WatengwaWTC
108 posts

WatengwaWTC
@WatengwaWTC
Watengwa is a legendary hip-hop collective based in Arusha, Tanzania, specifically from Kijenge Juu.Pioneers of Arusha Style Swahili Hip Hop.
Kijenge Juu,Arusha,Tanzania Katılım Mart 2026
0 Takip Edilen62 Takipçiler

Wakilisha Bendera ya Utengwani kila pande ya dunia.
Endelea Ku enjoy Single mpya "Walinzi wa Hip Hop" inayopatikana katika kila jukwaa la muziki.
Tunaitwa WATENGWA
#WalinziWaHipHop #FullIleBaraka

Arusha, Tanzania 🇹🇿 Filipino

@Noel_Noddie @MoruoKing Ngoma inaitwa Mjeshi na ni dedicated Kwa Mtengwa Marehemu Donald "Donnie" Mkenda
Stream kwenye all DSPs
HT
WatengwaWTC retweetledi

Washington DC tofauti sana na Kijenge../
MacTosh PC tofauti sana Kisenge../😀😀😀
Oi @WatengwaWTC hii line inapatikana kwenye ngoma gani ya Chindo!?
Msaada cc: @MoruoKing
Indonesia
WatengwaWTC retweetledi

@Noel_Noddie @WatengwaWTC Hii ngoma ipo kwenye album ya LOMAYANI,inaitwa "Maisha"
Amemshirikisha jamaa anaitwa AHMED
#TunaitwaWatengwa
audiomack.com/chindoman-1/so…
Filipino
WatengwaWTC retweetledi

@Ngalimited @watengwa-wtc?si=J1oK9gjwRLocBxEb" target="_blank" rel="nofollow noopener">youtube.com/@watengwa-wtc?…
QME
WatengwaWTC retweetledi

Walinzi wa Hip Hop imefika Sahara Media,nyumbani Kwa Kiss FM,RFA na Star TV.
Asante Watengwa wote Kwa support.
New single available on all digital streaming platforms
🔥🙏🏿✌🏿🔐
#FullIleBaraka
Filipino

Verse ya Mkubwa Yuzzo WTC kwenye Walinzi wa Hip Hop
New single available machochoro zoteeee
#WalinziWaHipHop #Watengwa #WTC
HT

Introducing a frontline Battalion commander D Wee
Sisi ni Walinzi wa Hip Hop na Baraka ni Full kwetu
#FullIleBaraka
Indonesia

Verse ya @jcb_makalla kwenye Walinzi wa Hip Hop
Available on all digital streaming platforms
#FullIleBaraka
English
WatengwaWTC retweetledi
WatengwaWTC retweetledi

@MoruoKing nikienda pale dukani kwa JCB napata iyo Tshirt?
WatengwaWTC@WatengwaWTC
Watengwa tayari tupo @Radio5tz kutambulisha "Walinzi wa Hip Hop" Single ya pili kutoka album ijayo ya Full Ile Baraka Tune in kutokea kila eneo ✌🏿🔐🔥
Filipino
WatengwaWTC retweetledi

Watengwa well represented at @radio5tz
Asante Radio 5 Kwa ukaribisho.
Endelea kusikiliza Walinzi wa Hip Hop katika kila digital streaming platform
#FullIleBaraka

Filipino
WatengwaWTC retweetledi
WatengwaWTC retweetledi
WatengwaWTC retweetledi

@WatengwaWTC @Radio5tz Tunaisubili hiyo album ✊🏿👮🏿♂️
Filipino
WatengwaWTC retweetledi

Nasikiliza Funiko base hapa ya @Radio5tz naona Dj kaanza na Miaka mingi ya @WatengwaWTC kwako kaka mkubwa @MoruoKing
Filipino



