Erasto William Mayala

40 posts

Erasto William Mayala

Erasto William Mayala

@WaterMe65619922

Limited

Mwanza, Tanzania Katılım Nisan 2021
1.9K Takip Edilen396 Takipçiler
Ze Planmaster
Ze Planmaster@ZPlanmaster·
Mtumishi yupi ni tapeli zaidi kati ya hawa?
Ze Planmaster tweet media
Indonesia
318
78
505
67.3K
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Umepanda bus kwenda mkoa, alafu unakuta umepangwa na manzi kali kinoma na wewe huwa unatapika kila ukisafiri utahama siti au unahairisha safari?
Filipino
4
10
40
1.3K
GRINGO018🎨🖌️
GRINGO018🎨🖌️@018Salama·
Nikiwaza kutumia nyasi au kimti kama toothpick huwa nawaza kwanza kama naweza kukojoa hiyo sehemu au kama mkojo unaweza kupafikia.
Indonesia
3
9
17
330
Mr. CEO 💰
Mr. CEO 💰@MrCEO001·
Mikoa ambayo inaongoza kwa idadi ya vifo vya vijana Tanzania 1. Iringa 2. Dar es salaam 3. Njombe 4. Mbeya 5. Mwanza 6. Arusha 7. Dodoma Sababu kubwa zikiwa ni ngono zembe na magonjwa ya zinaa 🙌🏃‍♂️ Source: Tanzania National Bureau of Statistics)
Indonesia
8
10
38
1.7K
Ímmanuel
Ímmanuel@Tinolove15·
😂🫵
Ímmanuel tweet media
QME
44
87
631
15.5K
Masaki
Masaki@selemasaki·
Unasikia mtu mwenye kazi serikalini anakwambia "amka mapema ukapambane maendeleo haya subiri mtu mvivu" huku yeye Ofice yake inafunguliwa saa 8:30 Am
Indonesia
1
5
34
501
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Ukiachana na mwanasiasa ni nani mwingine anapenda sifa?
Filipino
4
1
8
235
M.B.G
M.B.G@_kingOFstreet·
Ila Huyu bro sijui anakulaga nn eti 'DAKIKA 20 PER HOUR ' 😀
Indonesia
12
19
212
16.2K
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺@SwahiliRealTalk·
Mwaka 2017 aliyekuwa mfanyabiahsra maarufu wa Tanzania na kiongozi wa ‘Freemason’ Afrika Mashariki, Jayantilal Keshavji “Andy” Chande amefariki dunia huko Nairobi nchini Kenya. Jayantilal Keshavji “Andy” Chande alizaliwa May 7, 1928 Mombasa Kenya, na wakati wa utoto wake aliishi Bukene mkoani Tabora ambako ndiko alikopata elimu yake ya msingi. Elimu yake ya sekondari aliipata katika Shule ya St. Peter’s School iliyoko Panchgani, walaya ya Satara, Jimbo la Maharashtra nchini India. Baada ya kufanya vizuri katika mitihani yake ndipo alipopata jina jipya la ‘Andy’ ambalo ndilo alikuwa akilitumia mpaka mauti yalipomkuta. Baada ya kumaliza masomo yake, alirudi nchini Tanzania na kuendelea kumsaidia baba yake katika shughuli za kibiashara. Mnamo mwaka 1967 wakati azimio la Arusha lilipopitisha sera ya utaifishaji, mali nyingi zilitaifishwa na kuwa za serikali. Ujuzi aliokuwa nao Andy ulimfanya Mwl. Nyerere amteue kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Taifa la kuhifadhi nafaka (National Milling Corporation) Mpaka kufikia mwaka 2015 alikwa na utajiri wa dola za kimarekani milioni 892 sawa na TZS trilioni 1.9. Wakati wa uhai wake amewahi kupokea tuzo mbalimbali ikiwemo ya (Knight Commander of the Most Excellent Order of the British Empire) KBE mwaka 2003 ambayo ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kupewa raia wa Tanzania. FOLLOW ME @SwahiliRealTalk kwa historia nyingi zaidi
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺 tweet media
Indonesia
15
26
138
27.6K