MM 🇹🇿 retweetledi
MM 🇹🇿
5.6K posts

MM 🇹🇿 retweetledi

﷽
*Masiku sita ya Shawwaal yanatosheleza kutokana na yale masiku Meupe*
*Swali:* Je, ni sahihi kukusanya nia mbili wakati mtu anafunga siku moja, kwa mfano mtu akafunga moja katika zile siku sita pamoja na siku moja katika yale masiku Meupe?
*Jibu:* Wakati fulani ´ibaadah moja inadondosha nyingine. Kutokana na ninavojua ni kwamba malengo ya ´ibaadah hiyo yanatimia katika wakati huo pasi na kuzingatia ´ibaadah yenyewe. Kwa mfano mtu akiingia msikitini hatakiwi kuketi chini mpaka kwanza aswali Rak´ah mbili. Akiingia msikitini na akaswali Sunnah ya Raatibah, basi inadondoka zile Rak´ah mbili za mamkuzi ya msikiti. Kwa sababu malengo ni kwamba asiketi chini mpaka kwanza aswali, jambo ambalo ameshalifanya. Vivyo hivyo mtu akiingia msikitini na akamkuta imamu anaswali; atajiunga na imamu na hatokuwa na haja ya kuswali Rak´ah mbili zinazoswaliwa kwa ajili ya mamkuzi ya msikiti.
Vivyo hivyo mtu akifunga yale masiku sita ya Shawwaal. Masiku hayo yanafunika yale masiku Meupe. ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
“Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akifunga masiku matatu katika kila mwezi na wala hajali ameyafunga mwanzoni mwa mwezi, katikati yake au mwishoni mwake.”[1]
Lakini ikiwa unataka kufunga masiku Meupe, basi funga masiku siku ya Shawwaal mwanzoni mwa mwezi na yakifika masiku Meupe utayafunga. Hata hivyo masiku sita ya Shawwaal yanatosheleza kutokana na kufunga siku tatu.
[1] Muslim (1160).
*Muhusika:* Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
*Tarjama:* Firqatunnajia.com
*Marejeo:* Majmuu´-ul-Fataawaa (20/14-15)
*Imechapishwa:* 31/03/2026"
firqatunnajia.com/masiku-sita-ya…
⤵️t.me/joinchat/R0tP2…
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
MM 🇹🇿 retweetledi
MM 🇹🇿 retweetledi

Jama'ah at Tabligh - Part 1 - Mustafa George
youtube.com/watch?v=G-Zw14…
Best YT Alternative Apps # Vanced Official

YouTube
Tanzania 🇹🇿 English

@Matallahkhamis @Granitinho85459 Acha uongo ndugu. Masheikh wote Tz wamesoma huko kwa Masufi. Shida ni kuyaishi hiyo Elimu. Mukiambiwa hii ni Sunnah hamtaki. Hii ni bidaa hamtaki. Yaani ni watu Matamanio
Indonesia

@Granitinho85459 Eeeh! Ndo utaratibu wao wanasema umesoma kwa Masheikh wa kisufi.
Indonesia

@Granitinho85459 Elimu inafutwa vp bhana. Watu si wanasema Uwahabi ni Uyahud. Nenda kasome kwao ndo ujue kuna tofauti yoyote. Si umesoma Maalim? Nenda kathibitishe mweyewe hapa hutaelewa
Indonesia

@Granitinho85459 Mm nakunasihi km uko TZ vituo vya Kisalafi viko Nchi nzima. Tenga muda kasome. Hapa hutaijua hii Manhaji. Allah akufanyie wepesi
Indonesia

Labda ungechanganua maana ya neno salaf! na uhusiano wa salaf na saudia na utofaut wa usalaf wa mtume na huu wa saudia
Msta-Arab@WAZIRI_KILIMO
@Matallahkhamis @Granitinho85459 Y unautukana na kuusema vibaya ukiwa huujui! Ungeuliza kwanza maana yake kabla ya kuuchukia. Kiongozi wa salafi ni Mtume Muhammad swallallahu 'alaihi wasallam Wanaofata salafi swaalih wanafata wema waliotangulia akianza Mtume mwenyewe. Sasa wazazi wangu wameona kumfata nani?
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Vipi Magharibi waliwezaje kuwashawishi Waafrika kwamba ndoa za wake wengi ni mbaya, lakini ushoga ni haki ya binadamu?
Indonesia
MM 🇹🇿 retweetledi

Na Sisi hatukumjalia mwanadamu yeyote kabla yako ( Muhammad ) kuwa na maisha ya milele. Basi je! ukifa wewe, wao wataishi milele? ( Al-Anbiyaa #34 )
La hasha! Mola wetu Mlezi, ufanye mzuri mwisho wetu. Na hakika uzuri wa mambo uko mwisho.

Indonesia
MM 🇹🇿 retweetledi
MM 🇹🇿 retweetledi

*JE ANAWEZA KUROGWA, MWENYE KUSOMA QUR’AN NA ADHKAAR ?*
Swali: Uchawi unaweza kumpata mtu ambaye anasoma Adhkaar za asubuhi na jioni na za wakati wa kulala na kusoma Qur-aan?
Jibu: Mara nyingi mtu akizisoma kwa kuhudhurisha moyo… bali uhakika wa mambo ni kwamba hasibiwi.
Mtu akisoma Adhkaar kwa kuhudhurisha moyo, kumuamini Allaah (´Azza wa Jall) na kumtegemea Allaah hali ya kuwa na yakini hasibiwi.
Ama akizitumia hali ya kughafilika au si mwenye kuamini kwa kukata kuwa zinanufaisha, bali anaona kuwa huenda zikamfaa kweli kama ambavo huenda zisimfai, huyu anasibiwa. Kwa sababu hakumtegemea Allaah na wala hakuamini kuwa Adhkaar hizi zitamzuia na yachukizayo.
Yakini na kumtegemea kwake Allaah kumedhoofika. Huyu anasibiwa. Ama yakini yake ikiwa na nguvu na kumtegemea Kwake Allaah (´Azza wa Jall), hatosibiwa kabisa. Amesema (Ta´ala):
وَمَن يَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّـهِ فَهُوَ حَسْبُهُ
“Yeyote anayemtegemea Allaah, basi Yeye humtosheleza.”[1]
Hii ni ahadi kutoka kwa Allaah (Ta´ala).
[1] 65:03
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam (07) ajurry.com/safrawy/choroh…
Imechapishwa: 03/03/2019
firqatunnajia.com/mwenye-kusoma-…
Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@MwangaHJ @Rahim_Meghji Ideologies zake ziko kwenye Vitabu vyake. Nenda katafute Usul thalatha, Kitab Tawheed, Usul Sitta, Qawaida arba. Zengine hzo pauka pakawa
Filipino

@binmuellah @Rahim_Meghji Sio sio ibn wahab. Je si ndio ideologies zake zinaongoza Saudia. Na je aliyoyafanya ibn Saud na mwenzie huyo babu yake na King of Jordan yapo kwenye Uislam. Na je Quran 5:51 inasemaje?
Filipino
MM 🇹🇿 retweetledi

📢 Update — Masjid Ibn Abbas Conference
📚 Join Us — April 17–19, in shā’ Allāh
A weekend of beneficial knowledge and spiritual purification
The Disease and the Cure
by Imām Ibn al-Qayyim al-Jawziyyah (رحمه الله)
🎙 Taught by:
@IbnAkhdar @hikmahpubs @anwarphilly @RahaBatts

Català

Shekhe huna clue yoyote kumbe halafu unajitia ujuaji mwingi, Muingereza alichangia pakubwa sana kuuangusha utawala wa Ottoman na kuzaliwa Salafi Movement zikiongozwa na Sheikh Ibn Abdelwahab. Hii ukiuliza Masheikh wenu watawaona makhawaarij 😃. YT ipo makala nzima kajifunze



MM 🇹🇿@binmuellah
@Rahim_Meghji 😂😂😂 Sasa Muhammad Abdulwahab alikutana wapi na Waingereza. Muogope Allah. Siku utaambiwa toa Ushahidi itakua kazi.
Indonesia

@Rahim_Meghji Sio habari za kulazimishana. Sisi tunasoma Vitabu toka kwa Imam Ahmad,ibn Taymiyah, Imam Zanjani, Al Askarani tunakuta Manhaji ndo hiyo hiyo. Nyie mnaleta stori Movement zimeanza kwa ibn Abdulwahab.






