Baba'ke
14.8K posts

Baba'ke
@babaiftah
Imani || Uvumilivu || Mafanikio ||Mume||Baba

Jioni hii nimefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar es Salaam, Comrade Shangwe, tukijadili masuala mbalimbali ya UVCCM (Seneti) pamoja na kufanya tathmini ya kongamano la CHASO lililofanyika leo. Amenieleza kuwa hali ni nzuri vyuo vingi vya Dar es Salaam vinaongozwa na viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka UVCCM, na juhudi zinaendelea kuhakikisha wanavyuo wengi zaidi wanaendelea kuunga mkono Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aidha, katika mkutano wa CHASO wa leo, sehemu kubwa ya washiriki walikuwa vijana wetu waliokwenda kufuatilia na kuelewa kinachoendelea. Kwa upande wa Songwe, kama Mwenyekiti wa Seneti, hali ni imara sana idadi kubwa ya vijana wa vyuo na wasomi wanaendelea kuunga mkono siasa, itikadi na sera za CCM. VIVA Vijana VIVA 💪🏿 #UVCCM #CCM #Vijana #Uongozi



Ukijua namna ya kukusanya hela ndogo ndogo za Maskini ushawin maisha.


@mgwadila1 Dabaga ndio wapi masta




Ila mambo ya simu jamani ni private. Ndio maana inaitwa simu ya mkononii… mnapataga wapi ujasiri wa kuipekenyua simu ya ‘ntu’ 😅 unakuta msg ur man/woman labda anasemwa kwenye family group now thats not a good thing to see no? 😅 my point is kuna vitu hutakiwi tu kuona.



Idk but I’m a firm believer that if you want your relationship to work, don’t post it on social media. I’ve seen it happen too many times to think it’s just a coincidence 😭😂




@fintanjr_ Unaoa Demu aliepo Dar😂😂😂😂 Toka chombo mkoani kizalishe Non Stop wakifika watoto watatu hana cha kukwambia akicheat atarudi tu





