Benjie
8K posts

Benjie
@benjamin11214
African
Province of Moscow, Russia Katılım Eylül 2017
2.2K Takip Edilen695 Takipçiler

@DearS_o_n Neutral people are the ones who will have a problem with this cause they are busy juggling masters to please . Once you have principles you know who won’t like you before even setting your eyes upon them.
English

Tanzania will perplex you more
𝐅𝐢𝐧𝐞𝐡𝐚𝐢𝐫@Finehairr_
Kenyan universities keep producing graduates for jobs that stopped existing 15 years ago
English

@Mtaalam_01 Watu msio shika billioni mnadhani wenye mabillioni wanatumia akili zenu kuwekeza? 😂😅.
Indonesia
Benjie retweetledi
Benjie retweetledi
Benjie retweetledi

Stendi kuu ya matatu katika Jiji la Nakuru imegeuka kuwa uwanja wa muda wa mchezo wa mpira wa miguu baada ya shughuli za usafiri kusimama kufuatia mgomo wa waendesha daladala, maarufu matatu unaoendelea nchini Kenya.
Katika hali isiyo ya kawaida, makondakta, wafanyabiashara na baadhi ya madereva walionekana wakicheza mpira ndani ya stendi hiyo leo Jumatatu Mei 18, 2026 kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta.
#mwananchiupdates
#tunawezeshataifa
Indonesia

@VungaEl74 Japan anakampuni nyingi kimataifa. Sababu ya standard ya vitu vyake china baadhi ya bidhaa ziko kimataifa ila anauza raw materials sana kimataifa. Ila nyingi ziko africa maana ni za kampuni ndogo ndogo za wazaliwa wa china.
Indonesia

@IAmHaule Iyo analysis ilifanywa mda mrefu sana. Asilimia kubwa ya maskini walio pewa msaada katika pesa waliacha kufanya maamuzi ya kujikimu wakaanza tafuta namna ya kukuza na kuhifadhi mali, ila maskini walio saidiwa chakula na vitu waliviuza na wengine kua waraibu wa madawa .
Indonesia

@she_is_nancy255 Mlivyo maskini hamuwezi labda single father’s wawakatae kwa ajili ya malezi mazuri ya watoto wao.
Indonesia

@Ndera_Wirtz @Adv_innocent Sana sana wabongo hawa ni wanafki kuliko wanavyo isifia serikali saivi nikama sio wao walio tumiwa kukaa nyumbani wakati wa uchaguzi. Alafu watakuambia kuna uhuru wa maoni 😅. Gani ?
Indonesia

@barakawamb We ni lofa tuna pishana 0.30 na nchi ya nne unajifanya ni kitu cha kupongeza 😂😂😂 unajua dollar 0.30 ni shingapi? Nchi zaidi ya 30 zina uza mafuta nafuu.
Indonesia

@420Cousin @zittokabwe @jumuiya Kitu unajua ni kusema Mkakati na strategic 😂 ila ukiambiwa ulete feed back ya ilio wanufaisha unashtuka.
Indonesia

@zittokabwe @jumuiya Baada ya kuona proposal ya investor umegundua refinery siyo tu kujenga matenki na mabomba, eeh? Mambo yale yale ya strategic caution mliyokuwa mnasema ni kumkimbiza investor, leo ndiyo unayajadili!!
Indonesia

Kama Tanga Refinery itamilikiwa na Mzee Dangote kwa 50%, Serikali za Afrika Mashariki kwa 25% na Wananchi wa nchi za @jumuiya kwa 25% maana yake ni kwamba kila mwananchi awe na haki ya hisa 1 sawa na usd 12.5 ( shs 30,000). Inaweza kuwekwa sokoni EAC kote a Tanga Refinery Bond!
Filipino

@zittokabwe @jumuiya Shida fikra yao wataanza kuwauzia hizo hisa CCM na sio wananchi kuongeza ushabiki. mtu alie endesha nchi miaka 60 kwa rushwa, mauaji na uwongo ni vigumu yeye kuwekeza kwenye taifa zima hadi wale wanao mkosoa ambao anataka walale njaa. Labda kwa kupaza sauti ila sio fikra zao.
Indonesia

@Granitinho85459 @RamarJemedal @Sisimizi3 PDF iyo apo unataka nikuadicie tena. Nyie malofa wavivu sana unataka ni kusomee? Na ulivyo lofa unajua sensa ilifanywa mwaka gani na takwim zinatoka baada. Acha kua ngombe soma.
Indonesia

@benjamin11214 @RamarJemedal @Sisimizi3 Aisee! hii ndo source sio? Ulizungumzia NIDA! sasa mbona hutumi Takwimu ?
Filipino
Benjie retweetledi
Benjie retweetledi
























