Mshauri tu

3.9K posts

Mshauri tu

Mshauri tu

@SaidM5963668396

Katılım Aralık 2023
102 Takip Edilen85 Takipçiler
𝐂𝐚𝐤 𝐃𝐞𝐞𝐩🚴‍♂️
Jenazah dimakamkan secara tegak atau vertikal di afrika, kalau kita atau siapa bisa bilang ini aneh, namun ini kenyataan. hakim guru indomart
Indonesia
984
663
6.2K
2.7M
Nigeria Stories
Nigeria Stories@NigeriaStories·
BREAKING: viral Controversial celebrity, Egonga has been released after serving a 2 year jail term in Equatorial Guinea.
Nigeria Stories tweet media
English
3.6K
3.4K
25.4K
2.5M
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Dar ina kila kitu ukichunguza vizuri hadi jina la Wilaya yenu au Mkoa utalikuta hapa, Sisi wa Lindi pale kariakoo tuna mtaa wetu na wilaya ya Kilwa hapa Dar ina barabara yake kabisa. Jina la wilaya gani unadhani halipatikani Dar watu wakuelekeze..?
Indonesia
20
27
103
3.5K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Wenye Dar es Salaam yenu hapa Ni wapii mbona Kuna makontena mengi hivi..?
kasesco☆ tweet media
Indonesia
20
29
142
6.9K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Said Mkomwa mwenye umri wa miaka 31 Mganga wa kienyeji ambaye ni Mtuhumiwa aliye Kutwa na kichwa Cha Marehemu James Temba, Leo Kwa mara ya kwanza amefikishwa mahakamani kusomewa mashitaka. Hata hivyo Said ameendelea kubakia mahabusu kutokana na kesi yake kutokuwa na dhamana.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
22
4
118
22.4K
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
Malaya wengi ni washirikina aisee, kuna siku nimepoa malaya tupo guest baada ya kuniride kama masaa mawili nikapizz Malaya akashtuka akajilaza kando yangu, nipumzike nikijipanga round ya pili Akaanza kuniangalia halafu akasema “Una sura nzuri kama mama yako” Inaendelea..
Filipino
34
37
450
49.3K
Massimo
Massimo@Rainmaker1973·
How a nuclear bomb works
English
105
515
4.9K
1.6M
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Mi siwezi kula mke wa mtu, ila imewahi nikuta mwanamke ambaye hakuwahi kusema kama ameolewa. Bahati nzuri mwanaume wake alinipigia na kunielekeza tukutane sehemu fulani. Nikasema sawa, tuonane. Nikaenda kuonana naye, tena nilikuwa na kisu kwenye paja 👇👇
Indonesia
21
9
207
23.9K
Preston Stewart
Preston Stewart@prestonstew_·
The Congressional Research Service just listed the 42 US aircraft lost or damaged so far during the war with Iran. 4 x F-15E Strike Eagles destroyed 1 x F-35A damaged by Iranian ground fire 1 x A-10 destroyed 7 x KC-135 Stratotankers (2 destroyed, 5 damaged) 1 x E-3 Sentry AWACS damaged 2 x MC-130J destroyed 1 x HH-60W helicopter damaged by small arms fire 24 x MQ-9 Reapers destroyed 1 x MQ-4C Triton destroyed
Preston Stewart tweet media
English
834
2.3K
7.5K
1.2M
Mshauri tu
Mshauri tu@SaidM5963668396·
@Kephawao @safarimlevi Aliongea Waziri,bila waziri kupitia majibu ya Wizara si tungejuaje hizo qualification zao?basi ansard ya bunge ifutwe.
Indonesia
0
0
0
12
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Roisi Roisi ya Dimond hiii inapitia magumu😂
SafariMlevi tweet media
Indonesia
10
10
211
20K
Ze Planmaster
Ze Planmaster@ZPlanmaster·
Ndo natoka kanisani uliza swali lolote la kwenye biblia nikujibu
Ze Planmaster tweet media
Indonesia
84
37
190
7.9K
Mshauri tu
Mshauri tu@SaidM5963668396·
@IAmHaule ni ubinafsi ,wanao hitimu hawana kazi wenyewe wana miaka 60 wanasaini contract.una kuta maabara mtu hayupo mkishakuwa wengi anakuja kwa kugomba kana kamba halipwi.na watoto wetu full kukatwa makomeo mbona zamani hatukukatwa?
Indonesia
0
0
0
38
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Hapo mjini Dsm unakuta Daktari Ana–vijiwe sita na vyote yupo kwa Wakati . Shida ni Kama ana familia basi hadi mke / mume anachukia , Katika mwezi anaweza akarudi nyumbani Siku 4 tu . Aisee watu Wanapambana 🙌🏼
Indonesia
14
26
314
23.1K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, ambaye hivi karibuni ameibuka kama mmoja wa wajadiliani wakuu katika mazungumzo kati ya Iran na Marekani, ameteuliwa kusimamia mahusiano ya Iran na China. Kwa mujibu wa shirika la habari la Tasnim, Ghalibaf amepewa jukumu hilo kama mwakilishi maalum wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala yanayohusu China. Ripoti hiyo inaeleza kuwa jukumu lake litakuwa kuratibu sekta mbalimbali zinazohusiana na ushirikiano wa Iran na China, taifa ambalo limekuwa mshirika muhimu wa kiuchumi na kisiasa kwa Iran katika miaka ya karibuni. Hata hivyo, haijawekwa wazi ni nani hasa aliyemteua Ghalibaf kushika nafasi hiyo mpya, jambo ambalo limezua maswali kuhusu ukubwa wa mamlaka yake katika nafasi hiyo. Uteuzi wa Ghalibaf unaonekana kuwa sehemu ya juhudi za Iran kuimarisha ushawishi wake wa kimataifa huku ikiendelea na mazungumzo nyeti na Marekani kuhusu masuala ya kisiasa na kiuchumi. China imekuwa mshirika mkubwa wa Iran hasa katika biashara, nishati na diplomasia ya kimataifa, hivyo hatua hii inaweza kuwa ishara ya Tehran kutaka kuimarisha zaidi uhusiano wake wa kimkakati na Beijing katika kipindi hiki cha mabadiliko ya kisiasa Duniani. #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
3
4
102
5.2K
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚
Wakati wowote Kuanzia Sasa Ayatollah Ali Khomenei ataibuka Adharani Baada ya Marekani kutia Saini mkataba wa kuondoka mashariki ya kati (Staytune)
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚 tweet media
Indonesia
8
5
134
6.5K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Series ya FAUDA kuna Scene moja MOSSAD wanamuingiza Jela mtu wao kukusanya taarifa kwa GAIDI na wanamuweka room 1 na jamaa… Mpelelezi anachezea kichapo kuliko GAIDI mwenyewe 😂 hii yote kumuaminisha GAID kwamba yule ni mwenzake. NOTE:- Kwenye Intelejensia lolote linawezekana
Indonesia
42
74
686
37.2K
Mshauri tu
Mshauri tu@SaidM5963668396·
@nyalut23 Nilipangaga kijumba cha hivi.choo kipo ndani lakini unaweza fanya wa nje asiinhie sebureni
Indonesia
1
1
2
411
Eng.Benjamin
Eng.Benjamin@nyalut23·
Kama unaanza maisha na unataka nyumba simple chukua hii hapa itakufaa,inakuwa na ✅ 1. Chumba self, sebule+kajiko. 2. Self Bedroom ya kuingilia mlango wa nje 3. Public toilet Ramani na makadirio yake yapo NDILOLE DESIGN. 👇👇👇 📲0746122023
Eng.Benjamin tweet media
Indonesia
8
28
152
12K
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
SITOPOST Ajira zilizopo📍Dubai kuanzia sasa ni kosa kisheria nimejulishwa DM Vijana mnaojitafuta apologies your on your own kuanzia sasa🙏 nilikuwa nafanya kwa mapenzi wengine wapate lakini imekuwa tofauti AGENTS walio bongo kila kukicha wananipomoreshea vitisho & matusi DM
Filipino
91
82
730
36.2K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Vijana wa mfumo kukamatwa na kuachiwa kwa makosa ya kujifanya usalama hayajaaanza leo Sabaya baadaye alikuja teuliwa kuwa mkuu wa wilaya Sio kwamba walimwachia lakini walimpa Cheo baadaye
Think Different tweet media
Indonesia
5
31
231
28.4K