Mkulima wa Kahawa

17.6K posts

Mkulima wa Kahawa banner
Mkulima wa Kahawa

Mkulima wa Kahawa

@ItsTemba

Baba|Mwenyekiti Vijana Kaskazini mwa🇹🇿 |MP-Rombo🤲🏾Mkatoliki&Mseminari|Mpiganaji Duniani&Mwandaa Makao Mema Mbinguni|Ardhi University X-President|Arsenal Fan

Rombo-Tarakea Katılım Temmuz 2015
1.8K Takip Edilen13.5K Takipçiler
Mkulima wa Kahawa retweetledi
Edwin Sifuna
Edwin Sifuna@edwinsifuna·
Wanaharakati kutoka Kenya walifanyiwa unyama wa ajabu kule Tanzania juzi tu. La kuvunja moyo zaidi ni zile kejeli baadhi ya wabunge wa Tanzania waliwaelekezea wanaharakati hao kwenye vikao bungeni. Sasa rais Ruto ameratibiwa kuhutubia bunge hilo hilo wakati hatujapata maelezo ki rasmi kama wakenya kwa uovu huo. Ndugu zetu wa Tanzania jueni hatujamtuma mtu! Tunasimama na haki, demokrasia na uhuru wa wananchi katika kanda hii yetu na hatuezi kuonekana kutambua uongozi wa ki imla.
Edwin Sifuna tweet mediaEdwin Sifuna tweet media
Indonesia
160
1.3K
3.7K
96.4K
Mkulima wa Kahawa retweetledi
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
“Much love, my friend—I miss you deeply. You are still one of the finest brains this country has. I’m keeping you in my prayers—may God give you the courage, strength, and resilience to rise above every challenge before you.”
Peter Msigwa tweet media
English
209
318
1.9K
68.8K
Mkulima wa Kahawa
Mkulima wa Kahawa@ItsTemba·
Jimbo Kuu Katoliki Arusha, Parokia ya Mtakatifu Monika, Sakina. Mightiness of the mother Church.
Mkulima wa Kahawa tweet mediaMkulima wa Kahawa tweet media
Filipino
5
5
99
3.9K
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Madueke ni taka ngumu.
Indonesia
91
77
1.1K
34.6K
Mkulima wa Kahawa
Mkulima wa Kahawa@ItsTemba·
@JamesMbowe4 James ndugu sikuizi umekua kituko na kichekesho machoni pa jamii!?? What happened with you chief??
Indonesia
1
0
9
1.6K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Baba Mchungaji @revdrelionakimaro kwanza nianze kwa kukupa pole kwa taarifa hii ya Uzushi dhidi yako iliyotengenezwa na wanaharakati na kusambazwa kimkakati ili kuchafua Heshima yako na Heshima ya Kanisa. . Kwanza kabisa walioandaa Bango hili Hata hawajui Muundo wa Kanisa ndio maana kwenye hili Bango wameandika KKKT Dayosisi ya Kijitonyama. Kwenye Kanisa hatuna hiyo Dayosisi. Bali tuna KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani Usharika wa kijitonyama. . Najua umetukanwa sana mtandaoni kwa jambo ambalo Hata wewe hulijui nachoweza kukuambia jipe moyo Mkuu kwani Muda ni mwalimu mzuri kuna Siku Watanzania watakuja kugundua mpango na nia Ovu ya wanaharakati ya kuzusha na kusambaza taarifa za Uongo ili kuchafua na kuharibu reputation za watu. Maadamu sasa wamefika kwa Mtumishi wa Mungu tena kwa jambo ambalo halina ukweli wowote uwe na Hakika Mungu hatanyamaza.
James Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet media
Indonesia
75
7
75
29.6K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Huwa najisikia raha sana Rais Samia akiwa anatupungia mkono aseee 😄🙌🏿🙌🏿 ndiyo maana huwa napenda kukaa mbele mbele kwenye kongamano au mkutano wake wowote. Ile tu Presence yake unajua huyu ni Rais wa JMT na yupo mahala hapa💪🏿.
Thom Mnkondya tweet media
Filipino
63
8
44
5.5K
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania 2025 kupitia CHAUMMA na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA upande wa Zanzibar Salum Mwalimu amesema kuwa ana imani kubwa na Tume ya Jaji Chande inayochunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025. Salum amesisitiza kuwa Tume hiyo ni ya Watanzania wote kwani inakwenda kutibu majeraha yaliyokotea na amesisitiza umuhimu wa Maridhiano pale ambapo tume hiyo itakuwa imetoa majibu yake
Indonesia
36
2
14
6.5K
Mkulima wa Kahawa retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Tukutane ground.
Eesti
146
797
3.3K
42.4K
Mkulima wa Kahawa retweetledi
Senate Foreign Relations Committee
"@TunduALissu's remains imprisoned for his advocacy for electoral reforms and civic freedoms in Tanzania. I call on Tanzanian authorities to drop their charges against Tundu and release him from detention immediately." -@SenatorShaheen
Tundu Antiphas Lissu@TunduALissu

Today marks one year since Tundu Lissu was arbitrarily detained and denied his fundamental rights. Please share this and visit freetundulissu365.com for more information. #FreeTunduLissu —Admin

English
96
406
1K
89K
Mkulima wa Kahawa retweetledi
Tundu Antiphas Lissu
Tundu Antiphas Lissu@TunduALissu·
Today marks one year since Tundu Lissu was arbitrarily detained and denied his fundamental rights. Please share this and visit freetundulissu365.com for more information. #FreeTunduLissu —Admin
Tundu Antiphas Lissu tweet media
English
10
368
828
16.4K
Ntele B H
Ntele B H@ntele_bh·
Amenukuliwa akisema bei ya mafuta kwa lita 1 Marekani ni $ 800 sawa na Tsh 2,072,000 Ulaya ni €600 sawa na Tsh 1,814,940 Kwa mujibu wa takwimu za Aprili 6 -7 kutoka vyanzo vya kimataifa kama vile Global PetrolPrices na European Commission Oil Bulletin(fuel-prices.eu)
Ntele B H tweet mediaNtele B H tweet mediaNtele B H tweet media
Indonesia
3
9
39
3.4K
Mkulima wa Kahawa retweetledi
Ntele B H
Ntele B H@ntele_bh·
Machi 31,2026 niliongoza Viongozi na wanachama Kanda ya Pwani Kuungana na Makamu Mwenyekiti Taifa Mh. @hechejohn kushiriki ktk msiba wa Mbunge mstaafu wa Kilwa Kusini Seleman Bungara Bwege. Bwege tutamkumbuka kwa misimamo yake imara ya Kupigania haki na Demokrasia nchini
Ntele B H tweet mediaNtele B H tweet mediaNtele B H tweet media
Indonesia
3
29
149
5.2K
Mkulima wa Kahawa
Mkulima wa Kahawa@ItsTemba·
@jwise017 Poverty mentality nchi hii n matokeo ya utawala wa Ujamaa na ccm yake…
Indonesia
0
1
0
610
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Naona John Marwa ambae ni mmliki wa Jambo Tv anakiri kwamba ni kweli amenunua account ya CHADEMA ile ambayo iko na followers laki sana na ushee. Sasa ni hivi ukinunua mali ya wizi huku ukiwa unajua fika kwamba hii mali imeibiwa mahali fulani na wewe unahesabika kuwa ni mwizi.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
35
82
475
39.4K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Akaunti ya X (Twitter) ya Chadema iliyokuwa ikijulikana kama ChademaTz. Akaunti hii, ambayo kwa muda mrefu imekuwa chombo muhimu cha mawasiliano na taarifa za Chama, imechukuliwa na kuuzwa kinyume na taratibu na maadili ya Chama. Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa aliyekuwa Afisa wa Chadema, Abdulkarim Muro, alihusika kuiuza kwa John Marwa, ambaye sasa anaitumia kupitia chombo chake kingine cha habari cha Royal Television. Kwa kuzingatia hali hii, tunatoa wito kwa Abdulkarim Muro na John Marwa kurejesha akaunti hiyo kwa Chama ndani ya muda wa siku tatu kuanzia leo. Iwapo watalazimika kupuuza wito huu, tutatangaza hatua ya pili ya kuchukua. REPOST 200
SIR TIVA tweet media
Indonesia
51
377
1.4K
78.6K