BIMA YA AFYA KWA WOTE 🇹🇿

31 posts

BIMA YA AFYA KWA WOTE 🇹🇿

BIMA YA AFYA KWA WOTE 🇹🇿

@bima_afyatz

Karibu kwenye ukurasa rasmi wa elimu ya bima ya afya kwa wote. Jiunge sasa na skimu mbalimbali za Bima ya Afya kabla ya kuugua ili uwe na uhakika wa matibabu.

Tanzania Katılım Ocak 2023
6 Takip Edilen328 Takipçiler
BIMA YA AFYA KWA WOTE 🇹🇿 retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema inatarajia kurejesha Bungeni tena hapo kesho November 01, 2023 Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama Mwezi February 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Afya Englibert Kayombo amesema “Muswada huu ni ndoto ya Serikali ya miaka mingi ambapo Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeboresha huduma bora za afya kuanzia ngazi ya Taifa hadi ya msingi kwa kuhakikisha Wananchi wanapata huduma bora za afya karibu zaidi na maeneo yao” “Serikali kupitia Wizara ya Afya, Wadau wa Sekta na Wataalamu wengine tayari wamefanyia kazi hoja zote zilizoibuliwa na Bunge pamoja na Wadau, hata hivyo semina zimefanyika kwa makundi mbalimbali ndani ya Jamii kuhusu umuhimu wa Bima ya Afya kwa wote na tulipokea maoni yao na kuyafanyia kazi Wananchi kesho watege macho na masikio yao Bungeni kujua nini ambacho Waziri wa Afya Mheshiwa Ummy Mwalimu atawasilisha Bungeni”   Kuhusu gharama za vifurushi, Kayombo amesema mara baada ya Muswada huo kupita na kuwa Sheria, kanuni zitatungwa ili kuratibu suala ya gharama za vifurushi na kusema kuwa uchambuzi utafanyika ili vifurushi viwe vya gharama nafuu na kila Mwananchi aweze kuwa na Bima ya Afya.  #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
32
16
608
29.2K
BIMA YA AFYA KWA WOTE 🇹🇿 retweetledi
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿@wizara_afyatz·
MUSWADA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE KUTINGA BUNGENI KESHO Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kupeleka tena Muswada wa Bima ya Afya kwa wote Bungeni kesho tarehe 1 Novemba 2023 ambao ulikwama Mwezi Februari mwaka huu baada ya hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo. Muswada huu ni ndoto ya Serikali ya miaka mingi ambapo Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amehakikisha uboreshaji wa huduma bora za afya kuanzia ngazi ya Taifa hadi ya msingi ili wananchi watakapojiunga na Bima ya Afya waweze kupata huduma karibu na maeneo yao. Akielezea utayari wa Muswada huo kuwasilishwa Bungeni, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Afya Bw. Englibert Kayombo amesema Serikali kupitia Wizara ya Afya, Wadau wa Sekta na Wataalam wengine tayari wamefanyia kazi hoja zote zilizoibuliwa na Bunge pamoja na Wadau, hata hivyo semina elekezi zimefanyika kwa makundi mbalimbali ndani ya jamii kuhusu umuhimu wa Bima ya Afya kwa wote na maoni yaliyopatikana yalifanyiwa kazi, hivyo wananchi kesho watege macho na masikio yao Bungeni kujua nini ambacho Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu atawasilisha Bungeni. Amesema kuwa kupitishwa kwa muswada huo kutawezesha kila Mtanzania kuwa ndani ya Mfumo wa Bima ya Afya hatua itakayoboresha zaidi upatikanaji wa huduma za matibabu bila kuwa na kikwazo cha fedha. “Serikali yetu ni sikivu na imefanyia kazi hoja zote zilizoibuliwa na Waheshimiwa Wabunge ambao ndio wawakilishi wa wananchi hivyo yaliyomo ndani ya muswada huo yamelenga kuwasaidia wananchi kupata huduma bora za afya bila ya kikwazo cha fedha”. Amesema Bw. Kayombo. Kuhusu gharama za vifurushi, Kayombo amesema kuwa mara baada ya Muswada huo kupita na kuwa Sheria, kanuni zitatungwa ili kuratibu suala ya gharama za vifurushi na kusema kuwa uchambuzi utafanyika ili vifurushi viwe vya gharama nafuu na kila mwananchi aweze kuwa na bima ya afya. Ameongeza kuwa kwa upande wa Serikali imeshakamilisha maandalizi ya kutoa huduma kwa wananchi kupitia mfumo wa bima ya afya kwa wote ambapo imeboresha ubora wa huduma katika vituo vyake vya kutolea huduma ikiwemo upatikanaji wa Dawa, ununuzi na usimikaji wa vifaa na vifaa tiba pamoja na ajira za watumishi. “Kwa sasa nchi yetu iko mbali sana katika utoaji wa huduma, tuna vifaa vya kisasa vya uchunguzi wa magonjwa, huduma nyingi za kibingwa zinapatikana hapa nchini lakini pia huduma za afya zimesogezwa sana kwa wananchi hivyo kama nchi tupo tayari kutekeleza hili, nia na uwezo wa kufanya hivyo tunao”. Amesema Bw. Kayombo.
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
14
37
3.2K
fatma karume aka Shangazi
fatma karume aka Shangazi@fatma_karume·
Feleshi alikuwa Jaji Kiongozi wakati wa PLEA BARGAINING. Leo ni Mwanasheria Mkuu anayemshauri Rais. Naomba muulize ROLE ya Feleshi kwenye kesi Fulani za Plea Bargaining. Tunasikia mengi…….
fatma karume aka Shangazi tweet media
Indonesia
36
57
326
61.9K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
"Ukitaka kufunika kombe maharamia yapite unda tume.Tume hizi zimekuwa kichaka cha kujificha cha watawala wetu kupoza mambo siamin kama kutakuwa na la maana ktk tume iliyoundwa na rais kushughulikia haki jinai. Kama haya hayatakuwa kwenye #KatibaMpya hakuna jipya"-: @TunduALissu
Hilda Newton tweet media
Filipino
5
17
86
5.1K
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@ccm_tanzania·
Katibu Mkuu wa CCM Ndg @chongolo_daniel akizungumza na Wananchi pamoja na Wanachama wa CCM katika Kijiji Cha Kibelege waliomsimamisha kumsikiliza akiwa njiani kuelekea mji wa ifakara wakati wa ziara yake mkoani Morogoro. @sophiamjema1 #KaziIendelee
Chama Cha Mapinduzi tweet mediaChama Cha Mapinduzi tweet mediaChama Cha Mapinduzi tweet mediaChama Cha Mapinduzi tweet media
Indonesia
6
18
75
4.3K
millardayo
millardayo@millardayo·
Dinah Elias Mathamani aliyeteuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi na RC wa Kigoma Thobias Andengenye leo January 31,2023 kuwa DC wa Uvinza Mkoani Kigoma huku akisema hajakataa uteuzi na anawatafuta waliosambaza uvumi huo ili wamuombe radhi. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet mediamillardayo tweet media
Indonesia
13
12
182
24.5K
millardayo
millardayo@millardayo·
Kwa mahitaji yako ya vacation, pumziko au kujitoa nje ya Jiji tafadhali fika Hoteli mpya ya AYA SOPHIA, Mbutu Kichangani Kigamboni ukutanishwe na utulivu freshi na pumziko bora !!! fanya booking yako mapema hii 0672377777 reservations@ayasophiavilla.co.tz ayasophiahotel.co.tz
millardayo tweet mediamillardayo tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
2
1
110
11.6K
BIMA YA AFYA KWA WOTE 🇹🇿
BIMA YA AFYA KWA WOTE 🇹🇿@bima_afyatz·
@TIRA_TZ Fuatilia kurasa maalum za elimu ya bima ya afya kwa wote @bima_afyatz kwenye mitandao ya Instagram na Twitter ili uweze kupata elimu ya bima ya afya, kuuliza swali na kutoa maoni yako.
BIMA YA AFYA KWA WOTE 🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
0
0
28
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Ujio wa bima ya Afya Kwa wote, unaibua jukumu la kuhakikisha Kila Mtanzania ana uelewa wa kutosha huku Hospital zinazotumia Huduma za Bima ya Afya nazo zinajipanga. Je hospital za Rufaa za Mkoa wa Dar es salaam zimejipangaje? Majibu yote Leo usiku kwenye SENTRO ya CLOUDS TV
Clouds Media tweet media
Indonesia
4
0
50
5.3K
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Kama ilivyo kulia ni kupokezana basi na kucheka ni hivyohivyo! Ule mzani wa furaha ulioelemea upande wa Wananchi na kuleta kiu ya kutaka kujua Unyamani kunani ni lazima u-balance! 🔥 Time ya ku-level score board na pengine kupindua meza ni saa 3 mpaka 5 usiku kwenye #SportsXtra
Clouds Media tweet media
Indonesia
8
4
164
9.7K
Clouds Media
Clouds Media@CloudsMediaLive·
Baadhi ya wagonjwa hulalamikia huduma wanazopata katika baadhi ya hospitali pale wanapotumia Bima ya Afya. Ulishawahi kukutana na Changamoto yoyote ukitumia Bima ya Afya? Cc; @barbarahassan @babbiekabae
Clouds Media tweet media
Indonesia
7
1
48
5.3K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Zile Perfume Zetu Na Mafuta Ambazo Airport Kwenye Ku-Check In Wanazizuiaga, Baadaye Wanazipelekaga Wapi!? Wanazitupa Kweli?
HT
19
12
495
48.8K