Lepsao Turoto
198 posts

Lepsao Turoto
@TurotoL
Civil Servant, Social Psychologist & Lobbyist
Tanzania Katılım Ekim 2011
1.5K Takip Edilen385 Takipçiler

Kufuatia sitisho la msaada huo, ambao Takwimu za hivi karibuni zinaonesha karibu Dola Milioni 440 (Tsh. Trilioni 1.1) zilitengwa na Marekani kama msaada kwa Afrika Kusini Mwaka 2023, pia Ikulu (White House) imetangaza mpango wa kuwahamishia Marekani Wakulima wa Afrika Kusini wenye asili ya 'Kizungu' pamoja na familia zao kama Wakimbizi
Trump amedai Serikali ya Afrika Kusini inataifisha ardhi ya 'Wazungu', huku Mshirika wake, Elon Musk akidai 'Wazungu' hao wameathirika na Sheria za Umiliki wa Ardhi zenye Ubaguzi wa Rangi baada ya Rais Cyril Ramaphosa kutia saini Sheria mpya inayolenga kupunguza pengo kubwa la Umiliki wa Ardhi kati ya Watu 'Weusi' na 'Wazungu'
Zaidi jamii.app/MisaadaSA
#JamiiForums #TrumpExcutiveOrders #Diplomacy #Governance #Accountability



Indonesia

KENYA: Miezi 18 tangu Kampuni ya Huduma za Intaneti ya Starlink iingie nchini humo, imedaiwa Mitandao ya Simu imeanza kupata changamoto ya ushindani sokoni ikiwemo kwenye gharama na uhakika wa huduma
Kwa mujibu wa Tovuti ya Citizen Digital, Kampuni ya Safaricom imeandika barua kwa Mamlaka ya Mawasiliano (CA) ikiitahadharisha Serikali kuwa uwepo wa Watoa Huduma za Intaneti kwa Setilaiti unaweza kusababisha mwingiliano wa kimawasiliano hivyo kuathiri ubora wa huduma
Soma jamii.app/IntanetiCompee
#JamiiForums #DigitalRights #JFHuduma #JFDigitali #ServiceDelivery #DigitalWorld


Indonesia

𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮𝗻 𝗰𝗼𝗻𝗳𝗶𝗿𝗺𝗲𝗱 𝗮𝘀 𝗖𝗘𝗢 𝗼𝗳 𝗕𝗮𝗻𝗸 𝗼𝗳 𝗞𝗶𝗴𝗮𝗹𝗶'𝘀 𝘁𝗲𝗰𝗵 𝘀𝘂𝗯𝘀𝗶𝗱𝗶𝗮𝗿𝘆
May 21, 2024
𝘽𝙮 𝙏𝘽𝙄 𝙍𝙚𝙥𝙤𝙧𝙩𝙚𝙧
Dar es Salaam
The Bank of Kigali, Rwanda's biggest bank by assets, has confirmed Deogratius Massawe as Chief Executive Officer (CEO) of its technology unit, BK Techouse.
Deo was acting CEO of the Bank of Kigali (BK) Techouse since August last year.
Before taking on the CEO position, he served as Chief Technology Officer (CTO) of BK Techouse for three years.
"I am grateful to share that I have been confirmed as the Chief Executive Officer (CEO) for BK Techouse.. Excited for the opportunities that lie ahead in this new chapter," Deo said on LinkedIn.
Established in 2016, BK Techouse is one of the key players in the digitization of the Rwandan economy.
It provides innovative technology and services across diverse sectors, including agricultural technology, educational technology and financial technology.
It's digital payment platforms have more than 3 million users.
Before moving to Rwanda, Deo (pictured) worked in the United States at telecom giant T-Mobile for more than 14 years.
He held various positions at T-T-Mobile, including Senior Manager for Product and Technology, and previously worked as CTO/COO at ride-hailing company Moovn.
In his early years in the US, Deo also worked as a senior IT consultant for Microsoft and intern system engineer at IBM.
He holds an MBA in business administration and health informatics from Georgia State University and a Bachelor of Science degree in computer science from the University of Washington.

English

@elonmusk We jamaa noma sana. Dunia inakupigia saluti kwa vumbuzi za maana sana
Indonesia

@ledamalekina @WilliamsRuto @RailaOdinga Your the next president of Republic of Kenya, your the man of the people.
English

Ero wewe enda chunga Ngombe don’t waste your time going to attend Jamhuri day celebration with @WilliamsRuto there is nothing to celebrate … baba @RailaOdinga is traveling with me to the USA


English

@DcNgorongoro @PwC Kindly edit your articles kuepuka kokosea maudhui, Kata ya sale Iko katika tarafa ya Loliondo kweli?
Indonesia

Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe.Raymond Mwangwala akikabidhi sheti cha Ushiriki kwa Shirika lisilo la Kiserikali la @PWC ktk kilele cha Siku 16 za Kupinga ukatili wa Kijinsia wa Mama na Mtoto yaliyofanyika ktk kata ya Sale tarafa ya Loliondo

Arusha, Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@millardayo inasemekana Whatsap imetekwa na watekaji wanadai bila kulipwa dola trioni mia saba wanaisambaratisha kabisa!!!
Indonesia

#BREAKING: Mtandao wa WhatsApp hauko hewani kwa Watumiaji wengi Duniani na kufanya Watumiaji wake kushindwa kufanya chochote kwenye WhatsApp zao, sababu za kutokuwa hewani bado hazijawekwa wazi.
#MillardAyoBREAKING

Indonesia
Lepsao Turoto retweetledi

@MariaSTsehai Hii ni desturi ya kawaida na nzuri kwa jamii ya Maa kwa wale ndungu wanao poteza mifugo Yao kutokana na majanga. Hongereni sana
Filipino

@ntvkenya @Taifa_Leo Kufyata mkia sio kukunja mkia na nyie bana. 😂
Indonesia

Unazingatia vitu gani kabla ya kutoa msaada au kuchangia kampeni yoyote mtandaoni.
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha

Indonesia

@muruteri @gogoman97 @UNICEF @UN @UNWomenWatch @hrw @MariaSTsehai @OpenSociety @ikulumawasliano @Survival @amnesty @USAmbTanzania @LaylaMoran @AnnelieseDodds @BellRibeiroAddy Ushuzi tu hujui kitu Kaa kwa kutulia
Indonesia

@TurotoL @gogoman97 @UNICEF @UN @UNWomenWatch @hrw @MariaSTsehai @OpenSociety @ikulumawasliano @Survival @amnesty @USAmbTanzania @LaylaMoran @AnnelieseDodds @BellRibeiroAddy Embu zakuambiwa ongeza nazakwako usiache zako zilale ukafanyia zajirani. Kwavideo hiyo nini kinathibitisha mama yake kakamatwa au kweli hao ni wamasai!!? haya kakamatwa, unajua kafanya nini? kwani kuwa na mtoto nikinga kisheria? mnapelekwa kama mambumbu yani😨😨 hadi huruma.
Indonesia

Manyishoi Lekuta is a young mother arrested yesterday leaving behind these kids to care for themselves. @UNICEF @UN @UNWomenWatch @hrw please intervene @MariaSTsehai @OpenSociety @ikulumawasliano @Survival @amnesty @USAmbTanzania @LaylaMoran @AnnelieseDodds @BellRibeiroAddy
English

















