
Absalom Kibanda
2.6K posts

Absalom Kibanda
@absakibanda
Author, Communication Strategist, Editor, Analyst, Media Personality, Political & Leadership Consultant, Columnist & Former Chair Tanzania Editors' Forum.
Dar es Salaam Katılım Temmuz 2012
4.6K Takip Edilen63.5K Takipçiler


@UlimwenguJm @vicensiashule @raiyajenerali Happiest birthday our steadfast mentor and an evergreen opinion maker. Let your lifw ahead continue to shine and your brain sharpened
English

Join me in celebrating my beloved husband as he marks a beautiful new milestone ….. ❤️happy birthday to JU @raiyajenerali !💕
Allah akujalie maisha marefu, afya njema, furaha isiyo na kikomo, na mafanikio endelevu katika uandishi wako, uchapishaji, na tovuti yako mpya, The Jenerali Ulimwengu Post (thejeneraliulimwengupost.com), jukwaa linaloelimisha, kufahamisha na kuhamasisha kupitia mitazamo huru kuhusu jamii, siasa, utamaduni na mawazo yanayobadilisha fikra na jamii.
Chapisho lako uliloandika kwa ushirikiano na Dkt. Azaveli Lwaitama, Pan-Africanism: The Re-membering of a Nation, liwe nuru kwa wanafunzi, wanafikra na viongozi wanaotafuta kuelewa na kuendeleza haki, heshima, umoja na maendeleo ya Afrika na diaspora ya Afrika.
Naiombea kazi yako iendelee kuchochea moto wa uwanamajumui katika mioyo ya vijana (viongozi wa sasa) na kizazi kijacho, ikiibua mapinduzi chanya ya fikra za ujasiri katika kuleta haki, amani na maendeleo endelevu kwa bara letu la Afrika.



Indonesia
Absalom Kibanda retweetledi
Absalom Kibanda retweetledi

Nashauri ukiweke kitabu hiki katika orodha ya vile utakavyovisoma.
You may wish to add this book to your list of titles to read this year.
@MkukiNaNyota
@Afbkcollective

English

@sah50gb @mwinzari24044 Nataka kulipia baada ya kumaliza mwezi nashindwa
Filipino

@DrSalimArchive @ikulumawasliano Wote wanne walipata kuwa mawaziri wakuu
Filipino

@JacklineZa82471 @TitoMagoti Kwa lugha yako hii, uliingia darasani taaluma ya habari yenye miiko na maadili mahusi lakini kwa sababu ya kukosa sifa hizo hujahitimu, hujaelimika. Mwanahabari anajua ukomo na namna ya kuandika… eti ‘wengi’ umewahesabu lini, wapi?!
Indonesia

@absakibanda @TitoMagoti Kibanda ni msenge sana,amesababisha vijana wengi tuliohitimu taaluma ya habari na mawasiliano kukata tamaa,huyu mtu ni mbwa mwitu
Indonesia

Yeye, Kamwaga, Kibanda, Balile, Majid & Co walipewa kandarasi ya mamilioni kumfanyia PR Samia. Leo hawawezi kuandika hata Tweet. Wanamangamanga tu. Samia ananuka damu. Wanahaha kumtafutia uhalali. Watu washenzi sana!
Martin Maranja Masese@IAMartin_
WINGA WA SIASA...
Indonesia

@RamarJemedal @TitoMagoti Taifa liko msibani. Kwetu mfiwa huwa hana nguvu ya kutukana wala kukejeli. Endelea.
Indonesia

@absakibanda @TitoMagoti We tahira, aliyetufikisha hapa anajulikana muuaji anajulikana, Mtaje sio unaishia kumtaja kwenye PR tu bladifakeni, Kuma mburugusi
Indonesia
Absalom Kibanda retweetledi

VIDEO:
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Mkoa wa Dodoma, Askofu Evance Chande, amewataka viongozi wa dini na wadau mbalimbali kutumia siku chache zilizosalia kuelekea uchaguzi mkuu kutoa elimu kwa makundi mbalimbali hasa vijana kuhusu umuhimu wa kudumisha amani.
Akizungumza leo Oktoba 25, 2025 jijini Dodoma katika kongamano la viongozi wa dini wa Kanda ya Kati (Dodoma na Singida) kuliombea taifa amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu, Askofu Chande amesema ni muhimu kuwaelimisha vijana kutotumika vibaya na kujiingiza kwenye vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa nchi.
“Tukae na vijana tuwaambie kwamba sumu haionjwi. Unaweza ukasema nitaandamana vyovyote itakavyokuwa, bila kuelewa madhara yake. Tuwape elimu hawa vijana, wasije wakaitumbukiza nchi hii kwenye matatizo,” amesema Askofu Chande.
Indonesia
Absalom Kibanda retweetledi

Living With Cancer-A Diary Of Hope With Prof. Mark Mwandosya (Swahili) rss.com/podcasts/hadit… via @rss
English

Nakusalimu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Uliondoka miaka 26 iliyopita ukitamani kuona demokrasia ikitamalaki, haki na amani vikistawi, umoja, mshikamano na maendeleo vikishamiri. Badala yake sasa, Watanzania tuko vipande vipande. Upendo umetoweka na wananchi na viongozi sote hatuna tena hofu ya Mungu. Ushetani umetukamata. Tunaabudu PESA na MADARAKA.
Indonesia

CCM itafakari sana kauli hii ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuhusu sifa ya chama cha siasa instagram.com/reel/DPzInqGkj…
Indonesia
Absalom Kibanda retweetledi

“Oh my god… I have no words.”
Listen to the emotional moment this year’s laureate Maria Corina Machado finds out she has been awarded the Nobel Peace Prize.
Kristian Berg Harpviken, Director of the Norwegian Nobel Institute, shared the news with her directly before it was announced to the world.
#NobelPrize #NobelPeacePrize
English

I’ll be speaking this year as well. Looking forward to reconnect Peter. Congrats to the #FTAfrica team at @FT @ftlive for a fantastic program and impressive lineup of speakers.

Dr. J. Peter Pham 🇺🇲@DrJPPham
The 2025 edition of one of my favorite #Africa-focused gatherings, the #FTAfrica Summit, kicks off three weeks from today in London, #UK🇬🇧. I will be speaking again at this year’s event, which has as its theme “Africa in a changing world.” For more info: africa.live.ft.com
English

Taifa liko vipande vipande. Tumegawanyika. Tunaelekea kusambaratika. Maneno mazito ya Baba Askofu Benson Bagonza yanachoma moyo. #TUJISAHIHISHE. Huu si tena wakati wa kunyosheana vidole. Kila upande UCHUTAME. Tumefika katika ncha ya korongo
Indonesia

Hii ndiyo taswira halisi ya maisha duni ya Watanzania ambayo Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia ameirithi kutoka kwa watangulizi wake. Si makosa kuirejesha kwa vitendo kaulimbiu ya Rais Mstaafu @jmkikwete ya ‘Maisha Bora kwa Kila Mtanzania’. Kila nikipanda #sgr na kuona picha hii siachi kujiuliza, nimeifanyia nini nchi yangu?! The Vicious Cycle of Poverty…
Filipino









