switcher
2.5K posts


Hooh! Sikuona hii. Nimeicopy hii brindly kutoka kwa mtoa maoni hapa hapa mtandaoni nikiamini ameisafisha risiti ionekane vizuri. Kumbe mtoa maoni alikuwa maeshafanya hizo edition za kupachika jina langu. Asante
F1 ibaki kuwa risiti sahii na F2 ni risiti iliyotengenezwa na mtumiaji mtandao huu kwa AI
Mwenye kutoa utata wa hii transition ni mhusika pekee


Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania
Ina maana hizi receipts zinakuwa edited edited ? Zote nimezotoa kwa TL yako @fbuyobe Kwanini kuna mkanganyiko kwenye Depositor Uloweka ya kwanza DEPOSITOR alikuwa MSHABAHA MSHABAHA Ya Pili FORTUNATUS BUYOBE Lakin zote zinaelezea Transaction moja ? Ukiwa unavua samaki kwenye Ule mtego ukitingisha Kidogo tu SAMAKI ukimbia, JE YA KWELI NI IPI ??
Indonesia

@fbuyobe Hapa hoja ni tatu tu za msingi
1. Je ni kweli ulitoka bongo kwenda Kenya?
2. Ni kweli ulimpokea msuya wakt uko Kenya?
3. Je ni kweli uli organize ww na msuya ukiwa na mshabaha mkamuone yule mzee mkongwe mwanaharakati?
If all qns remains to be yes, basi hapa unajchafua zaidi
Filipino

Mahakamani shaidi hudodoshwa ili kumcondradict na ushaidi wake na mwisho kumpotezea credibility.
Story ya Hilda sitaki kuisema kuwa yote ni ya ukweli au yote ni uongo. Nitakuwa nagusa maeneo maalumu tu.
1. HILDA: Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua
fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani.
FACT: Si kweli nilidai Msuya alikuwa diwani Ubungo. Ili limepindishwa makusudi kimkakati. Nilimtambulisha Msuya kama aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Ubungo Msewe.
2. HILDA: Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton kama girlfriend wake japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony.
FACT: Sikuwahi kutaka kwa njia yoyote kumtumia Bonny kutia ushawishi ili Msuya aaminike. Sijisikii vizuri kumjadili hapa Bony kwani nitakuwa namuingiza kwenye issue isiyomuhusu. But ni kweli tukiwa kwenye maongezi ni Msuya mwenyewe alieleza juu ya ukaribu wake na Bony very casually. Pia ni kweli Msuya alitueleza mimi na Mshabaha kuwa Hilda alikuwa girlfriend wake. Hapa ukakasi ninaoupata, Hilda kwa nini anataka kujitenga na Msuya kwa kukana kutomjua. Lets say inawezekana hawakuwa na mahusiano, vipi ashindwe kumtambua Msuya kama mwenyekiti wa mtaaa maarufu kama Msewe, ambao wakati ule ulikuwa ni kama kambi ya wasomi wengi wa UDSM
NB: Nitaomba nisaidiwe, Msuya alitueleza alikuwa mwenyekiti wa wenyeviti mkoa wa kichama Ubungo. Kama ni kweli, Hilda bado anashindwa kumtambua kiongozi wake huyu chamani?
3. HILDA: Nilimpigia simu Buyobe, nikamuuliza kwanin alimdanganya Mshabaha kwamba mimi ni Girlfriend wa Msuya wakati anajua mimi na Msuya hata hatufahamiani, alijiumauma sana mwisho akajitetea kwamba Msuya alimdanganya.
FACT: Sijawahi kuulizwa na HILDA juu ya taarifa za Msuya kudai wana mahusiano. Nazidi kutia mashaka kwa nini hapa kwenye Mahusiano anaparejea hadi kutoa ushuuda wa uongo. The fact ni kwamba Hilda anamjua Msuya inawezekana sio kama mpenzi wake. Kumkana kutomjua Msuya hadi kutotambua nafasi yake ya uongozi chamani inaweza kutoa strong suspicion ya inawezekana wanajuana zaidi tujuavyo. Ni issues ndogo but yenye trustworthy issues.
HILDA: Msuya baada ya kupiga tukio jioni ya siku hiyo hiyo, alionekana maeneo ya Namanga akivuka kuelekea Dar wakati huo Buyobe yeye alikimbilia maeneo ya Busia (Hii ni kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe) na hapo alifanya bila kuwasiliana na mtu yeyote hata wale waliompokea hakuwajulisha, licha ya kwamba awali wakati anafika alisema haijui kabisa Kenya ni mara yake ya kwanza kufika Kenya.
FACT: Sikujiondokia bila taarifa. Mtu nisiyetaka kumuingiza kwenye mjadala kwa kuwa hausiki, tuliwasiliana naye. Nilipigiwa simu ya Mshabaha, huyu mtu mwingine wakiwa na nia ya kutaka kunibrief kilichotokea. Nilikuwa nimelala hotelini sikusikia simu zao.
Majira ya kwenda saa 11 nikampata Mshabaha na akanijuza kilichotokea na yupo hospital. Mshabaha pamoja na madhira yaliyompata, hakusahau his duty of care kwangu. Ni yeye akashauri niondoke haraka pale hotelini hadi itakapothibitika kuna usalama.
HILDA: Azizi na Msuya walikuwa wakiishi na mimi
FACT: Huu ni uongo! Msuya alikuwa anakaa Himalaya Heights, mimi nilikuwa ninakaa Myra residence
HILDA: Msuya alipoona Mshabaha amekataa mambo yatraining akamuomba amkutanishe na Hilda, Maria, Sativa, na Mwaipaya. Mshabaha alikataa mind you huyu mtu ambae anamuomba Mshabaha
amkutanishe na mimi, kwenye utambulisho wake alisema kwamba mimi ni girlfriend wake.
FACT: Hapa Hilda anajichanganya kwenye Dodoso la Pili (2. HILDA) Anasema kuwa mimi nilimtambulisha Msuya kuwa wanahusiano naye wa kimapenzi. Lakini Msuya akamkataza Mshabaha asimpigie Hilda kwa kuwa Msuya anajua uongo wake utajulikana. Hapa anarudi kujicontradict kuwa Msuya baada ya kuwa desperate kwa kukataliwa kutoa training kwa wanaharakati akaomba akutanishwe na kina Hilda na wenzake. Yani Hilda aliyemkwepa asitafutwe kwa kuwa uongo wake utajulikana, sasa anamtafuta bila kuhofia uongo wake. Hilda na Msuya Kunani?




Filipino

‼️UKWELI KUHUSU BUYOBE, KWENYE SAKATA LA KUTEKWA MSHABAHA.‼️
Shuka na Thread hadi mwisho👇
Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea.
Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha Mafwele, walimvotesa n.k pia alishukuru kwa jinsi tulivompazia sauti.
Katika maongezi hayo aliniambia kwamba pamoja na kwamba ameachiwa kwa dhamana bado watekaji wa Mafwele wanaendelea kumfuatilia hivyo maisha yake yapo hatarini , nilimwambia achukue tahadhari maana hao watu hawana masihara, akasema anafikiria kuondoka nchini, nikamwambia ni wazo zuri, akaniambia kama kuna Taasisi yoyote ambayo naijua inasaidia watu ambao wanachangamoto kama yake nimuunganishe nayo, nikamwambia hakuna Taasisi yoyote ambayo naijua so tukaishia hapo.
Baada ya siku kadhaa alinipigia simu akaniambia, kwamba yupo mahali nilipo anaomba tuonane, tusalmiane na kufahamiana maana hatujawai kuonana zaidi ya humu mitandaoni, nikamwambia kwasasa siwezi kuonana nae kwasababu za kiusalama, nikamwambia kukiwa shwari nitamtafuta mimi mwenyewe, tukaishia hapo.
Baada ya hapo alimpigia simu @Twaha_Mwaipaya akamuomba waonane, Twaha alinipigia simu kuniuliza kama namfahamu, nilimjibu Mwaipaya kwamba simfahamu zaidi ya kumuona online hivyo Mwaipaya na yeye akamkwepa badae akampigia simu @Sativa255 kumuomba waonane.
Baada ya issue ya Mshabaha kutekwa ndo nikajua kwamba kumbe wakati anawasiliana na mimi kuniambia habari za yeye kuondoka nchini kuna mtu mwingine ambae alimshirikisha huyo mtu ndo alimuunganisha na @lifeofmshaba ili amsaidie kutoka nchini kwasababu alisema vijana wa Mafwele walikuwa bado wanamuwinda.
Alifika Nairobi akapokelewa na @lifeofmshaba na kupelekwa mahali pa kuishi, muda wote alikuwa akidai kwamba anaumwa shingo, kichwa na miguu lakini pia alimwambia Mshabaha vitisho vya Mafwele kusema kwamba atamfira + kuonana na watekaji live ni vitu vilimuumiza sana kisaikolojia hivyo alitafutiwa Mwanasaikolojia lakin alipoambiwa aende Hospital kufanya checkup ili wajue Polisi wamemuumiza kwa kiwango gani ili apatiwe matibabu alikataa.
Muda wote wakati Buyobe yupo Nairobi. Mshabaha alikuwa anakwenda kwake kumjulia hali kutokana na madai ya changamoto yake ya afya alokuwa nayo.
Siku ya tatu, Buyobe alimpigia simu Mshabaha akamjulisha kwamba, nyumban kwake kuna mgeni ambae na yeye kalazimika kukimbia Tanzania kwasababu Mafwele anataka kumuua akaenda mbali zaidi akamdanganya kuwa mgeni huyo ni Mwanachama wa CHADEMA wakati si Mwanachama wa Chadema.
Mshabaha alifika mahali alipokuwa anaishi Buyobe akamkutana huyo mgeni ambae Buyobe alimtambulisha kuwa anaitwa Aidan Msuya ni rafiki ake wa miaka mingi.
Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani.
Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony.
Ili Mshabaha amuamini zaidi Msuya, Buyobe akamdanganya Mshabaha kwamba Msuya ni boyfriend wa Hilda Newton wakati huo anajua fika kwamba mimi na Msuya hatufahamiani kabisa.
Mshabaha alimwambia kama anamahusiano na Hilda mpigie simu, Msuya akasema hapana itamletea shida, maana amekuja hajajipanga Mafwele amefunga account zake zote za Bank na kama girlfriend wake, akijua yupo Nairobi na akashindwa kumuhudumia itakuwa aibu sana kwake, haya ni maswali walikuwa wanajibu Buyobe na Msuya kwa pamoja na kwasababu walijua wanasema uwongo, wakamuomba Mshabaha asiniambie chochote so Mshabaha akakausha.
Huo ndo ukawa mwanzo wa Mshabaha kumfahamu Msuya ikawa kila akienda kumuona Buyobe anamkuta Msuya kuna wakati walikuwa wanaenda kula pamoja, Mshabaha hakuwa na wasiwasi na Msuya kwasababu ya Utambulisho ambao alipewa na Buyobe, aliamini ni mtu Genuine.
Buyobe akatoa wazo wapate gari maana na hali yake ya kiafya na usalama ni muhimu wakawa na gari, mara wazo likawa linafanyiwa kazi na Msuya.
Part 2 inaendelea hapa 👇

Filipino

🚨 Breaking News 🚨
Confirmed
Cameroon’s President Paul Biya (93, the world’s oldest serving head of state) issued an official presidential decree appointing his son, Franck Emmanuel Biya, as Vice President of the Republic, Head of the Armed Forces, and Minister Delegate at the Ministry of Defence.
If Paul Biya is not available, his duties will be taken by his son.

English

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (#LATRA), Habibu Suluo amewasii Wasafirishaji kutopandisha nauli bila kufuata utaratibu wa Kisheria akisisitiza hatua kali zitachukuliwa kwa watakaokaidi, na kueleza kuwa wameitisha kikao maalum na Wadau kitakachofanyika Aprili 8, 2026 kujadili suala la bei na nishati ya mafuta ambayo imepanda bei kuanzia leo Aprili 1, 2026.
Zaidi: jamii.app/OnyoLATRA
#JamiiForums #JFUchumi #BeiMpyaMafuta #IsraelIranWar
Indonesia


Mary Claire binti Aliye mwagiwa Tindikali na aliye kuwa mchumba wake aliye Msomesha amefunguka kuwa,
"Sikuwahi kumuomba huyo mwanaume anilipie ada ya shule. Ni yeye mwenyewe aliniomba nimpe maelezo ya akaunti ya shule, nikampa bila kujua kuwa angeanza kulipa ada. Nilijaribu hata kumzuia, lakini aliniambia ananipenda sana na yuko tayari kunifanyia chochote.
Katika kipindi chote tulichokuwa kwenye mahusiano, hakuwahi kuniambia kuwa tayari ameoa, na pia sikuwahi kumuona na mke wake. Baada ya kugundua kuwa ameoa, nilimweleza wazi kuwa siwezi kuendelea na mahusiano hayo, ndipo nikaamua kuyavunja.
Baada ya hapo, Elvis alianza kunitishia kwa hasira, na sasa hali imefikia hatua ya kutaka kuniangamiza, Ningependa kutoa wito kwa wanaume, mwanamke akikataa kuwa na wewe, muache na uendelee na maisha yako hata kama amekula pesa zako unaweza kupata zingine"
🗣️ Amesema merry
Toa maoni yako hapa ✍️

Filipino

@kikomasta Watoto wa mungu wanadeka Sana hawa, majeruhi tu wanalia lia
Indonesia

🚨 HABARI ZA HARAKA
Mkuu wa Majeshi wa Israel: Tunashuhudia majeruhi ya raia yanayoumiza kutokana na mashambulizi ya makombora, na uvumilivu ni sehemu muhimu ya nguvu zetu.
Hivi huko Iran kwenye mashambulizi ya Israel na US hawafi raia ?
#BilaGanzi


Indonesia

Safari hii Chizi kakutana na Chizi,Ngoja tuone wakapige tena nyuklia site ya Iran alafu tuone kitakachotokea.
Bila kushusha askali wa ardhini hii ngoma haiwezi kuisha ni piga nikupige,
Je US anaweza kuingiza jeshi Iran kama mambo yenyewe yanaenda hivi?
#BilaGanzi


Indonesia

@MrDepalitto9 mauzo ya 50k kwa duka la aina hiyo faida itakuwa wastani wa tsh 2500- 4000 kwa siku
Filipino

@Megatron_ron I like the way he admitted the powerful of Iran
English







