RoguePulse
1.7K posts

RoguePulse
@Telb_UTD
I accept apologies, but I remove trust🤝||Manchester United🔴
??? Katılım Ekim 2023
611 Takip Edilen196 Takipçiler

🚨 🎙️🗣️ Bruno Fernandes akizungumzia utendaji wa Ayden Heaven (mwenye umri wa miaka 19) dhidi ya Chelsea:
“Unapoona aina ya utulivu anaoileta akiwa na mpira na jinsi anavyoshughulikia mipira na kufunika eneo kubwa, utafikiri ana uzoefu wa miaka 30. Kuingia kwenye mchezo baada ya kuwa ameketi benchi mara nyingi na muda mrefu ameugopa kucheza? Inahitaji ujasiri wa ajabu. Ana talanta ghafi isiyoaminiwa na ustadi mkubwa. Lakini kinachonivutia zaidi ni ukomavu wake. Yeye husikiliza, anajifunza na anacheza bila hofu yoyote.”


Indonesia


@George_Ambangil @gray_swai Ugarte akiwa uwanjani tegemea game mbovu yenye makosa mengi
Indonesia

@gray_swai " Mkishinda " kwamba tutawafunga Chelsea kwa kucheza hivi ? 😀
Indonesia

@Thereal_taivina Ninachojua ni kwamba United kupata goli mbili ni must
Polski

@anuskills3 Nenda kaangalie hizi utanishkuru
BALLERINA
THE GRINCH
Indonesia

@HarryMaguire93 It's not your club.
You are not good enough for this club.
You were kept because INEOS are too broke to spend on a defender.
You have british media PR.
That's why you are here.
You are not needed.
Respectfully.
English

Tafuta hiki Kitabu pia Kisome-
Codex Gigas- The devils Bible.
Kinaaminika Kiliandikwa na Shetani Kupitia Monks hand.

I AM@francismtey
Shetani ni kama Alinyimwa haki yake ya kutoa Maoni/Dukuduku? Tunaambiwa tu Story za Upande Mmooja. kwanini lakini...
Filipino

@evarist_jacob @CypherSmithRowe Bora icho kuna kimoja nilianza kusoma wameandika kabisa pale mwanzoni, ukisoma unaweza kua kichaa, kupata ulemavu wa kudumu ama kifo kabisa kina Siri za kutisha😃
Indonesia

🚨 Manchester United are targeting TWO new midfielders this summer as they prepare for Casemiro’s expected departure.
Bruno Fernandes is set to recommend West Ham’s Mateus Fernandes, however, United face competition from Manchester City, with sporting director Hugo Viana already a strong admirer of the 21-year-old.
Elliot Anderson is also among the options being considered by both City and United. 👀
(Source: The Sun)

English

Ninawatakia ndugu zetu Wakristo na Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Pasaka.
Siku hii ya kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo ni nafasi nyingine ya kutafakari na kutimiza wajibu wetu wa kuendelea kujenga Taifa moja, imara, lenye ustawi, haki, maadili mema na utu.
Tusherehekee kwa pamoja na kwa upendo, na kumwomba Mwenyezi Mungu Mtukufu aendelee kuidumisha nchi yetu katika amani na mshikamano.

Indonesia

@chapo255 We upo huko dar unakula mihogo na dagaa mchele haujui tuliopo huku tuna wasiwasi kiasi Gani!
Na unataka kumaanisha tupiteze focus ya nn?
-Repoti ya CAG?
- au huu mfumko wa Bei ya mafuta na nauli kupanda!
Haya yote hayana thamani kwa mwanaume wa kitanzania kuliko nyeti
Filipino

@Mzungu_pori1 @RKipwasa40295 Kwaiyo janja habari unazoleta wewe ndo za kweli sindio??😁
Indonesia

@RKipwasa40295 Hizo habar mnazitoa wapi? Ndege zimedunguliwa iran au waende kusearch iraq😃😃💔💔
Indonesia

@Pierre88751351 @Mzungu_pori1 Wewe bado hujawajua wa'Iran na misimamo yao
Indonesia

@Mzungu_pori1 Waza jambo dogo tu,
Nchi gani Toka kuumbwa Dunia imewahi ingia vitani na viongozi wake wakawa wanauawa Kila uchwao kwa idadi kubwa km tunavoona Iran,
Km wapo vizuri wanalinda nini ikiwa viongozi wabeba maono wanafyekwa km kukua,ukisema Iran wanavurugu sawa,ila siyo nguvu
Indonesia

@ikulumawasliano Jikiteni zaidi kwenye kuwafikia wananchi na kuwasikiliza.. hao viongozi hawatobadilisha chochote
Indonesia
























