Yeggo

565 posts

Yeggo

Yeggo

@Yeggo82

Katılım Ekim 2023
15 Takip Edilen5 Takipçiler
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi Wamekataa kuketi, kusomewa uongo Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏
Suomi
100
771
4.2K
67.2K
Yeggo
Yeggo@Yeggo82·
@godbless_lema Kuweni na msimamo na consistency! Mmemkataa sio Rais, baadae mnasema serikali yake??? Mmetamka tume ni batili na ripoti ni batili. Mwishoni mnatwambia kudondoa muhtasari wa ripoti? How? Why? Komaeni muaminike ama mnafanya utapeli usiowasaidia. Rais yupo na ni Samia.
Indonesia
1
0
3
364
I am who I am
I am who I am@MakulaJr_·
@IAMartin_ I'm very sorry kwa kanisa katoliki la mitume, nilihamia Sabato nikiamin huku ndo kuna hiphop, all over the suddenly since last year nimejua exactly wapi mtu mwenye akili timamu anatakiwa kuabudu.!
Filipino
7
5
120
6.1K
Yeggo
Yeggo@Yeggo82·
@joeselasini Kama ukweli unakufanya kuwa Jaji Mkuu, tunashangaa kwa nini huwi Jaji Mkuu?
Indonesia
0
0
0
198
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Hata waongo nao huzeeka. Huyu aliwezaje kuwa jaji Mkuu?
joseph_selasini tweet media
Indonesia
66
92
469
18.3K
Maibobo Wakitaa.
Maibobo Wakitaa.@MaiboboWakitaa·
@Tweener003 @MkulimaKante Uyu alitakiwa kuwa Mh Mbunge mpka Waziri anafaa kabisa Sababu mifano hai anayo mingi mno Mtu anakuwa Waziri ata la Maana kabisa ajawahi kufanya.
Indonesia
2
0
6
2.6K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Moja ya kati ya watu wenye IQ kubwa Afrika mashariki na kati ,hivi huyu jamaa atakuwa amesomea chuo gani hapa Tanzania ?
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
66
74
961
54.8K
Yeggo
Yeggo@Yeggo82·
@joeselasini Tume imekuibua na unataka ikuumbe upya! Huu utabiri haukukufaa ndani ya chama chako ila kwa CCM?
0
0
1
133
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Baada ya ripoti ya JAJI OTHMAN CHANDE; Natabiri wananchi kutoridhika, hasira kali na maandamano makubwa kuliko ya tarehe 29.10.2026. Tatabiri uasi ndani ya CCM na madai ya mabadiliko ya ndani. Natabiri dunia kuunga mkono na kuweka mashinikizo yatakayoathiri uchumi wetu.
Indonesia
42
182
1.2K
20.6K
Yeggo
Yeggo@Yeggo82·
@MO29TV Huyu ni TAPELI. Aliwadanganya vijana kukiwasha kwa ahadi kwamba Jeshi lipo nyuma yao na kwamba wanajeshi wengi wanawaunga mkono !!! Huu tu ni ushahidi wa nia ovu dhidi ya serikali na ilikuwa ni kuchezea kamali uhai kwenye suala kutafuta na kulinda madaraka ya nchi
Indonesia
0
0
0
71
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Mange Kimambi amezungumza akiwa hoi anaumwa kuhusu Ripoti ya Jaji Chande.
Filipino
28
123
616
12.9K
Athman MWINYI
Athman MWINYI@Mwinyi1Athman·
@Advocate_Jebra walitaka tuone tume iko na credibility kubwa kwa kuweka mtu anayeaminika kimataifa. Tume imeshindwa kuleta majibu muhimu tuliyokuwa tunayasubiri kama vile hao watu 518 waliokufa walizikwa wapi na nani??
Filipino
1
0
0
67
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Chande anakuwa kwenye Tume za kuchunguza matukio ya nchi za watu ambazo yeye sio raia wa nchi hizo, Sasa kwanini na yeye hakuona umuhimu wa kupata mtu ambaye sio raia wa Tz kuchunguza ya TZ? Mnatuletea ujinga?, Sisi sio watoto! Kifuatacho ITV “IGIZO” Wakuu njaa mbaya sana!!
Indonesia
29
214
988
21.8K
Yeggo
Yeggo@Yeggo82·
@MK47TA @HecheJohn Makamu mwenyekiti yumo humu ku retweet kila post ya mwanaharakati🤣
Indonesia
0
0
0
231
MK47TA
MK47TA@MK47TA·
Pole sana @HecheJohn naona sasa hali imekuwa mbaya kuliko ulivyotegemea na jahazi lako linaanza kuzama rasmi. Baada ya Katibu wa BAZECHA Tanga kujiuzulu na kukuumbua mchana kweupe ni wazi kuwa hata wale waliokuwa karibu nawe wamegundua huna jipya na wamechoka na siasa zako za kilofa. Hii ni aibu kubwa inayothibitisha kuwa ushawishi wako umekwisha na unabaki kuwa mpiga kelele tu usiye na mashiko kiufupi huna jipya. Inasikitisha kuona unazidi kupoteza mwelekeo huku misingi yako ya kiuchochezi na unafiki ikibomoka nani tena amebaki anayekuamini zaidi ya kivuli chako mwenyewe? Vijana wenu wenyewe wamechoka kuwa chambo cha siasa zenu za chuki na matusi. Heche ulidhani kelele zako za Twitter zitafunika ukweli ulioko field? Huyu hapa Katibu wako wa Tanga amekutupa kule na amekuchana laivu kuwa siasa zako ni za kitapeli na hazina tija. Vijana wamegundua kuwa mnawatumia kama madaraja ya ninyi kupiga pesa kwenye mataasisi yanayowafadhili na kiki huku wao maisha yao yakibaki duni.
MK47TA tweet media
Filipino
29
18
26
7.4K
Yeggo
Yeggo@Yeggo82·
Kiburi cha CCM ndio kilichoma vituo vya mabasi? Kiburi cha CCM ndio kilitishia kukata vidole vya wapiga kura? Kiburi cha CCM ndio kiliharibu na kuvuruga uchaguzi? Lissu aliwahakikishia wafuasi wake kwamba uchaguzi utavurugwa na watakinukisha na kweli vijana wakaingia mzigoni
MWANAMAPINDUZI@MachumuKadutu

Wakili Mwabukusi asema CCM ni chama chenye kiburi sana kwani wao kama TLS walifanya kila namna kuhakikisha mazungumzo yanafanyika kabla ya Oktoba lakini hawakufanikiwa.

Suomi
0
0
0
48
Citizen TV Kenya
Citizen TV Kenya@citizentvkenya·
Roads: Tanzania answers Ruto Tanzania govt disputes Ruto’s claim on road network Ruto: Kenya has about 20,000KM of tarmacked roads Tanzania roads minister termed the claim misleading Ulega: Tanzania has about 16,000KM of tarmacked roads #CitizenExplainer
English
59
90
652
78.8K
Yeggo
Yeggo@Yeggo82·
Nyinyi wafurahia vifo, twambieni huyu Askofu alikuwa mwovu? Kama hakuwa mwovu why amekufa wakati mmekubaliana kwamba viongozi wa serikali ama Chama Cha Mapinduzi wanakufa kwa sababu ya uovu wao?
Chadema Tanzania@ChademaTZ2

Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn na Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika wakisaini kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu, Jimbo la Kondoa katika Misa ya maziko ya Askofu Bernardin Francis Mfumbusa.

Indonesia
0
0
0
26
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Kesho tutamtangaza rasmi Chande na GENGE lake la kumtakasa muuwaji Samia kuwa maadui wa Taifa.
Indonesia
18
126
854
13K
Mwigulu Nchemba, PhD
Mwigulu Nchemba, PhD@mwigulunchemba1·
Hujambo ndugu, nimepokea swali lako. Tafadhali nipatie mawasiliano yako ili niweze kupata ufafanuzi zaidi na kulifuatilia ipasavyo.
Hancy Machemba@hancymachemba

Mh waziri mkuu @mwigulunchemba1 mchumi na msomi hasa. Naomba kujua kwann serikali inapambana sana kuinua wananchi wake na wakati huo huo Kuna baadhi ya taasisi za serikali zinauwa uchumi wa watu hao hao? Unakuta supplier anadai tasisi kwa miaka pengine mtaji kakopa bank.

Filipino
90
52
496
146.7K
Mdunguaji
Mdunguaji@Mdunguaji23·
@hancymachemba @mwigulunchemba1 Kosa lako ni kumtambua kama Waziri mkuu na wakati unajuwa na wewe ni shahidi Mwigulu si Mbunge halali wala Waziri mkuu halali
Indonesia
4
0
58
15.3K
Hancy Machemba
Hancy Machemba@hancymachemba·
Mh waziri mkuu @mwigulunchemba1 mchumi na msomi hasa. Naomba kujua kwann serikali inapambana sana kuinua wananchi wake na wakati huo huo Kuna baadhi ya taasisi za serikali zinauwa uchumi wa watu hao hao? Unakuta supplier anadai tasisi kwa miaka pengine mtaji kakopa bank.
Indonesia
27
12
197
127.8K
Janeth Joel Rithe
Janeth Joel Rithe@JaneRithe·
Anaridhiana na watu hajawahi kugombana nao hawana shida na yeye alichukuwa kura zote kwa wizi wa kutiki na wakasema uchaguzi ulikuwa huru na haki anaridhiana nao nini?hivi kweli anaridhiana na mwajuma ndala ndefu wagombea ambao waliunda group Moja la WhatsApp wanachati hahahahah
Janeth Joel Rithe tweet media
Indonesia
12
15
65
3.8K
Yeggo
Yeggo@Yeggo82·
@ntwax5 @EsirEid Unapambania taifa kwa kuchoma gas stations, wizi wa mali za watu na kuchoma na kuharibu public infrastructures?
Polski
0
0
1
24
🇹🇿🇺🇲🇮🇱
@EsirEid Na kusema watu wanakula bata wakati lisu yupo jela si kweli hivi tulio umizwa okto 29 hatukuwa tunapambania taifa? Au jera ndio kipimo sahihi? CCM ni washenzi tukishidwa kutegua mitego yao tutajikuta hatua hizi chache tulizo piga kuelekea ukombozi zinarudi zero
Indonesia
3
0
2
301
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Watu wanaojidai kushangazwa/kukasirishwa na LISSU kuzungumza Au kuweka maridhiano na Serikali Regardless to whether akiwa Gerezani Au Huru ni WANAFIKI na WABINAFSI MNO! Dunia KWA Sasa imebadilika saana ni KATILI MNo … International Laws zipo kwenye karatasi tu ila Hazifatwi… Kanuni ni ile ile ONLY THE STRONG WILL SURVIVE! Iran,MOJTABA khamenei -Marekani /Israel-Wameua BABAKE MZAZI,MKE wake na Familia yake…wamelipua Raia wakiwemo wanafunzi 168… wamelipua miundo mbinu nk… Ila BADO wanaenda PAKISTAN kuzungumza, Kuona jinsi gani watayamaliza maisha yaendelee… Alafu wewe unajidai Hutaki Lissu azungumze- Ningewaelewa Kama na nyie mliopo URAIANI,mngegoma kuzungumza na serikali Au kuifanyia kazi… Ila wewe ni mfanyabiashara- BADO unaendelea na shughuli zako na unalipa Kodi serikali bila shida… mlioajiriwa serikalini mnaenda kazini… kila kitu kipo Normal Alafu unaendelea kufurahia mwingine yupo Gerezani! Yaani mtu mmoja akupiganie wewe… Kama kweli mngekuwa na hio NIA… Watu wote mngegoma hamfanyi chochote hadi LISSU Aachiwe Huru… Walimu msiende shuleni, Madaktari msiende Hospitalini… mlioajiriwa msiende kazini… Wafanyabiashara Msiagize mizigo… mathalan, waagiza mafuta wagome kuagiza hadi lissu aachiwe huru nk. UCHUMI usimame… Wiki moja tu- LISSU angekuwa URAIANI… Ila nyie mnaendelea na your normal duties- mmeshaHALALISHA serikali mnayoiita ni HARAM… Alafu LISSU awapiganie😅 mnashangaza! Kama kweli unampenda LISSU hauwezi furahia akiendelea kukaaa KOROKORONI… sio Sawa kwanza Kwa waliomweka in the first place Ila DUNIA HAIJALI… Hakuna HAKI kwenye DUNIA KATILI… Kimsingi tayari- RAIA tumesha MSALITI TUNDU… maamuzi yoyote ambayo LISSU atayachukua… ni HALALI na HATUMDAI Kwa chochote Kile…
Indonesia
127
113
571
34.8K
Yeggo
Yeggo@Yeggo82·
@OptimistTz @Innocen89950594 @EsirEid Kuna mjenga vipi kisiasa? Kama gereza linajenga watu kisiasa, hebu nawe omba tukuone ili kesho uwe mbunge na waziri ama mwenyekiti wa chama cha siasa
Indonesia
0
0
1
8
𝓞𝓶𝓶𝓲𝓮~𝓖 🇹🇿.
@Innocen89950594 @EsirEid Uhuru wa mtu ni suala la kikatiba. Sio utashi wa kikundi flani cha watu. Lissu is very smart anajua kuendelea kukaa jela kuna mjenga kisiasa. Lissu as man of Principles sitegemei mazungumzo. Aliyetoa wazo la kumfunga alikosea sana.
Indonesia
1
0
3
312
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Hapa sio barabarani ni JNICC sehemu yenye ulinzi mali tu kuingia hapo unakaguliwa kawaida sehemu hii viongozi utembea tu kwa mguu maana hiyo gorofa hapo nyumba ndio ukumbi wenyewe leo Iddi Amini mama ameogopa kutembea katika ya mama lishe na baba lishe amepelekwa na gari na hakushuka kwenye gari hawa ni watanzania wa hali ya nchi ambao wana hasira naye, amepima anaona bora apige long distance relationship bora uendelee hivi hivi maana watu wanakuchukia, mnakagua watu gateni lakini bado mnaogopa kuwasogelea si uache kufanya hizi drama ukae na Abdul mpige mipango na madili, watanzania si ni wajinga tu au ?
Think Different tweet mediaThink Different tweet mediaThink Different tweet media
Indonesia
23
31
348
51.6K
msouth
msouth@msouth_Tupac·
Huyu ndie msemaji mkuu wa raia wa Tanzania akisema amesema raia wote tunamtii na kumuelewa sana emb tuone Serikali ya wabakaji inayoongozwa na muuaji anaejiita ni Raisi wa Tanzania anavyopigwa lockdown ndo atajua yeye sio raisi bali ni muhalifu anaepaswa kua jela
msouth tweet media
Indonesia
12
76
406
3.9K