Tuma Licious

76.2K posts

Tuma Licious banner
Tuma Licious

Tuma Licious

@TheTumaLicious

just me | au naturale

Katılım Nisan 2020
719 Takip Edilen13.7K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Tuma Licious
Tuma Licious@TheTumaLicious·
"Unachukua ndege inakaa miezi 3 airport haifanyi kazi is that a business?Hiyo sio biashara,na mtu yeyote anaona ukienda pale utakuta ndege imekaa pale sasa mnanunua ndege za nini kama haziruki?Sisi hatujui ku-run Airline."Prof.Assad @godbless_lema @MariaSTsehai @CatherineRuge
Indonesia
55
217
775
0
Tuma Licious retweetledi
Bonge La Afya
Bonge La Afya@BongeLaAfya·
MSD ilinunua vifaa kwa ajili ya upimaji wa COVID-19, vifaa ambavyo havikidhi ubora. Wataalamu wakagundua hata mtu aliyekua anauza vifaa sio mtengenezaji wa vifaa, wakashauri MSD, Ila MSD wakaamua kulipa fedha zote kununua vifaa hivyo. Source: Ripoti ya CAG
Indonesia
20
31
244
9.7K
Tuma Licious retweetledi
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) AMEKUBALI YAISHE Kwa WAKILI @fatma_karume . AMEONDOA RUFAA yake dhidi ya @fatma_karume aliyoifungua MAHAKAMA YA RUFANI YA TANZANIA. Sasa @fatma_karume ni WAKILI HURU.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
123
189
1.7K
80K
Tuma Licious retweetledi
Baba Mwita
Baba Mwita@BabaMwita·
Bandari, Ngorongoro, Airport, misitu mpaka mradi wa mabasi mmempa mwarabu! Siku tutaamka tusikie Dubai imepewa na Ikulu ya Magogoni waiendeshe kama museum! Hii nchi ina watu wa hovyo aisee...
Indonesia
23
54
295
9.4K
Tuma Licious retweetledi
Baba Mwita
Baba Mwita@BabaMwita·
MUHIMU KUSOMA Mtuombee afya njema tu. Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa & Mkuu mwakani, mimi, Adv. Madeleka na wengine tumejipanga kutoa elimu kubwa kwa wagombea, wapiga kura & mawakala wote nchi nzima. Tatizo la ufahamu wa sheria za uchaguzi lilichangia shida iliyojitokeza chaguzi zilizopita. Safari hii hatutaruhusu UHUNI wa aina yoyote ile. Ule utaratibu wa watu kukaa mita 200 baada ya kupiga kura umeshakufa, ni BATILI. Utaratibu wa kunyang'anya fomu wagombea & mawakala umekufa. Kitendo cha Wakurugenzi kukimbia ofisi siku ambayo wagombea wa upinzani wanarudisha fomu imefika mwisho. Tutahakikisha wananchi wanapata elimu kubwa ya kulinda HAKI zao za Kikatiba; kuchagua mtu wanayemtaka. Tutawapa wananchi nguvu ya KULINDA KURA na hakuna chombo chochote kile iwe TISS, JWT, POLISI au UHAMIAJI kitakuwa na nguvu dhidi ya wananchi. Uchaguzi huu lazima kuwe na heshima kwa wapiga kura na kwa pamoja tuhakikishe mtu aliyeshinda kihalali ndiye anayetangazwa. Hakuna SHORTCUTS ya kupeleka watu Bungeni. Hakuna "kupita bila kupingwa". Ni lazima tulinde kura. Kila raia atapewa jukumu ambalo atatakiwa kulifanya kwa LAZIMA. Hii ndiyo namna pekee tutashinda & kutangazwa. Haya maisha tunayoishi sasa hatutaki yajirudie. Naandika haya kwa sababu miswada ya Sheria ya Uchaguzi tayari rais ameshaweka saini na sasa rasmi imekuwa sheria. Maana yake ni kwamba, watatumia sheria kufanya yao. Hivyo ni vyema kujiandaa haswa. #WakatiUmewadia #HiiNiZamuYetu
Indonesia
30
132
342
23K
AmosiNyanda
AmosiNyanda@NyandaAmosi·
[NDUGU] : Hivi Unafanyaga Kazi Gani? [MIMI] : Ni Kazi Tu za Hapa na Pale 😂 PS. Ukisema ni Copywriter utakuwa unajisumbua Tu Kwasababu Hueleweki . Tupe Experience yako nawewe Kama Unafanya Online Freelancing huwa unajibu Vipi?
Indonesia
15
16
150
6.9K
Tuma Licious retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Kwanza kabisa namshukuru mama Samia. Hadi kupiga hizi picha mbele ya hilo jengo ni juhudi za mama Samia. Hakika tunamshukuru sana mama. Haikuwa rahisi. #andikakamachawa
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
192
110
2.2K
105.1K
Tuma Licious retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Unaambiwa Ripoti ya CAG iliwasilishwa kwanza kwa Khadija Mwanamboka ikapakwa rangi. Vinginevyo hawa watu ni wezi na wapigaji kupita kiasi, by design and conducts.
Indonesia
39
84
657
23.3K
Tuma Licious retweetledi
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Nani alaumiwe kwa mifumo ya nchi kuoza na mabillioni ya walipa kodi wa Tanzania kuibiwa kila mwaka...? A.USALAMA WA TAIFA (TISS) B.TAKUKURU C.VIONGOZI WA SERIKALI D.WANANCHI E.CHAMA CHA MAPINDUZI
Indonesia
396
118
908
69.3K
Tuma Licious retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Nakasirika nikisikia kuna mtanzania alihukumiwa kwenda gerezani kutumikia kifungo cha miaka 5 au kulipa faini milioni 7 kwa makosa ya mtandao kwa sababu ya ukosoaji wake kwa serikali. Naongeza hasira nyingi zaidi kwa KIPARA maana ndiye alihusika kuchakata na kupambania nje na ndani ya bunge sheria katili ya kikoloni ya makosa ya mtandao (Cyber Crime Act, 2015). KIPARA alikuwa Naibu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia (ambayo iliundwa mwaka 2008 na kuvunjwa mwaka 2015) na alitetea sheria hii tukimueleza vifungu vyake ni KATILI. Mtanzania kujadili mali walizonazo viongozi wake anapata adhabu ya kwenda gerezani kutumikia kifungo cha miaka mitano au kutakiwa kulipa faini ya shilingi milioni saba? Ni ushenzi. Naona Japhet Matara alihukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano gereza la Karanga, Moshi. Nitawasiliana na MAWAKILI waliopo kanda ya kaskazini, tump3 msaada wa kisheria. Hakuna mtanzania yeyote anatakiwa kuhukumiwa kifungo gerezani au kupata adhabu yoyote kwa sababu ya kutoa maoni yake. Hizi ni sheria mbovu za kikoloni zinatumika vibaya TZ. Brigedia Mtikila, MMM.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
38
131
869
84.2K
Tuma Licious retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Leo Rais @SuluhuSamia atapokea taarifa ya ukaguzi wa fedha za umma kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/2023 bila taarifa ya 2021/2022 kufanyiwa kazi. Kitu pekee Rais alifanya katika ripoti iliyopita ni kusema neno “STUPID” ikaishia hapo.
Martin Maranja Masese tweet media
Indonesia
26
50
513
21.3K
Tuma Licious retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Kwa maana kwamba, watanzania 61,741,120 kwa deni la serikali la TZS 82.25 trilioni, deni hilo likigawanywa kwa kila mtanzania (hadi watoto wadogo) atakuwa anadaiwa TZS 1,332,175. Wakati huo tumeelezwa na serikali kwamba pato la kila mtanzania ni TZ 3,048,681. TUPO VIZURI. 👍
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
114
112
1.2K
70K
Tuma Licious retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Mwaka 2016 mbele ya Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu, Msajili wa hazina alisema Air Tanzania hawana mpango kazi, hakuna mpango wa biashara, hakuna sera ya uwekezaji, hakuna mpango wa urithishaji utaalam. biashara unaifanya vipi? Huna mpango wa biashara, utajua madeni ya kampuni? Msajili wa hazina akaendelea kueleza Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu kwamba “ATCL hawana (a) hesabu zilizokaguliwa (b) mpango wa biashara, mpango au sera ya uwekezaji (c) mpango wa kurithisha utaalam...” hii ni sababu ya Air Tanzania kutofahamu madeni yake mengi ya nje. Msajili wa hazina akaendelea kusema mbele ya Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu “ATCL haina wataalam wa kutosha katika masuala ya usafiri wa anga hususani marubani, wahandisi, wataalam wa uongozi na uendeshaji wa biashara ya usafiri wa anga na waongoza ndege”. Hii ni kampuni timamu kweli? Msajili wa hazina akaendelea kusisitiza katika taarifa yake kwa kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu; “imekuwa vigumu kwa ofisi ya msajili kufanya uchambuzi wa kina wa utendaji wa ATCL kutokana na kutokuwepo kwa taarifa za kutosha za kampuni” utendaji kazi wa ATCL haukaguliwi? Msajili wa hazina akeleza mahesabu ya Air Tanzania yaliyokamilika ni mwaka 2014/15 . Mahesabu hayajatizamwa wala kupitishwa na bodi, hali ambayo imemsababishia Msajili wa Hazina kutoweza kuchambua na kubainisha hali halisi ya uwekezaji ilivyo sasa hususani madeni na mali za kampuni” Serikali ya CCM wanaichukua biashara ya AVIATION kama kuendesha biashara za MABASI ya KATARAMA kwenda Mwanza au ZAKARIA Express kwenda Mwanza na Tarime, Kwamba jioni ikatoka Mwanza italeta mauzo umkabidhi mama Mary hapo dukani.. Shirika halina mpango kazi, linajiendesha vipi? Hizi hasara za ATCL ni kwa sababu hizo za kitaalam kutoka kwa msajili wa hazina kwa kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu. Lasivyo watueleze, wanapata faida lakini AIR TANZANIA wanatengeneza mazingira ya kukwepa kodi kwa kuficha hesabu ba taarifa ili ielezwe ‘inajiendesha kwa hasara’ Brigedia Mtikila, MMM.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
21
72
440
25.8K
Tuma Licious retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Naomba kufundishwa tafadhali. Je, Zanzibar ni dola la kiislam? Je, serikali ya Zanzibar inaongozwa na katiba ya kiraia au Quran? Hao watu waliokamatwa kwa kula mchana, mahakamani watashtakiwa kwa mujibu wa sheria za jinai au dini? Mahakama zitarejea hukumu za kidini au kiraia?
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
379
287
2.1K
181.3K
Tuma Licious retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Kwamba Bohari ya Dawa ya Taifa (MSD) chini ya Wizara ya Afya ambayo ipo chini ya Waziri Ummy Mwalimu ikanunua vifaa vya maabara vya upimaji COVID-19 visivyofaa? Tuendelee tulipoishia au tusubiri kwanza mfungo wa kwaresma na Ramadhan umalizike? Mnasemaje wandewa? Maelekezo!
Martin Maranja Masese tweet media
Indonesia
165
111
1.2K
50.9K
Tuma Licious retweetledi
Khaled
Khaled@meetkhaled_·
Wateja hawanunui Bidhaa yako...Wananunua FAIDA za Hiyo Bidhaa Yako kwao. Then Ongelea izo Faida kwenye Content zako.
Filipino
0
6
21
728
Tuma Licious retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Poleni imekuja kwangu kimakosa, nitatuma mwakilishi.
Godbless E.J. Lema tweet media
Polski
69
85
741
68.4K
Tuma Licious retweetledi
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kiasi cha TZS 137 MILLIONI zilitengwa ili KUFANIKISHA mkakati wa KUNIZUIA nisifanye tena SHUGHULI za KITAALUMA. Waliotoa PESA WAMETAPELIWA, mkakati UMESHINDIKANA MAPEMA kabisa. Majina ya waliotoa PESA hizo yapo HADHARANI tayari.😂😂
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
47
67
516
43.1K
Tuma Licious retweetledi
AmosiNyanda
AmosiNyanda@NyandaAmosi·
Umezaliwa ORIGINAL—Kamwe Usife Ukiwa COPY!
Filipino
0
6
51
3.8K
Tuma Licious retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️#Tanzania ⁉️🙄 Oneni madudu haya 👉🏽NHIF inatoa mkopo wa bil 44 UDOM bila mkataba wowote 👉🏽 NHIF imekopesha wafanyakazi wake bil 41 bila mrejesho NHIF ni benki au financial institution? Msitutanie! @wizara_afyatz @nhiftz anzeni hapa si kuminya pesa za huduma! #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
47
129
352
37K