abbleluv

9.3K posts

abbleluv banner
abbleluv

abbleluv

@abbleluv

🇦‌🇧‌🇧‌🇱‌🇪‌🇱‌🇺‌🇻‌

Tanzania, Dar Es Salaam Katılım Mart 2012
272 Takip Edilen727 Takipçiler
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
X wavuvi huyu ni aina gani ya samaki🥸
killo_Killotz tweet media
Indonesia
35
16
73
7.5K
S t e w a r d
S t e w a r d@madeinmusoma·
Sisi tuliopata chanjo ya COVID 19, tunaumia sana kuona nyie ambao hamkuchanja mpo hai mpaka leo 😭
Indonesia
31
17
270
13.5K
Malaika
Malaika@magdiemma·
Hebu kisia alikuwa akitafuta uthibitisho kuhusu nini??😂😂🙌
Malaika tweet media
Indonesia
27
23
147
6.6K
~BINGWA⚡
~BINGWA⚡@BingwaIK·
Ipi ni bank bingwa wa muda wote?👇
~BINGWA⚡ tweet media~BINGWA⚡ tweet media~BINGWA⚡ tweet media~BINGWA⚡ tweet media
HT
40
22
108
7.4K
abbleluv
abbleluv@abbleluv·
@Jizzlewantandu 😃🤣🤣🤣 Jizzle kama ukipata hela fungua Betting ni hela plus hela hela za bure
Indonesia
0
0
2
93
#FREETUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU
Vunjabei labda hakuomba ushauri akafungua betting 👇 Online Betpower Sportbety In door Premier bet Thronebet Meridian Playmaster G sports Bongo makampuni ambayo yamejikita na yana wateja ni haya maana hajajiuliza Wasafi bet & sportpesa mbona kimya YOU LOST
Indonesia
39
37
375
25.9K
abbleluv
abbleluv@abbleluv·
@RevocatusMagum1 Waandaaji washukuru Mungu jana Mh. Makonda alikuwepo. Wananchi waliheshimu uwepo wa Waziri otherwise kingenuka pale.
Indonesia
0
0
2
670
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🥊 Sakata la Ibrahim Mafia vs Alvin Camique Pambano lililomalizika hivi karibuni kati ya Ibrahim Mafia (Mtanzania) na Alvin Camique (Mfilipino) limeacha mjadala mzito katika tasnia ya ngumi Tanzania. Mafia alitangazwa mshindi kwa pointi, huku Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akikabidhi zawadi ya milioni 5 kutoka kwa Rais Samia. Aidha, Camique pia alipewa milioni 5 kwa uchezaji wake wa kuvutia kama “entertainer boxer.” Lakini kilichotikisa zaidi ni mawazo ya mashabiki waliolalamika kwamba Camique alistahili ushindi. Mashabiki walifika mbali kuimba jina la Mfilipino, wakionesha kutokuamini matokeo ya majaji. 🔎 Taswira kwa ngumi ya Tanzania - Uaminifu wa majaji: Sakata hili linaibua swali kubwa juu ya uwazi na uadilifu wa uamuzi wa majaji. Mashabiki wakihisi matokeo si ya haki, tasnia hupoteza imani. - Heshima ya mashabiki: Kuona mashabiki wakimpa heshima zaidi mpinzani wa kigeni kuliko bingwa wa nyumbani ni ishara ya changamoto kubwa kwa tasnia ya ndani. - Fursa ya mageuzi: Tukio hili linaweza kuwa kengele ya kuimarisha mifumo ya uamuzi, kuongeza uwazi, na kujenga imani ya mashabiki. - Nguvu ya burudani: Zawadi kwa Camique inaonyesha kuwa ngumi si tu ushindi wa pointi, bali pia burudani na mvuto wa ulingoni. Kwa ushuhuda wa macho yako Nani alistahili kua bingwa?
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
9
3
101
17.4K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Miaka ya 90’ kuna bia ilikua inaitwa BINGWA, picha linaanza unaambiwa kabisa haijatengenezwa kunywewa ya moto. Sasa wewe jichanganye unywe ya moto uone😂😂😂
Indonesia
65
24
507
32.5K
abbleluv
abbleluv@abbleluv·
@zoetjesheeftX Kwani huyu dogo aliwafanya nini wananzengo mbona wanamuua sana😃😃😃
Indonesia
0
0
0
104
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Sema Tabata mbali kmmmke, mnawezaje kuishi huku wanangu😂😂
Indonesia
15
3
136
6.8K
abbleluv
abbleluv@abbleluv·
@Addy_Adams Ile V8 ya Prof Assad anayotembelea kali sana imekaa kama ya Tour.!
Indonesia
0
0
0
609
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Mtu aliyeweza kuacha v8, Ofisi Down Town, Nyumba Masaki, Mshahara Mkubwa, Pension ya kutosha na kusimamia ITIKELI ni Prof Assad pekee Mwamba mwingine mwenye ITIKELI ni LISSU kakataa malundo ya Dully Sykes na Offer ya kuishi Nje ya nje ale Pipi Sisi wengine kwanza TUTAFUTE HELA
Indonesia
23
73
709
28K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Mwandishi 🎤 Naskia Irene Uwoya umewahii kukaa Jela miaka miwili, unaweza kutuambia kosa lilikua ni nini na ilikuaje? Irene Uwoya. 🎤 Ni kweli nimekaa jela miaka miwili kwa kosa la kukutwa na Passport 25 pamoja na pesa Dollar Million moja sawa na (2.5 Bilion) Tsh Mwandishi 🎤 Hizo passport ziye zilikua za nani Irene 🎤 Zilikua za kwangu zina picha yangu ila za nchi tofauti tofauti Mwisho ----------------------------------- Wakuu nawasihi sana usitamani maisha ya wenzako hujui wanapataje pesa na hujui mangapi wanapitia
Headboy wa mtaa tweet media
Indonesia
16
19
142
29.8K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Kuna muda unaimiss Nyagi ila ukimkumbuka DJ Choka unakuwa mpole!
Filipino
42
46
765
49.7K
abbleluv
abbleluv@abbleluv·
@TheRealJongwe 😂😂😂😂😂 Ila Mshua hela ya suti si ulipata humo humo ndani ? Breakeven✅️
Filipino
0
0
0
29
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Hii nchi tumeipambania sana kubabake! Hapo wadwanzi walichana suti yangu mpya kabisa ya Calvin Klein, MATAKO YAO!😎 #FREELISSU #KATAARIPOTI
Joseph Mbilinyi tweet media
Filipino
270
500
4.1K
81.3K
Trica Online Store
Trica Online Store@TriciaAbou·
Hawa Mlandege kwenye dirisha kubwa lijalo watatoa wachezaji ambao watakuja NBC ✅ Unaweza kubashiri Azam Fc wataokota hapa
Indonesia
5
6
147
3.5K
abbleluv
abbleluv@abbleluv·
@heisnabeel Bora mmalizane na Maema leo leo ! Kule kuna Pacome hacheki na Kima
0
0
0
45
abbleluv
abbleluv@abbleluv·
@Veesmart2 Basi wewe wakishua unajitegemea na bado unaumwa !
Filipino
0
0
0
6
Veesmart2🌹
Veesmart2🌹@Veesmart2·
Toka nimeanza kujitegemea nikiumwa sijawahi kuchagua chakula wala kutapika😂😂
Suomi
35
33
192
4.3K
abbleluv
abbleluv@abbleluv·
@SimbaSCTanzania Bashiri Out ! Kante Out ! Maema acheze namba 10 akisubiri kumpisha Chama dakika ya 75 ! Loemba au Mwalimu aingie
Indonesia
0
0
0
79
abbleluv
abbleluv@abbleluv·
@Buberwa_ Mimi niliwaambia jamaa zangu kama hawatoniita Dalali Msomi wasiniongeleshe
Indonesia
1
0
2
422
Eng.Harrison HR
Eng.Harrison HR@Buberwa_·
Hivi kwann wanasheria mnawaita mwanasheria msomi? Mbona sioni Engineer msomi? Au sisi hatusomi? 😂😂
Indonesia
42
18
241
14.8K