Chogorito

16.9K posts

Chogorito banner
Chogorito

Chogorito

@chogorito

TANGANYIKAN🇹🇿 Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa; Bali kinywa cha wapumbavu hula upumbavu.

Dar es Salaam Katılım Kasım 2021
406 Takip Edilen260 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Chogorito
Chogorito@chogorito·
Mtaniteka, mtanipiga, mtaniumiza, mtaniua; mtabaki na mwili wangu tu lakini kamwe hamtakamata matarajio yangu, kamwe hamtapata ridhaa ya roho yangu. Dhamira yangu ni ngao isiyoyeyuka; haina bei, haina kifungo, haina wakala. #polepole
Chogorito tweet media
Indonesia
0
0
1
153
Chogorito retweetledi
Sevilla FC
Sevilla FC@SevillaFC_ENG·
#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿 An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍
Sevilla FC tweet media
English
271
1.2K
9.8K
163.7K
Chogorito
Chogorito@chogorito·
@fbuyobe Kumbe wewe ni askari kipenyo🥸
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
0
0
4
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Daah! Wa Depo umeju kuniliza😭😭 Romeo India Papaa
Fortunatus Buyobe tweet media
Filipino
34
15
388
56.2K
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena. Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA. Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli. Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki. Asanteni Sana.
Peter Msigwa tweet media
Indonesia
868
653
3.3K
247.8K
Chogorito
Chogorito@chogorito·
@ayubu_madenge Ruud Van Persie aliwahi kimbilia UTD kuokoa maisha yake ya soka. Bruno next yr ananyanyua
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
0
0
1
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Max Dowman mtoto wa miaka 16 ana kombe la EPL, lakini mchezaji bora wa msimu anapewa Bruno Fernandes mwenye miaka 31 ambaye hajui hata kombe la EPL linafananaje. Hii ni robbery ya hali ya juu katika historia ya tuzo hizi. Tuzo hii alistahili kupewa David Raya kipa wa Arsenal.
Ayubu Madenge tweet media
HT
166
27
559
17.4K
Chogorito
Chogorito@chogorito·
@Sativa255 Mbona umeenda mbali bro. muulize wapi alionekana akipiga hata danadana
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
0
0
1
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Huyu KIBAKA anatoa milio anasema alikuja kuboost michezo TANZANIA na kutangaza UTALII sio kufanya siasa. 1- Tuonyeshe hata Acadermy moja ya mpira uliyotembelea au huyo JOYCE WOWOW (MATAKO NA MAHIPS MAKUBWA) aliyokutembeza. Sisi tumeona umeenda BUNGENI, Umeenda Mbugani hilo soka ya "Youth" ulilokuja kuhamaisha ulikuwa unafanyia CHUMBANI na GIRISHONI? 2. Kuhusu kuwa balozi wa Utalii wa Tanzania, tangu umetua Tanzania umewahi kupost kwenye mitandao yako kuijulisha dunia upo Tanzania? Au huo UTALII ulikuwa unautangaza kwenye kiuno cha JOYCE WOWOWO huko mbugani? Watanzania sio wajinga-dozi imepelekwa kisawasawa siku hizi 3 sijui mbili ulizokaa zimetosha kukuanika dunia nzima hata bila kupost upo BONGO. Usicheze na DAMU ZA NDUGU ZETU takataka wewe.
SIR TIVA tweet media
Filipino
64
165
1.4K
60K
Chogorito
Chogorito@chogorito·
@VungaEl74 Kwa hiyo Mwamunyange yule aliekuja Tabora nyumbani 1990's alikuwa ameandaliwa kuwa mkuu wa majeshi
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
0
0
0
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Kila kitu kwenye hii dunia kipo planned hakitokei kwa bahati baya hasa kwenye mamulaka mabeyo kipindi hicho yupo pembeni mwa mkuu wa majeshi
Vunga tweet media
Filipino
20
26
210
30.7K
Chogorito retweetledi
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Anaandika MALISA GJ. Mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi nchini Uganda, Jenerali Kale Kayihura (70), amesema kwamba watu wengi wamemkimbia baada ya kuondoka madarakani, licha ya kwamba awali walikuwa wakinufaika na msaada wake alipokuwa IGP. Akizungumza katika sherehe za kuapishwa kwa Mbunge wa Rwampara Mashariki, Dr.Charles Ngabirano jijini Kampala mwishoni mwa wiki iliyopita, Kayihura alisema kwamba kuondoka katika uongozi mara nyingi hubadilisha jinsi watu wanavyohusiana na wewe. "Unajua, ukiondoka madarakani watu wengi wanajitenga na wewe. Hakuna mtu anayetaka kukukaribia. Kuna wakati unawapigia simu, hata wale uliowahi kuwasaidia, lakini hawapokei na hawakurudii. Wote wanakukimbia kana kwamba una ugonjwa wa ukoma,” alisema Kayihura. Jenerali Kayihura alistaafu mwaka 2018 baada ya kuongoza Jeshi la Polisi nchini Uganda kwa miaka 13 kuanzia mwaka 2005. Katika utawala wake alituhumiwa kuelekeza polisi kutumia nguvu kupita kiasi, na askari wake walihusishwa na ukandamizaji wa demokrasia, mauaji ya waandamanaji, na mateso kwa viongozi wa upinzani akiwemo Dr.Kiiza Besigye na Robert Kyagulanyi (Bobi Wine). Alituhumiwa pia kuwasujudia wanasiasa, na alionekana kama “enforcer” wa Rais Museveni, akitumia polisi kuimarisha utawala wake. Pia alihusishwa na mauaji ya ASP Muhammad Kirumira, aliyekuwa askari polisi na mtetezi mkubwa wa haki za binadamu. Hata hivyo, pamoja na kulitumia jeshi la polisi kama chombo cha kumtetea Rais Museveni na kukandamiza upinzani, alipostaafu alikamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi na umiliki wa silaha kinyume cha sheria. Alinyimwa dhamana na alikaa mahabusu hadi mwaka 2023, wakati Rais Museveni alipotangaza msamaha na kufuta kesi yake. Sasa IGP Kayihura anasema tangu alipotoka madarakani watu wamejiweka mbali naye na hakuna anayetaka kumkaribia. Hata wale aliowahi kuwasaidia hawapokei simu zake. Anasema hali anayoishi nayo kwa sasa ni kama ya mgonjwa wa ukoma, kwani hakuna anayetaka kushirikiana naye. Nini maoni yako??
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
17
40
225
24.3K
Chogorito retweetledi
Ze Planmaster
Ze Planmaster@ZPlanmaster·
Ndo natoka kanisani uliza swali lolote la kwenye biblia nikujibu
Ze Planmaster tweet media
Indonesia
84
37
191
7.9K
Chogorito retweetledi
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Kama kibendera tu kimekaa karibu na box la 18 mna uhakika huu uwanja utajengwa kweli?
WHYMYCATISSAD tweet media
Indonesia
112
54
714
37.5K
Chogorito retweetledi
Prince Fynn
Prince Fynn@Prince_Fynnz·
Bro to bro, Save this to protect your kidneys.
English
148
3.7K
11.6K
1.4M
Chogorito retweetledi
NASSER Ug 🇺🇬
NASSER Ug 🇺🇬@nasser_Ug1·
The Lion of Adjumani, Gen. Moses Ali, has officially taken his oath. A living legend, still standing strong for Uganda😂😂
English
1.1K
623
2.5K
512.3K
Chogorito
Chogorito@chogorito·
@bontojr4 Alikuwa haendi shule huyo
Tanzania 🇹🇿 Filipino
0
0
0
2
Chogorito
Chogorito@chogorito·
@Elsukay0 Quality ipi Boban alikuwa nayo alifika wapi kwenye uchezaji wake
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
0
0
0
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Haruna moshi Boban ndiye no 10 bora wa muda wote tangu mpira uwepo bongo Mnaosema chama ndo best mnamjua haruna moshi Boban nyinyi? Chama hapa hafiki hata nusu ya ubora aliokuwaga nao Boban enzi ya prime yake
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
Indonesia
59
12
196
12.2K
Chogorito
Chogorito@chogorito·
@Sulphuric_aci17 Kwani sisi tumelipeleka duniani or lenyewe lajiuza pasipo nguvu
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
0
0
2
Conc.H2SO4
Conc.H2SO4@Sulphuric_aci17·
Hili goli lingefungwa na wao sasa vitu vidogo vidogo sana hivi, ila sasa ulimbukeni😀😀
41
18
221
19K
Chogorito retweetledi
رضوانة رضا
رضوانة رضا@Rizvana_Raza·
Iran surprises the world with “suicidal artificial dolphins” that could change the rules of naval warfare! After more than 20 years of secret development, Iran has unveiled unmanned maritime systems designed in the shape of dolphins. These systems blend into the water like real creatures and carry out precise combat missions—similar to kamikaze drones, but underwater. #IranWar#Irán
رضوانة رضا tweet media
English
414
2.9K
10.9K
402.3K
Chogorito
Chogorito@chogorito·
@Young__guru Huyo nio alifanya nini maana kipindi chote anacheza alikuwa CAF anatoka round ya pili
Tanzania 🇹🇿 Filipino
0
0
0
2
Chogorito
Chogorito@chogorito·
@kikomasta Huyu jamaa waliompiga ni Msauz mwenzao wamejichanganya😅
Indonesia
0
0
0
3
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
Wa South Afrika wanaonea sana waafrika wenzao kuliko hata wazungu walio wachapa babu zao.Hii nchi wangepewa wa Israel kama nchi yao ya ahadi tu. #BilaGanzi
Jack upepo tweet mediaJack upepo tweet media
Indonesia
3
2
31
4.9K
Fantasy Roman Emperor
Fantasy Roman Emperor@roman___emperor·
What kind of Emperor would you be? From the indie makers of Fantasy President the most realistic Roman Emperor simulator ever has arrived. Play as a historic or custom Emperor and write your legacy.
English
72
47
699
7.5M