Rais RUTO kawasili nchini kapokelewa na Rais SAMIA, ila kuna vitu bado sielewi sijui ni Protocol au kwanini hana ADC au ni utaratibu ukishakua Ikulu za nchi nyingine unamuacha ADC wako.
𝐍𝐈𝐌𝐄𝐏𝐄𝐍𝐘𝐄𝐙𝐄𝐖𝐀 : James Temba alikua WINGA Kariakoo na pale IFM marafiki zake walimuonya aache kutapeli watu, kuna mtu (Apoli) alikua na ugomvi naye alimtapeli hela ya IPhone 17, walitafutana tangu Februari huenda jamaa kalipiza kisasi.
@tanpol Namba ya Apolo ninayo
“Much love, my friend—I miss you deeply. You are still one of the finest brains this country has. I’m keeping you in my prayers—may God give you the courage, strength, and resilience to rise above every challenge before you.”
🚨 JUST IN
Anicet Oura kaumia tena mazoezini hatokuwa sehemu ya mchezo wa kariakoo derby 03 may
Inasemekana Oura ana injury za mara kwa mara zisizotibika timu yake ya zamani ilimuacha kwasababu hiyo Simba walimsajili akiwa na injury amekaa nayo ndani ya miezi 4 sasa inamsumbua
@MwansasuSnr@Ninja_Damour Ajatuma meseji chafu kwa watu wa Tume ya Rais?kuna msako unaendelea kudaka watukanaji kwa viongozi wa Tume.....mdomo uliponza mwili.
Nimeongea na Mama yake Damour Nyakairo almaarufu @Ninja_Damour amenithibitishia ni Kweli Damour alifatwa nyumbani kwao na kuchukuliwa na watu wasiofahamika. Wamemuangalia vituo vya Polisi karibu wamemkosa.
Hii ndio taarifa niliyonayo kwa sasa.
Huyu pimbi kinachomfanya awe mropokaji ni kwasababu ya hasira za wanae kunyimwa uraia pacha...
Alikua anajifanya ni mzalendo wa tz sijui nini na nini kumbe alikua akitaka kupitia hivyo wanae wapate uraia wa Tanzania huku akiendelea kua raia wa Uingereza kinyume cha sheria za Tanzania ambazo kama una apply uraia wa nchi hii lazma uukane uraia wa nchi yako.
Jambo ambalo hakulikubali akadhani sababu ya ushawishi angefanikiwa lakini aligonga mwamba so hivi sasa amepata angle ya mandela pori (CHIBA) ndio anapoza machungu yake.
Waziri wa Vita wa Marekani akitandikwa maswali ndani ya Bunge la Congress alipoingia kutaka Bajeti ya Dola Trillion 1.5 ipitishwe.
Akaulizwa Oparetion Midnight Hammer mlisema mmemaliza Uwezo wote wa Iran 🇮🇷 wa Nuclear, ghafla mwaka huu mkasema mnapigana kuhakikisha Iran hamiliki Nuclear na ghafla mkasema tumeshinda, ghafla mnahitaji mazungumzo na ghafla mnahitaji pesa zaidi.
Imagine Tundu Lissu anajifanya anapambania watanzania, lakini anaenda Mahakamani anashindwa hata kupambania Nywele zake, na bado alipofika anawauliza Makamanda eti leo ni JUMATATU, this man hayuko SAWA
Mwambieni Hilda na wanachadomo wengine kwamba;
Ikitokea Lissu kaachiwa leo wakati kesi haijafika mwisho, basi watambue hayo ni makubaliano aliyoingia na dola baada ya kutepeta,
Na hili ni automatic anakuwa amewasaliti wanachadomo wote na sisi watu wema nchi hii tutahubiri nchi nzima tukieleza usaliti wake!
BREAKING NEWS : Hatimaye Bwana VUNJA kaliwa kichwa Isimani, ilishangaza mtu alipozaliwa Kalenga hakupita kura za maoni then aongeze kura za maoni ugenini, ingekua ajabu CCM kama wangempitisha.
UVCCM msicheze namimi niko mbele ya muda kuliko nyinyi, haya rudisheni hela za zake.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Paul Makonda ameyasema hayo wakati wa Uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa kukabiliana na mmomonyoko wa maadili, Aprili 29, 2026 Jijini Dodoma
Zaidi: jamii.app/MakondaRushwa#JamiiForums#Uwajibikaji#Utawala
Tabiri na Ushinde SH 50, 000🎉
🟢 YANGA SC 🆚 SIMBA SC 🔴
Tabiri Mfungaji wa Bao la Kwanza na Matokeo ___👇
NB: Folo Whatsapp channel yangu mshindi atatangazwa huko baada ya gemu: whatsapp.com/channel/0029Vb…
Wakili msomi Peter Madeleka ameibua madai Aprili 27, 2026 akidai kuwa Tume wakati inaanza kazi yake ilikuwa inarusha matukio yake mubashara, lakini taarifa za wahanga zilizotolewa hadharani hazionekani kwenye ripoti ya mwisho. Madeleka amesema kuwa watu walienda kutoa taarifa zao, lakini walikuwa hawahojiwi kwa kidodoso na walikuwa wakipeleka ushahidi wa upande mmoja.
Wakili Madeleka ametoa mfano wa kusikitisha wa bibi mmoja aliyetoa taarifa mbele ya Tume akieleza kuwa alipelekwa mochwari akiwa bado mzima.
“Taarifa ya huyo bibi kwenye hotuba ya Chande haimo, licha ya watu kuwa waliona bibi akitoa taarifa zake mbele ya tume. Bibi aliamini yale anayoyatoa mbele ya tume yatakuwa sehemu ya ripoti ya tume, ila Jaji Chande kwenye hiyo ripoti hajaongelea kabisa na hao watu wa mochwari waliompeleka huyo bibi akiwa hai bado wapo kazini,” amesema Madeleka.
Aidha, Madeleka amemtaja mama mmoja aliyetoa taarifa zake kamili mpaka anapokaa na anajulikana, ambaye aliiambia Tume kuwa mume wake alipigwa risasi wakati akitoka nje tu kuangalia kinachoendelea.
Madeleka amedai kuwa hata taarifa ya huyo mama kwenye ripoti hiyo, ambayo yeye anaiita ni hotuba, haimo.
@VungaEl74 Hata kama alikuwa hampendi Samia angesubira amalize muda wake, then ndio amponde, Humphrey alikuwa mnafiki tu, kwenye utawala wa jiwe alikuwa kibri sana, yeye chuki yake kubwa kwa Rais wa sasa ilikuwa ni dini yake tu, hakuwa na uzalendo wowote