Silo pius

1.8K posts

Silo pius banner
Silo pius

Silo pius

@PiusSilo

Western Australia, Australia Katılım Eylül 2014
682 Takip Edilen505 Takipçiler
Silo pius
Silo pius@PiusSilo·
@IAMartin_ Huyu Mtu ,si wakushindana nae. Kila anapoongea unaona kabisa Sauti ya Mungu iko ndani yake. Siamini ni Elimu tu.
Indonesia
0
0
7
784
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Baada ya Tundu Lissu kueleza Mahakama utaratibu wa makazi yake akiwa gerezani ulivyo wa ajabu, na kwamba hatendewi haki, amelitaka jopo la mawakili wake wajiondoe na atajitetea mwenyewe katika shauri lake la uhaini. Hivyo, kuanzia sasa ni Tundu Lissu Vs Mawakili wa Serikali.
Indonesia
82
480
3.8K
107.6K
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Sio sheria tena, ni unyama na kumkomoa Lissu. Kukomoa chama chetu, kukomoa haki. Watanzania msikubali. Hakuna atakae ishi milele hapa duniani. Tutashinda Hii vita, Mungu yupo pamoja na sisi.
Indonesia
94
546
2.9K
43.9K
Silo pius retweetledi
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Kwanini mtu asiingie na simu? Mnataka watu wasipate ushahidi wa wizi wa kura? Wasirekodi maafande wa vibegi vya kura feki? Sehemu pekee inayokubalika kutorekodi katika zoezi la kupiga kura ni kurekodi kwenye kituturi (voting booth) kwa sababu kura ni ya siri. Siri ya nini?
Jebra Kambole tweet media
Indonesia
63
125
478
17.3K
Silo pius retweetledi
Rose Mayemba
Rose Mayemba@rose_mayemba·
Mungu akutunze, akulinde na kukuhifadhi kwa ajili ya watanzania. GIZA HALIWEZI KUISHINDA NURU.
Rose Mayemba tweet media
Indonesia
25
214
1.5K
21.6K
Silo pius retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Machawa ni matokeo ya jamii kuona haya mambo kama ya kawaida tu
Indonesia
9
202
940
33.8K
Silo pius retweetledi
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
🎙️Samuel Eto'o : " I was sitting at home in Douala when suddenly! My phone rang. The number? Unknown, but something in my heart said, "Answer, Samuel." When i answered i heard "Samu? Do you still have the same number from 2009?" (He laughs quietly.) So I said to him, "Lionel?! Even if I changed my number 100 times, I would have made you the first to know! But why are you calling in the middle of the night? Do you want to finally admit that I'm the best at pikey-pikey among us? Then he started laughing and said, "No, this time it's bigger I've seen what you're doing in Africa, and I've seen the eyes of children in some remote villages when you visit them. I want to be part of this, but in my own way." My heart stopped for a moment. Messi talking about Africa with such passion?! Then I heard him say, "I want to build schools and hospitals, but not in my name. In the name of the football that brought us together." And you know the way, Samuel". The following week, Messi secretly flew to Yaoundé. No press conferences, no cameras. Just him and me visiting a remote village. There, we met a little girl named Ama. She was holding her worn-out ball and saying to Messi, "You're magical, but my ball doesn't fly like yours!" At that moment, I saw Messi's tears. He took out his phone and said to me, "Here. We're going to build a playground for every child in this village, and we're going to teach them that true magic is giving without expecting anything in return." Messi didn't stop there! He launched a secret program called "10." The program collects donations from football legends to save forgotten villages in Africa. The most beautiful thing? His only condition was: "No media, no noise, only action." That day, I understood why Messi was "great." Not because he scores goals, but because he knows how to strike hope into the hearts of those who have no voice. Now, whenever someone asks me, "What's the difference between Messi and all other players?" I say, "Some live to love football, and Messi lives to make football love people." Africa doesn't need heroes seen on screens, but heroes who come down to earth and hold children's hands. And Messi came down." Source : [ UNICEF PODCAST]
Fortunatus Buyobe tweet media
English
44
210
1.4K
101.4K
Silo pius retweetledi
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Hutakufa bali utaishi Wataomba ukae nao meza moja mle na kunywa Kwa mapenzi yako kwetu utakata kula na waliochafuka mikono Siku ya tatu utafufuka katika wafu (Kesi zako zote zitafutwa)
Fortunatus Buyobe tweet media
Filipino
55
370
2K
44K
Silo pius
Silo pius@PiusSilo·
@bajabiri Hawa watu ndo walikuwa wanalipwa mishahara kw pesa za michango ya watu..!
Indonesia
0
1
2
171
Jon Mrema
Jon Mrema@JonMrema·
@DrCyrilo Hoja na ushauri uko mezani,badala ya kujibu hoja unafanya propaganda dhaifu na kusema uongo. Chadema ni Chama cha Demokrasia ,wanachama tuna haki za kushauri uongozi wa chama. Hizi propaganda waachie wengine wafanye .
Indonesia
280
12
141
24.6K
Dr. Chris Cyrilo
Dr. Chris Cyrilo@DrCyrilo·
Nilikuwa napuuza taarifa za hawa jamaa kuvujisha taarifa za faragha za chama kwa CCM, na hata kula dili na watekaji kwa kuuza ramani za viongozi na wanachama waliokuwa wakitekwa na kupotezwa, akiwemo Mzee Kibao. Ila sasa sipuuzi tena hizi taarifa. Hawa jamaa sio watu wema.
Dr. Chris Cyrilo tweet media
Suomi
210
212
1.8K
139.7K
Silo pius
Silo pius@PiusSilo·
@bajabiri Sikuhizi mteja ndo Mnafiki hata Umuhudumie Kwa hospitality Gani ,Bado anakuja na bei yake .Roho za wateja sikuhizi zimebadrika Haswa kwenye Biashara za ujasiriamali
Indonesia
0
0
4
66
Silo pius
Silo pius@PiusSilo·
@BarakaRaphael14 @ExMayorUbungo Kama kushindana kugombania Uongozi , ni vita hapa Kuna tatizo . Kilichotokea kwa Lisu kuamua kugombea uwenyeki ni demokilasia ya chama .hata Boni Alikuwa na nafasi hyo km ungetaka.
Indonesia
0
0
2
430
Baraka Raphael
Baraka Raphael@BarakaRaphael14·
@ExMayorUbungo Tweet zako hizi zinanipa wakati mzuri kujua wewe ni mtu WA namna gani. Ni mfia mtu sio taasisi over,haustairi kuwa kiongozi WA WATU Bali mlizi WA mtu (bodyguard) mfuasi au chawa.
Baraka Raphael tweet media
Indonesia
15
15
183
16.8K
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Freeman Aikaeli Mbowe Kwangu umekuwa siyo tu kiongozi wangu wa chama bali ni mwalimu, mwanafalsafa,mkufunzi,mzazi,mlezi na rafiki wa kweli. Wewe ni mfano wa kuigwa Nashukuru kwa kuniamini na kunipa jukumu la kuwa Mwenyekiti wa kampeni zako katika uchaguzi mkuu wa chama January 2025. Unajua,umeona, umesikia na umeshuhudia hadi sekunde ya mwisho nilivyo simama na wewe na nilivyojitoa kwa hali na mali kufanya jukumu lile zito lililokuwa mbele yetu lakini bahati haikuwa upande wetu. Sikuwahi kufikiri au kudhani ipo siku mwalimu wangu wa siasa atanipa mimi mwanafunzi wake kazi ya kusimamia kazi yake ya siasa Hata hivyo nachezwa na machale, ninavyokufahamu itakuwa ulikuwa kuna kitu ulitaka nijifunze kwenye majukumu yangu ya kusimamia kampeni zako. Moja ya funzo kubwa na la ajabu nitalikumbuka daima katika uchaguzi huu ni pale uliponieleza "Watu wako rasmi uliowapa jukumu la kufanya kampeni wasifanye Jambo lolote bila idhini yako, na pia katika kila jambo tutakalofanya tusikiumize chama kwa namna yoyote ile au kwa kisingizio chochote kile" Mapenzi yako kwa CHADEMA na wanachama wa CHADEMA ndiyo yalinifanya nikubali kubeba Jukumu hili zito,ulistahili "support" yangu hata kama Dunia nzima ingekusaliti kisiasa na kukugeuka bado mimi ningebakia peke yangu kuwa pembeni yako. Ndiyo maana nilipoona kura zetu hazijatosha sikuhitaji ruhusa yako kusaini fomu ya matokeo kuwa Mheshimiwa Tundu Lissu ni mshindi Na nilipokujulisha matokeo ya uchaguzi kuwa wajumbe 482 walihitaji uwe Mwenyekiti wao na wajumbe 513 wameamua ukapumzike, watu wengine uliokuwa nao chumba cha VIP wakiwa wanalia wewe ulinyanyuka ukanikumbatia kisha ukachukua simu yako ili kupongeza na kukubali matokeo kupitia ukurasa wako wa X na kuanza kujadili swala la kurudi ukumbini tayari kupokea matokeo rasmi. Hili ni somo kubwa sana kwangu. Wewe utabakia kuwa Jenerali wangu wa kweli na kiongozi wangu siku zote. Nitakuwa tayari siku yoyote na mahala popote kutumwa au kupokea majukumu kutoka kwako hata nje ya siasa. Nakutakia maisha mapya nje ya majukumu makubwa ya kisiasa. "We protect the Purpose and not a person" Boniface Jacob (Boni Yai) Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Thursaday, Jan 23, 2025.
Boniface Jacob tweet media
Indonesia
762
449
3.9K
296.3K
Silo pius retweetledi
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Baraza Kuu la Chadema limempitisha Mhe. @godbless_lema kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema.
John Pambalu tweet media
Indonesia
45
214
3.1K
38K
David Joseph
David Joseph@DJosephofficia1·
@CrownMediaTZ Wajumbe waelewe Hiki chama Kuna watu wamelipa gharama ya maisha yao , Fedha, Muda na Hata kubambikizwa kesi kwenye mahakama mbalmbl za Tz wengine walikimbia nchii kwa matatizo mblmbl ya kisiasa Hivyo wasifanye Makosa yatakayo haribu entire future ya CDM REJESHENI HESHIMA YA CDM
Indonesia
2
2
26
1.8K
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
Tundu Lissu ametuma barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika inayomtaja Godbless Lema kuwa Wakala wake kwenye uchaguzi mkuu. “Nimepokea barua toka kwa Tundu Lissu akimchagua Godbless Lema kuwa wakala wake kwenye uchaguzi Mkuu, Miongozo ya katiba inamruhusu” - John Mnyika. #CrownDigitalUpdates
Crown Media tweet media
Indonesia
31
130
1.6K
44.5K
Silo pius retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
ENDELEENI KU #REPOST PICHA HII WAJUMBE WAENDELEE KUONA MATARAJIO YETU.
Twaha Mwaipaya tweet media
Indonesia
24
1K
2K
43.6K
Silo pius
Silo pius@PiusSilo·
@godbless_lema Siasa kwenye Moja Na Mbili . Ukiona hupigi Pesa basi ushabiki weka weka kwa Michezo .
Indonesia
0
0
1
202
Silo pius
Silo pius@PiusSilo·
@SuluhuSamia Inapendeza sana.. Nawaombea watakao Ishi hapo waishi kw upendo, km ndugu
Indonesia
0
0
0
36
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Baada ya kazi nzuri kwa kipindi cha mwaka mzima, leo Disemba 20, 2024 tumekabidhi rasmi nyumba 109 kwa ndugu zetu walioathiriwa na maporomoko ya tope mwezi Disemba mwaka jana wilayani Hanang, mkoani Manyara. Uamuzi wa kujenga nyumba hizi umelenga kuwasaidia ndugu zetu hawa kurejea katika hali yao ya kawaida ya maisha baada ya changamoto ile, ambapo baadhi walipoteza ndugu, jamaa na marafiki, na wengine kupoteza kila walichokuwa nacho. Nawatakia kila la kheri.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
820
675
3.6K
401.6K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
@PiusSilo @ZabronJasson Keshakuwa weak tena sana ! Prigozihn keshaonyesha kuwa ni weak - Putin muda wake umefika ataondoka au kuondolewa! Hiyo dili yake na Wagner kajinunulia muda ila imemramba! Hajabaki na credibility! I hope atamwua Progozhin na kumaliza Wagner alafu one of the generals atammaliza 👏🏽
Filipino
4
1
1
284
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
@ZabronJasson Hamna! Hawa wana uchu ya madaraka! Sasa hapo wamecheza vipi na wamechoma mafuta na kuangusha helicopter za jeshi? 🤣 Wanakomoana tu.
Filipino
3
0
5
566