MWALIMU🙏🇹🇿 retweetledi

Bandari ya Uvuvi Bagamoyo Kujengwa Mbegani
Serikali imeonyesha mwonekano wa kisasa wa Bandari ya Uvuvi Bagamoyo inayotarajiwa kujengwa katika eneo la Mbegani, Bagamoyo. Mradi huo unalenga kuimarisha sekta ya uvuvi nchini kwa kuongeza uwezo wa kuhifadhi na kusindika mazao ya bahari, kuboresha huduma kwa wavuvi pamoja na kuchochea ajira na ukuaji wa uchumi wa maeneo ya pwani. #UchocheziMtandaoni
#TumeYaUchunguziReport
Sauti Za Wananchi

Indonesia






























