi la CCM Chungurira, walifika katika ofisi za CCM Wilaya ya Tanga kuwasilisha malalamiko yao. Walisema hatua ya chama kumpitisha Mbaraka, aliyepata kura 80 pekee kwenye kura za maoni, badala ya mshindi Ummy aliyepata kura 5,750, ni dharau kwa wanachama wa ngazi za chini. Aidha, walionya kuwa endapo chama hakitafanya marekebisho kwa kumrejesha Ummy, hawatakuwa tayari kumuunga mkono mgombea aliyeletwa na badala yake watampigia kura mpinzani. Katika kura za maoni zilizofanyika Agosti 4, 2025, Ummy Mwalimu aliongoza kwa kura 5,750, akifuatiwa na Omary Ahmed Ayoub mwenye kura 4,146, huku Kassim Amari Mbaraka akishika nafasi ya nne kwa kura 80 pekee, lakini baadaye akatangazwa kuwa mgombea rasmi wa CCM.

Indonesia
202
22
430
52.6K