Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (zittokabwe) is a Tanzanian politician and economist, born in 1976. He founded and led the opposition party ACT-Wazalendo from 2015 to 2024, after expulsion from Chadema. He was MP for Kigoma North (2005-2015) and chaired key parliamentary committees. In 2025, he's seeking a return to parliament via Kigoma Urban, amid a brief arrest in July for alleged threats, from which he was released unconditionally.
It is important to recognise that history will remember Polepole not as a reformer, but as one of the architects of Tanzania’s democratic decline. thechanzo.com/2025/08/11/hum…
@izzytz@kaji_sijo Ameingia kama Mwanajeshi na kuwa Rais. Amekuja kufanya Kwa kijeshi Yale ambayo "Siasa" imeshindwa kufanya. Ni Muhimu kutambua ujio wake madarakani na asili Yake.
Watasema mengi kuhusu "Siasa" lakini huu ni utawala wa Kijeshi, Dunia isitegemee political business as usual.
@kaji_sijo Kama kweli anakandamiza uhuru wa mawazo na ushauri atatambulika muda si meefu na umaarufu wake utamzika kimaarufu.
Lakini kama huo uhuru unaegemea kwenye usiri wa masuala ya kijeshi, basi hapo tunamkosea. Mambo ya kijeshi ni siri katika mataifa yote. Hawawezi kusema kila kitu.
Kumekuwa na Wanaharakati wanao hoji uhalali wa Mikataba ya Burkina Faso na Russia hasa baada ya Kepteni Traore kupokea Vifaa vya kisasa zaidi vya kivita kutoa Urusi na mkataba mpya wa Nyuklia.
-
Akiwa nchini Urusi kwenye hotuba yake Traore alisema "Siko hapa kuomba msaada wa kifedha Niko hapa kujadili kwa ajili ya ushirikiano katika eneo la Teknolojia, Nishati, Sayansi na Elimu"
Kama una kumbuka huyu Komando wa Jeshi la Afrika nchini Marekani jenerali Michael E. Langley alisema "Ibrahim Traore ni kiongozi maarufu ila sio kiongozi bora ni mtu mbaya kwa sababu hapendi kukosolewa"
Sasa kumekuwa na maswali mengi kuhusu ukaribu wa Traore na Putin zaidi ni mikataba inayo sainiwa.
Endelea Na Uzi ⤵️
Mtu akiwa uwanja wa ndege na tiketi yake na anapitia uhamiaji kama kawaida agongwe muhuri, anawezaje kuondoka kinyume cha sheria? Alitaka kujificha kwenye gurudumu za ndege? Au ndani ya sanduku kubwa asafiri kama kago? Naomba nisaidiwe hapa
Wanangu wa DIZIMU tumalize utata kati ya CHANGU au JODARI nani SAMAKI mtamu zaidi??
Watu wa MIKOANI kaeni kimyaa mjifunze hasa mikoa isiyokuwa na BAHARI ndo hamruhusiwi hata kuuliza maswali 😂😂
JESCA MAGUFURI ni moja ya watanzania wachache sana waliopata DVN IV na kupata nafasi ya kuenda CHUO kusoma DEGREE moja kwa moja bila kupita Diploma.🫵🏾😁
Naambiwa kasoma “Political Science & Public adiminstration”. Haya ndio matunda ya alichosomea. Kucheza na akili za kijiji.🫵🏾😂
Jamani, POLISI, nao ni BINADAMU kama walivyo wengine. Kwa hiyo, MSISHANGAE wao KUFA. Jambo muhimu hapo 👇, ni kumuomba MUNGU aziweke Roho za Marehemu, SEHEMU ZINAPOSTAHILI (Motoni au Peponi) killingana na MATENDO ya Marehemu walipokuwa DUNIANI.
@PaulKagame We congratulate Arsenal FC for making Rwanda proud. Both PSG and Arsenal are 'Visit Rwanda' partners, and we wish them all the best in the final.♥️✊
Nipo hapa nasoma kitu. Miaka kama 5,000 hivi iliyopita, kuna wahenga huko Misri waliamua kujenga mapiramidi. Tofali moja la piramidi lina uzito wa kati ya tani 2.5 hadi 15 (kilo 2,500 hadi 15,000). Tani 15 ni sawa na uzito wa Toyota Land Cruiser 6 hivi zikiwekwa pamoja.
Baadhi ya tofali hizo zilisafirishwa umbali wa kilomita 700 kufika eneo la ujenzi, ikiwa ni zaidi kidogo ya umbali wa Dar es Salaam na Arusha. Piramidi Kuu lile, moja tu limetumia takriban matofali 2,300,000 (milioni na laki tatu).
Mfano leo tukiambiwa tujenge piramidi Dar es Salaam bila kutumia magari za kubebea tofali, mchanga, sementi na mahitaji mengine na mashine nyingine ya aina yoyote ile, na tuchukue baadhi ya tofali kutoka Arusha moja yenye tani 2.5 hadi 15, tunawezaje kufanya hivyo?
@clitonmichael@TanzaniaLeaks Kwenye hili la Masai Ngorongoro, naona hakuna cha Maridhiano.
Masai kwa Miaka Zaid ya 100 ameishi eneo Hilo, ni sehemu ya identify yake, ni uhai wa Maisha yake.
Serikali ndio wa kusitisha hicho walichokianzisha, kuwaomba radhi, na kuacha waendelee na Maisha Yao.
Suala la Ngorongoro linatishia kuchafua usafi wa mihimili na vyombo
vingine nyeti. Tusitishe matumizi ya nguvu na kuondoa pazia za usiri ili kudumisha amani. Watu wema hufurahia nuru. Waovu hupenda giza.
Wateule wa Rais waliotumwa kupeleka habari njema Ngorongoro amekosekana mmoja wa TAMISEMI. Kura ndilo daraja kati ya wananchi na watawala wetu. Bila kura, serikali inakosa uhalali wa kuwaambia chochote wananchi. Daraja hilo (TAMISEMI) limedhohofika. Tufikiri upya katika muktadha wa maridhiano. Imani ikikosekana, hakuna njia ya kuonekana haki inatendeka.
Rais Samia, hatimaye katuma The Dream Team Ngorongoro kwenda kuzima Maandamano ya wamaasai. Ila kwa sababu wote ni wafuasi wa Shujaa JPM, nitaweka akiba ya maneno.
Here are the details of the investment incentives scheme and the application procedures for obtaining a certificate of incentive! ✍🏻
Stay informed and make the most of these opportunities!
Did you register your project?
Want to learn more?
Contact us at 0734 989 470
@thepivotal_tru@TaiwoMuyiwa3 If you download the dating app, you register yourself, you even pay internet bundle for it, you are OPEN for date anyone in the App.
Go download Bible App.
Baada ya kutekwa na KUPIGWA na POLISI nikiwa ofisini kwangu Mbeya,na kupelekwa Makambako, then Iringa then Dar na kutelekezwa kwenye mji ambao si MAKAZI yangu,tena bila kunipa MATIBABU… Hatimaye leo nimerudi Nyasa kwa NAULI yangu mwenyewe 😢
#ZuiaUkatiliWaPolisi