No Name

22.5K posts

No Name banner
No Name

No Name

@TheRuthless0

You have been watched

Dodoma, Tanzania Katılım Şubat 2018
865 Takip Edilen865 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
No Name
No Name@TheRuthless0·
FAIDA ZA MACHAFUKO(UNINTENDED) 1. Kuzaliwa kwa Mfumo bora wa kisiasa 2. Kuimarishwa kwa Umoja wa kitaifa 3. Kusikilizwa waliokandamizwa GHARAMA ZAKE 1. Vifo, Majeraha, Wakimbizi. 2. Miundombinu kuharibiwa,Biashara kusimama na uwekezaji kutoweka 3. Chuki na migawanyiko ya kijamii
Indonesia
1
0
2
809
No Name
No Name@TheRuthless0·
@Ngowi_Inc Nimekuuliza hapo hilo andiko hapo juu ni divine? Mana Luka anamuandikia Barua Mtukufu wake Teofilo. Hayo ni maneno ya Mungu au mwanadamu😂😂😂😂
Indonesia
1
0
0
16
Emmanuel C. Ngowi
Emmanuel C. Ngowi@Ngowi_Inc·
@TheRuthless0 BIBLIA NZIMA NI DIVINE. IMEANDIKWA NA WATU 40 KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 1,500. MIAKA HII INAMAANISHA MWANDISHI WA MWANZO NA WA UFUNUO HAWAKUWAHI HATA KUONANA ILA UJUMBE WAO UPO CONNECTED. BIBLIA IMEANDIKWA KWA LUGHA TATU. IMETIMIZA PROPHECY ZOTE. BIBLIA NDIO NENO LA MUNGU.
Filipino
1
0
0
3
I Haisam
I Haisam@iHaiasm·
To be very direct and clear about the reality: No, Jews do not read the New Testament in their prayers, nor do they recognize it as a holy book. In Judaism, the New Testament is viewed as a separate religious text belonging to a different faith (Christianity). It is not part of
English
2
0
0
1.5K
Celestine Simba
Celestine Simba@Celestine_Simba·
Nyie si hamjui namna ya kudhibiti mfumuko wa bei, sasa sisi tutawasaidia kudhibiti mapato. Twende kazi wananguu
Celestine Simba tweet media
Filipino
33
242
1.4K
26.9K
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Unamwelezeaje mtoto wa huyu mama wa kulia aelewe kwamba Mungu hana upendeleo?
(---) Onesmo Mushi tweet media(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
22
6
99
5.9K
Abuu Yasir
Abuu Yasir@habibu_mzimba·
@EduTalkTz “Je! wao ndio wanaogawa rehema ya Mola wako? Sisi tumewagawia maisha yao katika dunia, na tumewanyanyua baadhi yao juu ya wengine kwa daraja ili baadhi yao wawatumie wengine (katika huduma). Na rehema ya Mola wako ni bora kuliko wanayoyakusanya.” Nature ili maisha yaende.(43:32).
Filipino
2
0
2
183
No Name
No Name@TheRuthless0·
@EduTalkTz Biblia ina maandiko mengi ya kuchafua manabii. Eti Daudi mzinzi dah
Indonesia
0
0
0
19
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Tuzungumze morality ya biblia kidogo. Kisa cha watoto wa Lutu kinatufundisha nini kuhusu maadili? Ni sahihi watoto wako wa kike kukisoma na pengine kufanya kama walivyofanya watoto wa Lutu? Kisa kinatuambia baada ya Mungu kumwangamiza mke wa Lutu kwa kumgeuza jiwe la chumvi, alibaki na mabinti zake wawili. Wakiwa pangoni, mabinti wakaamua kumlevya baba yao na kulala naye “ili watunze kizazi chake.” Wa kwanza akampa baba pombe na kulala nae kisha mwingine akafanya hivyo hivyo siku iliyofuata na hatimaye wote wakapata mimba. Note: Mara zote mbili Lutu alisimamisha na kufanikiwa kuwamwagia mabinti zake, lakini hakujua (sounds mmmmhhhh to me). Najaribu kutafakari mantiki ya hili jambo. Je, ikitokea leo mke wako amefariki, itakuwa sahihi mtoto wako wa kike kulala na wewe ili “kutunza uzao wako?” Uzao upi haswa ikiwa huyo mtoto wako wa kike tayari ni uzao wako? Lakini pia, ni maadili yapi tunayojifunza kupitia kisa hiki?? Ni sahihi pia kuwaruhusu watoto kusoma kisa hiki kwenye biblia kama kilivyo pasipo kukichuja?? Mwanzo 19.
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
11
0
10
1.6K
SP
SP@Mukama11·
@EduTalkTz Hauwezi ukasoma biblia kwa chuki alafu ukaielewa. Na nadhani si biblia tu. Unalinganisha vipi watoto waliodhani, hakuna mwanaume mwingine, Dunia nzima imechomwa moto na kudhani wamebaki wao pekee na baba yao na watoto wako ambao wewe umekufa na wanaume wengine wapo?
Filipino
4
0
0
54
No Name
No Name@TheRuthless0·
@AfricanoGooner 😅😅😅theology au mafundisho ya wanadamu unafuata
Indonesia
1
0
0
2
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Leo 6:30pm jioni, muda wa Marekani Mashariki, binadamu anategemea kurusha hii mashine, Artemis 2, kuzunguka mwezi na kurudi. Umeshawahi kujiuliza tungekuwa wapi leo kama tusingecheleweshwa na WABABE WA IMANI waliozuia fikra zote za udadisi na kulazimisha watu kumeza story za Mungu kama kweli pekee isiyopaswa kuhojiwa? Mungu wa mwanadamu ni sayansi, na kila siku tunajishuhudia hilo. Yule mwingine, iwe yupo au hayupo, hana mishe zozote na maisha yetu.
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
54
5
79
6.1K
No Name
No Name@TheRuthless0·
@EduTalkTz Wanasayansi wanadadisi Nature. Swali la kujiuliza hiyo Nature wanayoidadisi imetoka wapi. Usikaze fuvu
Filipino
1
0
0
69
No Name
No Name@TheRuthless0·
@AfricanoGooner Labda umeangalia mijadala yake ya zamani kipindi ambacho hana elimu ya biblia. Tafuta mijadala ya sasa uone anapingan na nyie wazee wa utatu kina Mchungaji Daniel Mwankemwa
Indonesia
1
0
0
37
No Name
No Name@TheRuthless0·
@Ngowi_Inc Usichekeshe watu bhn. Unataka useme haya maneno hapa chini ni divine?
No Name tweet media
Indonesia
1
0
0
8
Emmanuel C. Ngowi
Emmanuel C. Ngowi@Ngowi_Inc·
@TheRuthless0 Yote ni sahihi. Wewe umeona shida gani? Tofauti kuu ni Namba ya miaka ya njaa mmoja amesema 7 na mwingine 3 hii inatokana na kufanana kwa maandishi ya miaka hio kwenye lugha ya kiebrania. Biblia ya Detrocanon (Wanayotumia Wakatoliki) HAINA utofauti WOWOTE kwenye Verse hio.
Indonesia
1
0
0
10
888
888@444holywitch·
Hivi ni alikufa kwa ajili yetu au tulimuua??
Indonesia
51
23
213
12.8K
Vunga
Vunga@VungaEl74·
@TheRuthless0 Punguza sukari huwezi elewa anamaanisha nini akili yako ikiwa ni ndogo
Indonesia
1
0
0
141
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Trump anasema ukiona mafuta yamepanda bei fuata Marekani au kafungue Mlango-Bahari irani Trump ni GOAT🐐😀🙌🏽🙌🏽
Indonesia
40
35
438
15.2K