Mnakumbuka story ya babu alieleza kwamba alihifadhiwa na wasamaria wema, sio ndugu zake lakini pamoja na madhaifu yake walimpokea kama Baba yao na wakaishi nae miaka minne (4)kwa upendo mkuu, hawa sasa ndio peponi moja kwa moja.
Introducing the all-new #GalaxyS25Ultra & #GalaxyS25, your ultimate companion. Enjoy smart living with #GalaxyAI—edit out unwanted noise from your videos & get a personalized briefing of your day from morning to night. All powered by Galaxy's most advanced processor!
👉🏽 Mwana hata kama ikitokea amejikuta kwenye ngoma yenye Rappers zaidi ya 100, ila anachojitahidi ni kukufanya umtambue pindi Muda wake wa Michano utakapofika 🙌🏽
Stylz, Mitambao na Swaggz za utamkaji Maneno unamfanya awe tofauti na Rappers wengi sana 🔥
Mimi Shabiki yake kinoma noma......Anaenda kama 10K_DEGREEZ kutoka "FRESH BOYS"
Oyaaaaaaaaa eeeeeeeeenh
"Fresh Boys ~ Ile ile"🎶
Mwanamke hapendi kuwa single kama amewahi kuwa sexual active kwa muda mrefu.
Sasa akisema lets breakup nipumzike swala la mahusiano kwa sasa ujue kakudanganya.
Uhalisia ni kwamba anakua amepata mwanaume ambae ni bora zaidi yako.
And mind you bro.
Uko replacable, you can be replaced any time bro. Bro kuna kikosi kime line up kumsumbua deku wako incase ajitoe akili.
Bro demu wako anajua ata date na nani after kuachana na wewe na mara nyingi hawarudi nyuma.
Ataenda kwa msela ambae ni bora kuliko wewe katika aspect fulani.
@middocrown@ommyfitness Mwnng Hii kitu inabd tu kuikubali in Hard way mana ndo ukweli hatuwez waelewa Hawa viumbe bila kutanguliza akili be4 hisia Lazm ulie kaka 😀
Hip-Hop Is Not Dead 📌. Kwenye hoja ya album mwanetu inabidi arudi kwenye folder's zake vizuri coz kwenye kipindi tu cha December kuja mpka mwaka huu zimetoka body of work za kutosha tu Mfano 👇