Sabitlenmiş Tweet
Fasha Babe🌹🇹🇿
8.4K posts

Fasha Babe🌹🇹🇿
@_adorablefasha
Mama Rannie🤍..God is love♥️__Scorpio♏ l love good music 🎵 @youngafricansportsclubfun💚💛
Katılım Ağustos 2021
3.5K Takip Edilen6.6K Takipçiler

@zumbekhan Ustar mzigo sana yaani mtu hata akitembea zake inakuwa nongwa🗑️
Filipino

@majestymasculin whoever runs this accnt, you are stupid, selfish, mean, cold, & are never going to have close, happy relationship. you are an incel for a reason.
English
Fasha Babe🌹🇹🇿 retweetledi

@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @Balyx_ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 Amekuwa kama housegal jamn😂😂😂😂
Indonesia
Fasha Babe🌹🇹🇿 retweetledi

Haikuwa ajali ya kawaida, makosa ya kibanadamu zaidi ndio yasababisha ajali hii
Msiba uliotikisa Dunia, kuanguka kwa Titanic! Meli iliojengwa kwa kiburi.
Ndani yake walikuwemo mabilionea wa dunia, wafanyakazi wa kawaida, na familia zilizokuwa na ndoto mpya za maisha.
Usiku wa baridi kali Aprili 14, 1912, meli kubwa zaidi kuwahi kujengwa—RMS Titanic, ilipiga mwamba wa barafu na kuzama kwenye Bahari ya Atlantiki.
Ilikuwa safari yake ya kwanza kutoka Southampton, Uingereza, kwenda New York, Marekani.
Lakini ndani ya saa chache, meli hii iliyotajwa kuwa isiyoweza kuzama ilitokomea baharini, ikiacha historia ya majonzi ulimwenguni
Lakini nini kiini cha ajali hii tofuati na wewe unavyofahamu?
Thread 🧵 👇🏾

Indonesia
Fasha Babe🌹🇹🇿 retweetledi
Fasha Babe🌹🇹🇿 retweetledi

@eastafricatv Na kuna basi za Dar njombe zinaleta Waathirika mjini
Indonesia

#HABARI Wakati mkoa wa Njombe ukiwa na watu 66,979 wanaoishi na Virusi vya UKIMWI, mkoa huo umeendelea kusambaza kondomu ili kukabiliana na maambukizi mapya ya virusi hivyo huku vijana wakitakiwa kuendelea kuchukua tahadhali na janga hilo.
Taarifa ya UKIMWI mkoa wa Njombe iliyosomwa na Dkt David Ntahindwa, kwa niaba ya Mganga Mkuu mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na UKIMWI imesema idadi hiyo ambayo ni sawa na asilimia 109 ya wanaojitambua imeendelea kufanyiwa kazi kwa kusambaza kondomu katika maeneo mbalimbali pamoja na kutoa elimu.
Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema mapambano dhidi ya UKIMWI, yanapaswa kuendelea bila kupepesa macho kwani suala la unyanyapaa kwa sasa halina nafasi.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Ummy Nderiananga, amesema maelekezo yote ya kamati hiyo ya kudumu ya Bunge serikali itakwenda kutekeleza kwani bado kuna changamoto kubwa ya maambukizi ya VVU kwa vijana.
#EastAfricaTV

Indonesia

Ni mwaka 1984, kulikuwa na stori moja kubwa nchini Nigeria, stori hiyo ilimuhusu mchungaji Benson Andrew Idahosa na kundi la wachawi.
Ngoja nikupe stori.
Baada ya wachawi kufanya mikutano yao kwa miaka mingi pale Chicago nchini Marekani.
Sasa wakaamua kwenda kufanya mkutano wao mmoja katika Mji wa Benin nchini Nigeria.
Wachawi wote wakapeana taarifa kwamba hatimaye mkutano ulikuwa unakwenda kufanyika huko.
Stori ikamfikia mchungaji Idahosa, akasema kwamba mkutano huo hautofanyika nchini Nigeria.
Watu wakashangaa, inakuwaje mkutano usifanyike? Haraka sana waandishi wa habari wakamfuata na kumuhoji.
Akasema ni kweli, mkutano huo hautofanyika.

Filipino

@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @JayleenRickie @MissChelsea1221 @Balyx_ Uyu anavuta unga kweli😅💔..kwanini asome kwenye simu vitu anavyovijua😅😅💔
Indonesia

@MfaumeSeif5 @Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @JayleenRickie @MissChelsea1221 @Balyx_ Eti jmn😅😅😅
Indonesia

@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @JayleenRickie @MissChelsea1221 @Balyx_ Anasoma michambo kwenye simu
HT

Mungu ni mwema! Lydia aliyekuwa mshiriki wa BSS mwaka jana amepata umaarufu wa ghafla baada ya video yake moja tu kuzua gumzo mitandaoni. Alikuwa na wafuasi 15k, Na sasa ana zaidi ya 81k! Licha ya kufika Top 5 kwenye BSS, njia yake imekuwa na baraka zaidi mwaka huu. Ni ushahidi tosha kwamba Mungu ana mipango yake!"
Soma Zaidi 👇 na video 👇

Ruiru, Kenya 🇰🇪 Indonesia






















