
@sukununu01 Hawana kosa wameweka balance ya mashindano
Indonesia
Gregory Adriano Shangai
244 posts
























Ifike POINT kama Vijana wa TANZANIA tujifunze kuheshimu HUSTLE HALALI za watu Me naeza kasirishwa sana na mitazamo ya @KennedyMmari na @Thommunkondya kwenye SIASA ila naweza heshimu namna gani walianzia Chini wenyewe hadi kuwa na makampuni makubwa na BIASHARA kubwa Maana Sio rahisi ndomana 99% yetu hatuwezi




