d3nyo

8.5K posts

d3nyo banner
d3nyo

d3nyo

@_denyoh

chelsea fan & Football fanatic | Spreading laughs & vibes | Always ready for a good match or a quick comeback | Living life kwa wastani

Katılım Eylül 2021
991 Takip Edilen583 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
d3nyo
d3nyo@_denyoh·
Sad generation yenye happy pictures✊🏾
English
2
4
13
0
d3nyo retweetledi
#FreeNinja
#FreeNinja@MwansasuSnr·
Mwanetu Ninja @Ninja_Damour yuko Nje kwa Dhamana. Ahsante kwa kila mtu na Special shout out kwa @Cowwbama ✊👊
Indonesia
62
288
911
17K
d3nyo retweetledi
Billy
Billy@BillyTronix1·
Free Him now #FreeNinja
Billy tweet media
English
0
217
427
5.1K
d3nyo retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Nyie ambao hamna bundle la kuandika ‘Free Ninja,’ we see you! Na haina shida. Lakini shida haina adabu!🙏🏽 Free Ninja Now!!
Indonesia
10
365
1K
12K
d3nyo retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Polisi wanasema 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati, Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, @Ninja_Damour na kupelekwa kituo cha Polisi Chang’ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu (ambavyo hawajaeleza) na kwamba katika mahojiano ya awali ametoa ushirikiano kwa kueleza mambo mbalimbali (kwa mujibu wa taarifa yao). Hatua za kisheria zinakamillishwa ili afikishwe kwenye mamlaka zingine za kisheria. Kimsingi, tutampa msaada wa kisheria. #FreeNinja #FreeDamour
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
15
163
937
30.2K
d3nyo
d3nyo@_denyoh·
@TitoMagoti Utoke zako Tz uende Zambia halafu ujiite international student😂😂😂
0
0
2
266
d3nyo retweetledi
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe. Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai ambaye ni mama mzazi wa Damour Nyakairo, ameeleza kuwa kijana wake amechukuliwa asubuhi ya leo na watu waliokataa kujitambulisha, na kumpeleka kusikofahamika. “Wameondoka naye hatujui kapelekwa wapi. Wametoka huko watu saba wakaja,mimi nashangaa watu wanakimbia mvua au wanakimbia nini? Moja kwa moja wanamfuata Damur na mimi nimekuwa hapa. Wakamshika, wawili wanamshika na mmoja akatoa pingu mfukoni akamfunga. Nikauliza kuna nini [wakasema] tutajua  huko huko, nyie nani? Wakasema tutajuana huko huko,” anaeleza Lilian Swai mama wa Damour. “Kwa hiyo wakambeba watu watatu wakamshika, wakambeba wakamburuza mpaka kwenye gari. Mimi nikawa nataka kuingia na yeye huko, wananivuta wakanitoa nje.”
Indonesia
68
339
786
59.7K
d3nyo
d3nyo@_denyoh·
@EngMapundajr Na tumikono twao tukishika ubwabwa kuutoa kipengele😂😂😂
Suomi
0
0
1
252
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Chezeni michezo yote ila usije ukarogwa kuweka kidole hapo Mdomoni 😂😂🙌🏿
Eng.Mapunda Jr tweet media
Slovenščina
47
45
272
13.4K
d3nyo
d3nyo@_denyoh·
@Bluckuv Vitu vimeruka bei mkali na hapa ni dar tu
Indonesia
0
0
0
10
Dr Kwala Liwengo
Dr Kwala Liwengo@MankindUwezo·
@flahisha Kuna dogo kaajiriwa kwenye kampun la ulinz alianza salary na 120k mwaka 2012 leo analipwa 250k lkn fika wa mama yake kamjengea nyumba nzur ya vyumba 3 na sebule, kazungusha nyumba za kupanga na anawapangaji 8 sasa japo wa5 wamepanga chumba 1,na wa3 chumba na sebule,ana ng'ombe 6
Indonesia
3
0
1
619
Pancras Flahisha
Pancras Flahisha@flahisha·
Mshahara laki Tatu, Nauli elf4 per day, Assume unakula+matumizi mengine kwa siku ni elf5, Jumla Elf9 per day, 26×9000=234,000 300000-234,000=66,000 Mwezi mzima faida 66,000 Oya Kutoboa Ngumu 🤣🤣🤣🤣🤣
Indonesia
13
9
210
17K
Eng. Paimen✨️
Eng. Paimen✨️@Captain_Josh47·
Kipindi naishi kwa Wazazi, niliwahi kamatwa bar saa 7 za usiku na Doria. Baba yangu aliwahonga Polisi waniweke lock-up siku 5. Mama alikuja kunitoa siku ya pili😂😖💔😭
Indonesia
76
86
1.3K
42.8K
Eddie
Eddie@ak48503·
@TouchlineX I'll rather go to prison for nine months than skip football for 3 years. Also, I really, really hate therapy
English
6
0
4
7K
The Touchline | 𝐓
The Touchline | 𝐓@TouchlineX·
🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: The Real Oviedo fan who was calling Marcus Rashford racist insults has been sentenced to 9 months in prison. He was screaming "n****r" while Rashford took a corner in front of him, and everything was captured on camera. He can avoid prison by paying a €2,000 fine, attending a mandatory anti-racism program, and a 3 year ban from football stadiums.
The Touchline | 𝐓 tweet media
English
206
705
12.1K
365.3K
d3nyo
d3nyo@_denyoh·
@BillyTronix1 😂😂😂kwa sisi wa usawahilini FWB huyo ni utakuja kunitembelea lini
Indonesia
1
0
0
32
Billy
Billy@BillyTronix1·
FWB kaanza kusikia wivu
Billy tweet media
Suomi
4
3
89
8.9K
d3nyo
d3nyo@_denyoh·
@HabariTech Opening statement yako haiendani na unachoongelea .... SA hawagombani na watu wa nje meaning sijui Asians americans nk.. wao hawataki waafrika wenzao wapate kazi zao
1
0
0
83
HabariTech
HabariTech@HabariTech·
Wachina sasa hivi wana gereji. Wachina wana maduka ya spare za magari madogo na malori. Mchina ana duka kubwa mfano wa mall linauza vitu kwa bei almost sawa na jumla. Biashara za retail wako nazo ni rundo. Sio xenophobia, ila hili suala ndani ya miaka 10 tutaanza kuona nyufa zake pole pole. Baada ya miaka 20 mpaka 30 kukiendelea hivi tusilie sana vijana wakianze kufanya yale wanafanya SA sasa hivi. Ni sahihi kwamba kwa sasa hivi hii kitu ina -shusha bei kwa mnunuzi na kufanya purchasing power ionekane juu. -inalazimisha ushindani kwenye biashara na kupunguza bei za bidhaa zilizokuwa overpriced. -Tunapata bidhaa za aina nyingi kwa urahisi na haraka. TATIZO LIKO HAPA -Inafanya wafanyabiashara wadogo washindwe kushindana vizuri sokoni. -Wafanyabiashara wataondolewa sokoni. Wanapoteza nafasi yao kwenye biashara za rejareja na viwanda vidogo vidogo. -Faida zilizotakana na biashara ndogo na kuzungushwa nchini, nyingi zitaanza kurudi nje ya nchi. Mtu lazima aendeleze kwao. Hata ukiishi DSM kule kwenu kuna namna utapaendeleza. Ndo iko hivyo kwa wageni pia. Wafanyabiashara wetu wana option kadhaa. OPTION 1: wafanyabiashara wetu wajifunze kubadilika. Wasipo badilika nchi itakuwa na soko ambalo lipo concentrated kwa wageni. Tutategemea sana supply chain ya wageni, na itafika point production base ya wazawa itakuwa negligible. Hivi vitu vitazuia industrialization na ukuaji wa biashara za wazawa. OPTION 2: Wafanyabiasha wamebadilika. Waweze kufanya specilization vizuri kwa hali ya juu, BRANDING hii ndo mchawi inabidi tuweke nguvu kubwa mno, nadhani tukihamia kwenye niche markets tutafanya vizuri sana. Pia kuna bidhaa nyingi ndogo ndogo ambazo badala ya kuendelea import ni vyena tuka import mashine mara moja kisha kuzalisha hapa hapa nchini kwetu kwa wingi. Baadae ikiwa foreigners watafanya biashara kwa miaka mingi wakaiteka supply chain vizuri alafu ghafla wakaondoka. Uchumi utapata mshtuko. Supply chain lazima kwa muda ivunjike na itasumbua mno. Kumbukeni kama watanzania hatutokuwa tumebadilika bei zitapanda ghafla na moja ya kitu kitachangia ni kukosekana kwa wingi kwa baadhi ya bidhaa ambazo wageni waliuza. Uchumi wetu kuweza survive utategemea na umiliki wa bishara na soko kushikwa na wazawa wengi zaidi badala ya wageni wachache kufanya monopoly. Tukiendelea tegemea importation na wageni kufanya vitu inatakiwa kufanya sisi lazima tushindwe mahali. Na ishu kubwa sio hata suala la WAZAWA Vs WAGENI. Hii hata South Africa kule iko hivyo. Ishu ni. USHINDANI, kwenye mifumo ya bei, supply chain, mitaji na ufanisi wa biashara. Watengeneza sheria na sera zetu hapa pia wanahusika ila wakishirikiana na wafanyabiashara katika kuboresha haya yote.
Eric Does@ErickKamihanda

Hizi Discount Malls za wachina zinazo uza vitu elfu tatu kila Kona kwasasa mnaweza kuzichukulia poa lakini effect yake kibiashara itakuja mbele. Inasikitisha kuona Mchina anasafiri maelfu ya maili kuja kufanya Biashara ya recycling ya chupa za plastic hapa kwetu seriously?

Indonesia
14
12
66
9.5K
Vee❤️
Vee❤️@prettylittle256·
@Tatizotatizo @sk_bongomin93 What are we supposed to do about the mum?? Clearly she messed up. And I’m not defending her. But she does not exist in the context here. This is the father wanting to marry a girl he considered his daughter and no logical ma would do that.
English
5
0
8
1.2K
Acholi goddd
Acholi goddd@sk_bongomin93·
A man from Bukedea has broken the record after taking his first born daughter aged 19 years old for a DNA test and found out that she isn't his biological child, when they returned home the man said he can't waste his money Educating a beautiful girl like this one up to University , so he decided that he wants her to be his wife now since she's not his daughter anymore and the girl also accepted, they are getting married soon🤣🤣🙌🙌🙌
Acholi goddd tweet media
English
492
380
3.7K
423.1K