Magoli yangu bora msimu mpaka sasa
1️⃣ Henry David vs KMC FC
2️⃣ Paul Peter vs Fountain Gate
3️⃣ Fabrice Mgoy vs Prisons FC
Mengineyo
4️⃣ Chama vs Mashujaa
5️⃣ Joseph Akandanwaho vs Prisons FC
6️⃣ Shekhan Khamis vs JKT TZ
Wananchi kadi za Yanga zinapatika matawi yote ya @CRDBBankPlc ukitumia kadi hiyo kwenye malipo basi unaingia kwenye droo ya watakaoenda Marekani kushuhudia kombe la dunia
#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍
Baada ya michango ya Tone Tone Arusha Sugu aonekana kwenye night Club akila bata na Wanawake usiku wa manane.
Kufuatia kufanyika kwa mkutano wa hadhara wa CHADEMA Jijini Arusha na kukusanya fedha kiasi cha Tshs Milioni mbili,Joseph Mbilinyi maarufu SUGU ameonekana usiku wa manane akiwa kwenye night club ya The Hub akiwa amelewa chakari na Wanawake wa Jiji hilo.Hii ikimaanisha michango ya Tone Tone inatumiwa na wahuni wachache wa CHADEMA.
Max Dowman mtoto wa miaka 16 ana kombe la EPL, lakini mchezaji bora wa msimu anapewa Bruno Fernandes mwenye miaka 31 ambaye hajui hata kombe la EPL linafananaje. Hii ni robbery ya hali ya juu katika historia ya tuzo hizi. Tuzo hii alistahili kupewa David Raya kipa wa Arsenal.
Sad hii ndio shida yetu wengi tukiwepo sehemu zenye fursa, tunataka kuonekana tupo hapo ila tupate picha zakupost na story za kusimulia ila hatufaidiki na chochote kifursa
Sitaki sema Jemedari alimkuta Juma Offguard but trust me chukua waandishi wote waliokuwepo kwenye huu msafara wa Rio, hata ule wa Drogba na mingine mingi itakayokuja na uwaulize same questions amini hawatakua na positive context wala majibu ya maana zaidi ya kuruka ruka
Nazijua changamoto za wanahabari na maripota (nimeishi huko) ila kuna muda tunatakiwa kujua aim ya msingi ya kila tunachofanya au kushiriki na sio tu kuonekana ulikuwepo au ulishiriki halafu basi utaishia kupost tu picha na kuhadithia kwa wanao
Content creators wanapata content kwenye mambo kama haya sababu ya field yao ila Mwanahabari ambaye amekua kwenye msafara wote amesikiliza speechs, amefanya interview lakini still hana anything ya maana yakuzungumzia ziara aliyoishiriki
🚶🏾♂️kazi ipo
Ni vile tu Bongo kuna USIMBA na UYANGA ila MEENA alikosea sana kuleta mambo ya Chama kwenye ujio wa RIO FREDINAND.
✍️ : Kwanza Chama si Mtanzania
✍️ : Rio hajaja kwa ajili ya NBC kaja kwa AFCON
✍️ : Msigwa alimwambia unaharibu na akaendelea kuposti
“Hili linaweza kushinda tuzo ya goli bora la mwaka duniani.”- haya sio maneno ya semaji au admin, haya ni maneno ya mchezaji wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Rio Ferdinand kuhusu uzuri wa bao la Clatous Chota Chama dhidi ya mtani Young Africans.
Basi kuna watu wanaumia 😂😂😂
🎥 @CloudsMediaLive#NguvuMoja
Mapendekezo ya Tume ya Uchunguzi;
1. Majeruhi wapatiwe matibabu na vifaa saidizi bure.
2. Itengwe siku ya maombolezo ya kitaifa ya kuwakumbuka waliofariki.
3. Kutolewe msaada wa kisaikolojia na kijamii kwa waathirika.
4. Katiba Mpya ipatikane ifikapo 2028.
5. Serikali iunde Tume ya Maridhiano.
6. Liundwe Baraza la Wazee kuisaidia Tume ya Maridhiano.
7. Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi itekelezwe kikamilifu.
8. Iundwe tume ya uchunguzi ya kijinai ili kushughulikia tuhuma zilizopo.
9. Polisi waimarishe uhusiano wao na jamii.
10. Serikali na vyombo vya dola vitekeleze majukumu kwa kuzingatia misingi ya demokrasia.
11. Maadili na miiko ya viongozi na watumishi wa umma visimamiwe kwa karibu.
12. Baraza la Taifa la Vijana liundwe na litumike pia kama jukwaa la maridhiano.
#UkweliOktoba29#UkweliOktoba29#UkweliOktoba29