Sabitlenmiş Tweet
𝐁𝐥𝐞𝐬𝐬𝐢𝐧𝐠𝐬
1.7K posts

𝐁𝐥𝐞𝐬𝐬𝐢𝐧𝐠𝐬
@ally_blessings
⚖️ Legal Officer & Consultant 🎓 LL.M | ADR Expert ⚖️ 💪 Made by Struggles | Fueled by Hustle 🤍 📌 Filled with Joy
Katılım Kasım 2025
277 Takip Edilen152 Takipçiler
𝐁𝐥𝐞𝐬𝐬𝐢𝐧𝐠𝐬 retweetledi
𝐁𝐥𝐞𝐬𝐬𝐢𝐧𝐠𝐬 retweetledi

Alafu kama alitembea 80KM sisi inatuhusu nini, tumsaidieje?🚮
SIR TIVA@Sativa255
KM 80 Unaongelea umbali wa kutoka Mbeya mjini mpaka CHIMALA. Ukiamua utembee kwa miguu kwa mwendo wa mtu anaefanya mazoezi ni masaa 17 kwenda juu (hapo kwenda tuu) Sijui huu ushenzi wa kutaka kujiona wao ndio wamesoma mazingira magumu sana sijui unawasiaga nini hawa wajinga.
Indonesia

Mwabukusi umenyooka sana 🙌

Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface
Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika Leo Tumezungumza na Vyombo vya habari kuhusu Utawala wa sheria, Ripoti ya Mh. Jaji Mstaafu Othman CHANDE na uendeshwaji wa Shauri la Ndugu yetu na Rais Mstaafu wa TLS ndugu Tundu Antipas Mugway Lissu. BAK MWABUKUSI
Indonesia

@ally_blessings @TonnyUnfiltered Pole sana kaka mimi nahisi akifanya hivyo anakula mabanzi
Filipino
𝐁𝐥𝐞𝐬𝐬𝐢𝐧𝐠𝐬 retweetledi
𝐁𝐥𝐞𝐬𝐬𝐢𝐧𝐠𝐬 retweetledi

@Iam_Estomin @eralera0123 bed sofa yako ikiungua ujue unaanza upyaa
हिन्दी
𝐁𝐥𝐞𝐬𝐬𝐢𝐧𝐠𝐬 retweetledi

@Mwinshehe07 @tisadavidtisa viongozi wa aina hyo bado wana u pre colonial era umewajaa vichwani
Indonesia
𝐁𝐥𝐞𝐬𝐬𝐢𝐧𝐠𝐬 retweetledi

Viongozi wazembe wanaamini wananchi kuteseka au kukosa huduma ndio sifa ya uongozi! Badala ya kuwajibika kujenga miundombinu na kuboresha maisha ya wananchi wanaowatumikia, wanashindana kuelezea walivyopitia mateso zamani
Utasikia: “Mimi kipindi nasoma nilikuwa nakula mlo mmoja tu kwa wiki nzima…”Kana kwamba shida ndio kipimo cha uzalendo au uongozi bora
Indonesia


















