KengeWaMaziwa🇸🇦🇸🇦🇸🇦

17K posts

KengeWaMaziwa🇸🇦🇸🇦🇸🇦 banner
KengeWaMaziwa🇸🇦🇸🇦🇸🇦

KengeWaMaziwa🇸🇦🇸🇦🇸🇦

@Jabiri_

Katılım Nisan 2013
929 Takip Edilen469 Takipçiler
KengeWaMaziwa🇸🇦🇸🇦🇸🇦 retweetledi
#FreeNinja
#FreeNinja@MwansasuSnr·
Oya mrudisheni mwanangu @Ninja_Damour akiwa salama. Get home safe bro 😭
Indonesia
9
95
256
8.5K
Mene Mene Digital
Mene Mene Digital@DigitalMene·
@NikoJMT Erick Kabendera ndiye mtanzania Pekee aliyewashtaki vodacom kupelekea kukamatwa, kifupi ni Mitandao ya simu yote inatoa taarifa binafsi. Hili pia ni kosa na wanatakiwa kushtakiwa kwa kuwa wanavujisha taarifa binafsi kama hawana kibali cha mahakama.
Indonesia
2
0
15
2.5K
YHWH
YHWH@NikoJMT·
Kwahio mnajuaje with absolute certainty kwamba anaishi hapa na atakuwepo muda huu?
Indonesia
14
2
92
43.9K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Sema hapa Anko zangu wahuni walituokota Mno kmmk..,Hamna Kanali wa NaTo Hapa 😅😹🙌🏿
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
128
70
750
57.1K
sylvester bernard
sylvester bernard@SYLVESTERNGATU1·
@EngMapundajr Kuna mwana hadi aliweka profile picture babake oyaa namwambia oya hakuna mtu humo makelele tu anajibu yule kanali wa nato siraha zote anajua hata jeshi la nato linampa support nikaona huyu huyu kichwani fuse zimechomoka hajui hata nato ni nini
Indonesia
1
0
3
99
Baba'ke
Baba'ke@babaiftah·
@Afruturist @KennedyMmari Serikali inachukua kodi kwa kila muamala kwenye hizo kampuni,kwao ni mapato,sidhani km wanajali wanaoliwa au uraibu utakaozalishwa.
Indonesia
2
0
1
431
Jumanne Mtambalike
Jumanne Mtambalike@Afruturist·
Huu ni mjadala hatuko tayari kuufanya ila unaimpact kubwa sana kwenye taifa letu... 1. Kuna mdogo wangu ni "degenerate gambler" anabet kila kitu kilicho mbele yake. Alishabet mzigo wa biashara niliompa wote. Watu wanaficha mpaka hati za nyumba na document za msingi. Nimenyoosha mikono nabaki nasikitika tu... 2. My high school mate and a close friend started slowly. Mshikaji sasa hivi ni kama teja. Ameshauza Kila kitu chake, cha washikaji na cha family members. I struggled helping him for two years nikaishia kupokea vimeo vya polisi daily kila akizingua... 3. Recently, I met a Bolt driver, kijana muuza magari alikua na mtaji mkubwa in millions akabakiwa na 15 Million only, kaishia kununua gari kufanya Bolt. Thankfully, amejitambua amelipia huduma za recovery anaendelea vizuri. I think we need; 1. To educate people to gamble responsibly, and be intentional about it... 2. To better regulate these companies to make them more responsible to the society... 4. To create more special places to support people with gambling addiction. We are going to have a lot of them in the next few years with our current trends...uko uswahilini kwenye "Madude" yale hali ni mbaya...kids bellow 18 there all over them... 3. Radically, to search for alternative revenue sources and models that create wealth without messing up our people... Mtazamo wangu...
Lubasha Jr@MarekaMalili

Ukijua namna ya kukusanya hela ndogo ndogo za Maskini ushawin maisha.

Indonesia
30
45
221
29.8K
N I N J A
N I N J A@Ninja_Damour·
Wanao wakipewaga show za viwanjani hali ndio inakuaga kama hii 😃😃 Mkiona Mkato ananyanyua hao hua mnadhani analoga sio.
PABLO@PabloYende

@KINGLUDA18 hamtaki maoni ya Wadau 🤠🤠 maana kila show aliekalisha mkato ni ya clouds au kill music

Indonesia
19
4
46
8K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Hapa ni Mafia mkuu, Kwa juu Hilo gati lilizinduliwa na Mh Jakaya Kikwete mwaka 2013. Hiyo boti ya Mafia Line kipindi hiko alikuwa anaendesha jamaa mmoja anaitwa Sudi, Achana na hiyo kulikuwa na MV KILINDONI hii ndo ilikuwa funga kazi kmkmk mkifika Simbaulanga lazima ulie 😀
TANZANIA BUSES NATION@BusesNation

Nyamisati

Filipino
4
5
45
4.6K
TERRY☯️
TERRY☯️@Dr_GodfreyTerry·
@BarakaMaviatu @MarekaMalili Halafu Mkuu kupiga story na watu wengine mwishowe utaishia kutoelewana nao! Wataanza kukuona unajiskia, etc. Hivyo, mwishowe, Kwa sababu ya mitazamo tofauti, ni Bora kujitenga tu.
Indonesia
1
0
3
280
s=klogw
s=klogw@keithevans2685·
@BillyTronix1 Kasome ndugu yangu,it's 2026 hii knowledge iko kwenye finger tips zako
s=klogw tweet media
Filipino
1
0
1
150
Billy
Billy@BillyTronix1·
King ni head of state na PM ni head of Goverment! Kila wiki PM anaripoti kwa King muenendo wa nchi na mambo yanavyoendelea PM anatokea chama chenye viti vingi bungeni ila anakuwa appointed na King Bado unahisi kuna demokrasia? 😂😂😂😂
Ray Asel@rayasel94

@privaldinho Ufalme sio serikali, serikali ya Uingereza inaongozwa na prime minister

Filipino
21
6
116
10.3K