Manka akee

2.7K posts

Manka akee banner
Manka akee

Manka akee

@WitnessJonas

love& care🌹🎶 God above all

Tanzania Katılım Şubat 2023
1.3K Takip Edilen982 Takipçiler
millardayo
millardayo@millardayo·
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Isimani na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Vangimembe Lukuvi, kilichotokea leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa mshtuko wa Moyo. Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na kusainiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka. Marehemu Lukuvi alikuwa akihudumu kama Mbunge wa Isimani Mkoani Iringa na Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu wa shughuli za Serikali, pamoja na masuala ya watu wenye Ulemavu. Rais Samia ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Familia ya marehemu, Ndugu, Jamaa, Wananchi wa Jimbo la Isimani na Watanzania wote kwa ujumla. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
109
32
581
38K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Hivi O-level wanatumia calculator now days? Au Ivan ananipanga?🤔
Română
96
42
1.2K
57.6K
Manka akee
Manka akee@WitnessJonas·
Ivi ukitaka izi video uku X zisiplay unafanyajee?? Maana ukiingia ukikuta video inajiplay yenyew woiii
Indonesia
0
0
0
11
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
“Wapenzi wa Simba sasa tunakwenda kufanya mambo makubwa. Lakini la pili tunakwenda kutengeneza kadi za kisasa ambazo hapa Tanzania hakuna mfano wake, itakuwa kadi yenye matumizi mengi kwa mwanachama. Lakini mabadiliko yakikamilika mwekezaji sasa anakwenda kujenga miundombinu. Muda si mrefu pale Bunju panakwenda kujengwa uwanja wa mazoezi wenye nyota tano.” - Mwenyekiti wa Bodi, Crescentius Magori. #NguvuMoja
Simba Sports Club tweet media
Indonesia
43
11
222
22.9K
Manka akee
Manka akee@WitnessJonas·
Another year of Grace. Thank you Lord. Happy birthday to Me 🎂 🥳
English
0
0
0
14
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Tumeumizwa wote na kutoka hapa ni kuendelea kuwa #NguvuMoja ili kuipambania Simba yetu.
Simba Sports Club tweet mediaSimba Sports Club tweet mediaSimba Sports Club tweet mediaSimba Sports Club tweet media
Indonesia
124
24
513
37.1K
Mbeya City Fc
Mbeya City Fc@Mbeyacitycf·
Usikute yupo p*riod?!?🚶‍♂️
Mbeya City Fc tweet media
Filipino
288
237
1.6K
143.6K
Manka akee
Manka akee@WitnessJonas·
@SimbaSCTanzania Mtafte jina lingine la kujiita sasa hili la mnyama haliwafai tena
Indonesia
0
0
1
203
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Marioo na yeye kapewa lift anaunga mkono tu kila kitu hakumbuki tena Dar Kugumu 😂😂😂😂
Indonesia
32
22
361
10.3K
💎
💎@Oziko_Jo·
@MaraHo0d @CatherineRuge Tunamsubiri😳sijui Atatuambia Nn? Wana Mugumu na viunga vyake kwa Ujumla
Indonesia
2
0
0
46
Manka akee
Manka akee@WitnessJonas·
Maisha yakikupa ukubwa chagua kuwa mnyenyekevu..
Indonesia
1
1
7
117
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Ulivyokaa hapo mtu hawezi kujua Kama ile good morning hujajibiwa 😂😂😂
Indonesia
12
12
93
2.5K
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Umemsave jina gani mpenzi wako??😂👇🏻
Filipino
86
24
244
15.5K
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Ukipata mwanzo mpya jitahidi kwa namna yeyote usirudia makosa ya zamani.
Indonesia
12
38
323
7.3K
Dr Mmbaga
Dr Mmbaga@ZakayoMmbaga·
Binafsi Mwalimu Christopher Mwakasege nimemjua zamani sana, kipindi ambacho huduma yake bado haijakua kuifikia nchi nzima, akifanya huduma Arusha na Kilimanjaro (Alifika mpaka vijijini, Mbaga-Msindo, early 1990’s), tangu miaka hiyo hadi leo hii kitu hajapoteza ni UNYENYEKEVU👏🏼👏🏼.
Dr Mmbaga tweet media
Indonesia
61
116
748
47.7K
Mohamed hussein 15
Mohamed hussein 15@Hussein15Mo·
Alhamdullilah🙏🏾, daima mbele nyuma mwiko👊🏾🔰
Mohamed hussein 15 tweet media
Indonesia
201
115
1.5K
45.8K
KIKO
KIKO@kikovikojunior_·
Hivi mkiambiwa toa hiyo Password na unipe hiyo simu huwa mnafanyaje?😂
Filipino
4
1
11
2.6K
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Karibu Simba SC, Rushine De Reuck. Kwa taarifa zaidi tumia Simba App, Simba Mastori au Instagram Subscriptions. #NguvuMoja
Simba Sports Club tweet media
Filipino
225
311
2.7K
87.1K