David Bwandilo

1.9K posts

David Bwandilo

David Bwandilo

@bwandilo_d

Mtanganyika/Mwalimu/Mwinjilisti/Simba SC

Mbeya, Tanzania Katılım Aralık 2022
360 Takip Edilen81 Takipçiler
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
@bwandilo_d Kitaasis ule unaouzingumzia ulikua ubinifu na kila mtu alikua na mtazamo wake kuna wengne wanaona goli tano wengne pambo tu haikua official reasult
Indonesia
1
0
0
3
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
Hivi hawa simba wakichukua ligi au kombe lolote la CAF patakalika kwel Mbon kama ulimbuken mwingi sana
Mr cleansheet tweet media
Filipino
7
7
19
419
David Bwandilo
David Bwandilo@bwandilo_d·
@cleansheet_1 Hii ni jezi ya kuchezea uwanjani...!!?? Hilo moja... Pili, mimi sizubgumzii ulimbukeni wa mtu mmoja mmoja, nazungumzia ulimbukeni wa kitaasisi. Jezi ya uwanjani kunakshiwa kwa idadi ya magoli...!!
Indonesia
1
0
0
7
David Bwandilo
David Bwandilo@bwandilo_d·
@cleansheet_1 Kwamba ulimbukeni ukiwa ulaya unaigwa tu...!!?? Hebu nionyeshe jezi ya timu yoyote iliyopambwa na idadi ya magoli waliomfunga mpinzani wao...!!
Indonesia
2
0
0
10
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨JE, TANZANIA TUNA CHA KUJIFUNZA? Leo New Amaan Complex haijashuhudia tu ubingwa wa Simba, bali imeshuhudia somo la uamuzi kutoka kwa jirani zetu wa Kenya. Mwamuzi huyu amethibitisha kuwa soka linaweza kuchezwa kwa ushindani mkali bila refa kuwa upande wa yeyote. Msimamo wake wa kuruhusu mchezo uendelee na kutoogopa kutoa uamuzi mgumu dakika ya mwisho umewapa Simba SC haki yao na kuwanyima Yanga fursa ya kulalamika kuwa 'wameonewa'. Hii ndiyo 'Professionalism' tunayoihitaji kwenye Ligi Kuu ya NBC ili kukuza soka letu.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
8
9
80
3.3K
David Bwandilo
David Bwandilo@bwandilo_d·
@pintinoh @RevocatusMagum1 Mechi ilichezeshwa na mmisri, Simba ikafungwa, wanasimba wakaridhika, wakakubali kufungwa kihalali. Jadili kwa facts, siyo kwa ushabiki...!!
Filipino
1
0
1
9
Ten king
Ten king@pintinoh·
@RevocatusMagum1 Raha ya kushinda, matokeo yangekua tofauti leo angekua analalamikiwa kutotoa kadi kwa faul zilizohitaji kadi
Indonesia
1
0
0
28
Liberatus Mwang'ombe
Liberatus Mwang'ombe@Liberatus80·
Marekani imetutumia salamu za Muungano wananchi wa Tanzania. samia suluhu hassan na genge lake wamepotezewa kwa sababu wapo madarakani kwa damu na uongozi wao hautambuliki. Togo & Sierra Leone Marais wao wametambuliwa. Kifupi: nchi zote wametajwa Marais na wananchi, isipokuwa Tanzania tumetajwa wananchi tu. Salama hizi zote zimetoka jana na juzi. #TutaelewanaTu #WananchiWenyeNchi #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
Liberatus Mwang'ombe tweet mediaLiberatus Mwang'ombe tweet mediaLiberatus Mwang'ombe tweet media
Indonesia
28
130
438
20.1K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kipaombele kwasasa ni kujenga ofisi ya mkuu wa mkoa (10B). Hili ni soko la NGUCHIRO ambao kodi wanazokusanya kutoka hapa ndio zinaenda kujenga OFISI ya chalamila. Ndiomaana wanatuuwa na wanatuita NGUCHIRO na hawajali kitu kuhusu sisi.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
40
201
1.3K
26.2K
Unaweza
Unaweza@hataweweunaweza·
@Sativa255 Hilo soko tatizo ni siasa. Halmashauri iliwahi wafukuza wote hapo Makonda akiwa RC akapiga marufuku
Filipino
1
0
0
803
HZ
HZ@HzMnkai·
@bwandilo_d @gabyconscious Sahihi kabisa . Ingawa naona hoja umeijibu personal . Umeichapa Bias sana. Pia umetoka nje ya point yangu. Una haki ya msingi ya kikatiba ya Uhuru wa kujielezea na kutoa maoni yoyote yale. Nimekubaliana na hoja yako mkuu .
Indonesia
1
0
0
9
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Naona @MsigwaGerson anawalaumu maafisa habari kwa kutoitetea serikali haram ya Dikteta Idd Amin Mama. Pumzi imewakata mpaka wanaomba backup kudadeki na bado tutawapelekea moto mpaka mteme ndoano.😂😂😂
Hilda Newton tweet media
Indonesia
59
144
831
53.8K
🍂
🍂@VisitMarangu·
@bwandilo_d @HildaNewton21 @IsackMahumbi @MsigwaGerson Sijamshambulia, Hilda tunamuamini tunaamini msimamo wake kwenye kutetea haki. Lakini anapopost uongo na kupotosha kwa picha unayoona kabisa ni edited tusiseme? Kwanini? Kama ataweza kupost hivyo yeye akiamini ni kweli, mangapi wataedit ili kuwapotosha 7bu hawajui editing au lah?
Indonesia
2
0
0
197
🍂
🍂@VisitMarangu·
@HildaNewton21 @IsackMahumbi @MsigwaGerson Vitu vingine ni editing bana jiongezeni! Kua mwanaharakati/mwanasiasa sio ticket ya kubeba tu kila ujinga, kushindwa kujua hata kitu kama ni editing au laah inaharibu reputation yako. Mtu anakuamini anaamni taarifa zako gafla anaona unapost ujinga wa kueditiwa! 🚮
Indonesia
6
1
6
3.8K
David Bwandilo
David Bwandilo@bwandilo_d·
@HzMnkai @gabyconscious Mtu hujifunza asichokijua. Ukiona watu hawajifunzi ukitakacho maana yake hawana haja nacho, haja yao ni hizo movie, ndiyo maisha yao. Wewe endelea kujifunza kupitia hizo Wi-Fi za bure
Indonesia
2
0
2
58
HZ
HZ@HzMnkai·
@gabyconscious Ndugu umpe hela ambayo hajaisotea sidhani kama hatokua tegemezi. Sisi ni wategemezi tukipewa kitu cha bure ndo maana mtu hawezi kutumia Free wifi kujifunzia ila ataitumia kudownload movie na mziki
Indonesia
1
0
3
1.2K
David Bwandilo
David Bwandilo@bwandilo_d·
@Maestrowafact @sinahisa Natamani unipitishe kwenye kifungu cha sheria/katiba kinachothibitisha hiki ukisemacho. Bunge ni muhimili mwingine na swrikali ni muhimili mwingine. Unasemaje uongozi wa serikali ni wasimamizi tu wa muda...!!??
Indonesia
0
0
0
4
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI@Maestrowafact·
@sinahisa Nchi haiwezi kukaa bila usimamizi wa kila siku. Kwa hiyo, Mawaziri huendelea kubaki ofisini kama Wasimamizi wa muda hadi Rais mpya atakapoapa na kuunda baraza jipya.
Indonesia
16
0
3
1.4K