Uledy#

32K posts

Uledy# banner
Uledy#

Uledy#

@Uledy2

Processionally in Sales and marketing +Diploma in Procurement and logists, Man U+ Yang Sp

Mbeya, Tanzania Katılım Ocak 2018
3.2K Takip Edilen1.4K Takipçiler
Uledy# retweetledi
it's__me🤍💫
it's__me🤍💫@__livelihood_·
Good morning .🌄 Ikiwa maisha yako yanaharibika, angalia uhusiano wako na maombi kwanza.✨️
Filipino
16
17
42
529
Uledy# retweetledi
it's__me🤍💫
it's__me🤍💫@__livelihood_·
Omba ulinzi kila wakati. Kuna mengi ambayo huwezi kuyaona.✨️
Filipino
2
15
46
416
Uledy# retweetledi
it's__me🤍💫
it's__me🤍💫@__livelihood_·
Usiogope kuanza upya.🤍
Euskara
3
15
36
461
Uledy# retweetledi
it's__me🤍💫
it's__me🤍💫@__livelihood_·
Kila wakati unapochagua halali, Mwenyezi Mungu huandika barakah katika maisha yako.🤍
Indonesia
2
12
40
475
MUSA
MUSA@kidiish·
👉 Huna control ya kipato chako 👉 Huna asset hata moja inayoingiza pesa ukiwa umelala 👉 Ukisimamishwa kazi leo… maisha yako yanasimama papo hapo Halafu unajiita “secure” 😅
Filipino
2
0
8
1.4K
MUSA
MUSA@kidiish·
🚨🚨 “KAMA UNAPATA MSHAHARA KILA MWISHO WA MWEZI… KUNA MTU ANAKULIPA ILI USIWAZE SANA.”🚨🚨 Sio utani. Unakaa comfortable, bills zinalipwa kidogo kidogo… Lakini ukweli ni huu 👇
Filipino
2
6
70
13.8K
Uledy# retweetledi
The Zinja
The Zinja@drygha1·
Izoeshe akili yako kwaza mambo mazuri, nyakati nzuri na mafanikio hata kama bado unapambana. Kuwaza mafanikio kutavutia mafanikio.
Indonesia
0
8
29
405
Uledy# retweetledi
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Ukiwa na siku ya kutafuta jua na yakupata ipo.
John kalage 🇹🇿 tweet media
Indonesia
5
15
122
1.7K
Uledy# retweetledi
it's__me🤍💫
it's__me🤍💫@__livelihood_·
Niko katika msimu ambapo ninamwamini Mungu sana kiasi kwamba hata mambo yasipoenda kama ninavyotaka, lazima nikubaliane nayo. Alhamdulillah.. ☺️ ✨️♥️
Indonesia
2
11
56
572
Uledy# retweetledi
MKEMIA MKUU👑🇹🇿
MKEMIA MKUU👑🇹🇿@mkemia_mkuu68·
Hakuna Kitu Kinachoumiza Zaidi Ya Mtu Unayempenda Kugeuka Kuwa Fundisho Lako La Maìsha.📌🙌
Filipino
1
5
12
109
Uledy# retweetledi
MKEMIA MKUU👑🇹🇿
MKEMIA MKUU👑🇹🇿@mkemia_mkuu68·
Angalizo 🤣ukiombwa namba na mtu wa humu jaribu kupitiapitia anavyoishi humu ,unaweza ukamsogeza karibu mwehu bila kujua ,asante
Indonesia
9
19
44
620
Uledy# retweetledi
it's__me🤍💫
it's__me🤍💫@__livelihood_·
Kila jeraha katika nafsi yako linajulikana na Mwenyezi Mungu, hata lile unalolificha nyuma ya tabasamu.☺️
Indonesia
2
14
34
463
Uledy# retweetledi
Day Waka45
Day Waka45@Day_Waka45·
Eeeh Mwenyezi Mungu. "Mjaalie Mama Amani, Upendo na Furaha na Kicheko Kisichokoma🙏🏽
Day Waka45 tweet media
Indonesia
26
42
62
588
Uledy# retweetledi
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
Alhamdulillah. Hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah, Muhammad saw ni Mtume wa Allah, Uislam ni Dini ya Allah. MwanaAdam atakaye ishi hadi akafa bila kukiri maneno haya, Mungu amemharamishia Pepo. Nawatakia siku njema.
Indonesia
1
4
20
204