buheri thomas

15.5K posts

buheri thomas

buheri thomas

@buherithomas

Critical thinking and education

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2014
2.8K Takip Edilen764 Takipçiler
buheri thomas
buheri thomas@buherithomas·
@Legend_Mtikila Kosa la kuhama kambi kwa wanasiasa huwa adhabu yake ni kifo cha kisiasa. Halina tiba.
Indonesia
0
0
0
1
Mtikila Jr
Mtikila Jr@Legend_Mtikila·
Binafsi nitachelewa sana kumwamni huyu jamaa. Watu waliohama CHADEMA mwaka jana wana uchu wa madaraka, no reforms no election waliona hawatapata ubunge, wameenda huko wakapigwa chini na Mbogamboga, wanaamua kurudi tena CHADEMA. Eniwei tuwapokee ila tusiwaamini.
Mtikila Jr tweet media
Indonesia
33
42
404
16K
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Unajua kwanini milio imekuwa mingi kuhusu huo muswada pendekezwa huko USA?. Watu washajaa kwenye mfumo maana muswada umependekezwa na democratic na Republic chama tawala na upinzani!! Hapo ndo ile wanasema ugali moto, mboga moto, maji ya kunawa moto na maji ya kunywa moto! 😂😂
Jebra Kambole tweet media
Indonesia
81
137
808
22.4K
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
Marekani ni pazuri nyie. Nilipitishwa kwenye barabara zao ndogo-ndogo, kushoto njia sita na kulia njia sita.
Filipino
11
5
125
3.2K
buheri thomas
buheri thomas@buherithomas·
@KennedyWandera_ @DictatorWatch A man publicly beaten by the wife, can hardly give sound advice because he is discombobulated. Faye is more likely going down due to poor advice from France.
English
0
0
1
1K
Kennedy Wandera
Kennedy Wandera@KennedyWandera_·
Ousmane Sonko has been reinstated to Senegal's National Assembly and officially installed as deputy in the Assembly. The vote to elect him President of the National Assembly is now underway. President Bassirou Diomaye Faye has reportedly moved swiftly to the Constitutional Court to block it.
English
109
721
2.5K
287.1K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Imebainika kuwa dogo aliyemudu kuvunja security breach ya rais William Ruto na kumkubatia rais huko kaunti ya Kilifi, alikuwa amebeba CV zake ndani ya biblia. Nia ya dogo ilikuwa kupata attention ya rais ili amtoe kwenye msoto wa ukosefu wa ajira Walinzi walimhoji dogo na kujua dhamira yake na pale pale rais Ruto alipojulishwa akaahindi kumsaidia Leo hii dogo amefanikiwa kuajiriwa taasisi ya mamlaka ya bandari nchini Kenya
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
82
56
1.1K
70.5K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Rais wa Chama Cha Waalimu Tanzania Lea Ulaya na aliyekuwa Katibu wa Chama hiko Japhet Maganga wamefikishwa mahakamani na watuhumiwa wengine 7 wanakabiliwa na mashtaka 14 ikiwemo utakatishaji wa Fedha wa zaidi ya Bilion 2.2. Ngoma ngumu sana hii 💔
Filipino
40
54
674
28.9K
buheri thomas
buheri thomas@buherithomas·
@AokoOtieno_ Faye's advisors include Kasongo and Macron. Ni wizi, ngada na upinde wa mvua.
Filipino
0
0
1
246
Maverick Aoko
Maverick Aoko@AokoOtieno_·
Speaker of Senegal has resigned, to allow Sonko take his place in a House where he enjoys majority Childish ingrate Faye did not forsee that, huh? Atajua hajui Ni vile pia tuliambia Gachagua atasahaulika na wiki mbili Bro is out here getting intel breifings like Pentagon 😂
English
96
805
6.2K
152.8K
buheri thomas retweetledi
KIPEPE 💊
KIPEPE 💊@kipepe123·
@INFLUENCERjr Wewe hunaa helaa bwanaa 😀😀 Ungezungumzia usalama wa chakula na aina ya mapishi ningekuelewaaa
Indonesia
1
1
27
2.2K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Sijui kwanini wabongo tunaona utaratibu wa kubeba chakula kutoka nyumbani kwenda nacho kazini ni ushamba wakati ni moja ya mbinu ya kubana matumizi. Wenzetu wenye asili ya Asia hapo ndo wanatupiga gepu. Sisi tunapenda uzungu sana hata kama unatuumiza.
Indonesia
82
59
746
38.5K
George T. Diano
George T. Diano@georgediano·
Just like many other halfwit politicians who treat education like a family detox program, Oscar Sudi shipped his daughter all the way to Nottingham Trent University so at least one member of the bloodline could return with a functioning hard drive instead of inherited buffering problems. Mission seemed successful. The daughter of Kapseret graduated with style, Yamune accent upgraded, walking like she owns two passports and a skincare routine sponsored by the British government. But kama kawa wadau, Mali ya Uma has its own implications & Karma is no one's papa. Fresh from the UK, madam came back home and fell deeply in love with a broke Gengetone rapper from Kayole. A certified member of the Walala Hoii Association of Kenya. This brother is still fighting for survival on YouTube with 4.7k views, 17 comments and 11 of them written by his cousins. The man cannot fuel a boda boda, let alone dreams. His entire music career is hanging like zuku WiFi during rain. From UK degree to Wamlambez auditions in Mukuru kwa Ruben. You can imagine the pain in Kapseret CDF offices. Sudi probably expected a son-in-law who discusses stocks and real estate, only for destiny to deliver a man whose biggest asset is a Bluetooth speaker and confidence. Reports indicate the self-proclaimed engineer who attended school through osmosis is now considering giving the young man a free open-air full body massage with not so happy ending sponsored by frustration and high blood pressure after warnings failed to penetrate his skull which is harder than meroni. But anyway, love knows no boundaries. Cupid clearly said poverty is not a disability. This is actually a massive victory for the Walala Hoii community. A motivational story for every broke man in Eastlands currently surviving on ugali umena and gambling predictions. That’s why I always advise poor men to invest heavily in Kegel exercises and advanced waist management technologies. Because when destiny finally opens the gates of opportunity, your ability to rotate hips like a malfunctioning ceiling fan might be the only thing separating you from poverty and a direct transfer to soft life. Now our boy is seeing softlife in HD with his sanpaku eyes. Yesterday he was borrowing fare and charging his phone at the kibanda. Today he’s walking around like the OG, enjoying invisible benefits from Kapseret CDF while helping the Sudi family to eat public funds Eat TauTau! Truly, horizontal engineering remains one of the leading employers of youths in this country. I got an opportunity and decided to run away with it. Mimi sikuizi ni Gym tu, kumumunya Mukombero na kugurumisha mtoto ya Munene,, Chesaa!! Kama kawa sisi walala hoii hatuna maoni, Letu Jicho tu. 👀
George T. Diano tweet media
English
108
244
1.6K
119.5K
Njema Rehemaeli
Njema Rehemaeli@safaritzs·
@AlexSamoja @AbdulAlly253493 30million unamaanisha shule kama ipi?anayelipa 30m huwezi kutana naye UDOM wala UDSM,huyu ni wa UCT au Strathmore akikosa chuo kabisa,halafu duniani pote wanaamini kingereza ni usomi,mtu asiyeongea kingereza vizuri anadharaulika,china anaheshimika au japan kwa kuwa ya mpunga
Filipino
2
0
0
76
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Mtoto anarudi Likizo kutoka shule ya Ada 20m per year, kitu pekee mzazi anachojivunia ni mtoto kuongea Fluent English na kupata A nyingi, ila chuo tunakutana UDOM na UDSM, What is English Gaddemit, Mchina amejenga Barabara Africa zaidi ya kilometers 10,000 na miundombinu Kibao, Mchina hajui Kiingereza na kama anajua basi ni Broken English ila anafanya kila awezalo kuelewana na Local People, Afu we Bro unalipa 30m Private School kwa ajili ya English, Kiingereza chenyewe Harmoize alitumia miezi mitatu tu kukijua (From Morning to the Night ma bebi You Go Burst Ma Medulla) Kwenye kujibu hoja usiweke UFAULU na Fluent English nambie UJUZI na Technology gani wanapata watoto kule tofaut na Kayumba school 😄 🤣 😂
Indonesia
106
74
642
34.4K
Maverick Aoko
Maverick Aoko@AokoOtieno_·
Considering how that boy held Ruto, it almost reeks of stage managing by that Jacob "Firifiri" guy Assuming it was a genuine violation, hata Trump wana breach... His calm reaction was pretty deft. Wish he handled the economy with that skill Mi ukanishika shingo hivo ni elbow
English
96
196
1.9K
89.7K
Caleb Karawa
Caleb Karawa@karawamedia·
I am enjoying Senegalese politics, feels like a chess game ♟️😁 So President Faye as you already know sacked his own PM Ousmane Sonko the same guy who basically handed him the presidency (I know everyone is holding unto that strongly). The "Diomaye is Sonko" duo that ran together? Yeah, that bromance is officially over 💀. But here's the wild part: instead of fading away, Sonko is moving his pieces. His PASTEF party still controls parliament, so the Speaker just RESIGNED on Saturday to clear the runway for Sonko to take over the National Assembly himself. Parliament's been called for Tuesday (May 26) to reinstate Sonko's old MP seat (suspended since 2022) and vote in a new Speaker This is the interesting take below.... The man Faye just fired could end up running parliament and checking the president from the other side of the board. King vs. former kingmaker. Senegal really said "watch this movie" 🍿. Damn
Caleb Karawa tweet media
English
63
510
2.6K
205.9K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Duh! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
26
9
97
5K