Classymusictz

6.1K posts

Classymusictz banner
Classymusictz

Classymusictz

@classymusictz

Santalover Music Career Supporter * Tanzania. Twitter@santalover5 *Instagram @santalovergram * YouTube @santalover Email: [email protected]

Katılım Temmuz 2022
611 Takip Edilen728 Takipçiler
Classymusictz
Classymusictz@classymusictz·
@MkulimaKante Wakati niko mwaka wa kwanza producer Amba na Effector walinitengenezea Ngoma yangu inaitwa "Bongo party" chorus alifanya Stanboi na verse moja alipiga Geez Mabovu...sidhani kama anakumbuka, kipindi icho ngoma kuchezwa redioni ilikuwa mtiti...nilikuwa nakutana sana na east coast
Filipino
1
0
1
75
Kante
Kante@MkulimaKante·
IRINGA ndio mkoa uliowahi barikiwa producer mkali wa muda wote kama AMBA. Mwamba alikuwa na dunia yake ilifikia hatua wasanii kutoka DAR walikuwa wanamiminika kwenda Iringa kurekodi. Hii ni moja ya production yake humo ndani vionjo kadha wa kadha viliwekwa na ndio ulikuwa utambulisho wake📌
Indonesia
3
3
16
593
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Baba wa Mbinguni, Asante kwa kutuamsha asubuhi ya leo. Tunapoingia siku hii mpya, wema wako na utuelekeze. Natangaza Zaburi 141; Utulinde na mitego ya watenda mabaya, na mitego waliyotutega. Waovu na waanguke katika nyavu zao wenyewe, wakati sisi tunapita salama. Amina..!!
Indonesia
2
9
42
416
K a b i b i 🥀
K a b i b i 🥀@Rehemawilliams1·
Ni siku nyingine tena yakumshukuru Mungu kwa kuiona tukiwa salama 🙏🏻.Ikawe siku njema kwetu sote. Good morning to everybody 😊
Indonesia
37
44
62
411
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Marehemu alikuwa na kiburi 💔
Indonesia
21
23
155
12.7K
Sandra Nakiwala (Mukyala Tusimbudde)
3AM PRAYER LORD of lords, You’re a compassionate God! You’re our ever present help in times of need. We thank You for the gift of work and the opportunities You have provided for us to earn a living and serve others. LORD , we commit our jobs and workplaces into Your hands. We pray for Your protection. Shield us from sudden job loss, unfair treatment, office politics, jealousy, and every hidden danger. Our father, may You grant us favor in the eyes of our supervisors, colleagues, and clients. We pray that You give us wisdom to solve challenges with grace and integrity. Our God show us mercy when we feel overwhelmed, and fill us with peace amid uncertainty. Close every door that You didn’t open and open new doors of stability, growth, and promotion according to Your perfect will. Break every spirit of fear, anxiety, and insecurity concerning our livelihoods. Let Your angels camp at our workplaces and protect our sources of income. We have prayed trusting and believing in mighty name of Jesus Christ, Amen. 🙏 #MukyalaTusimbudde
English
60
61
243
1.8K
GOOD
GOOD@Gooddlovee·
Need 10000+followers 📊 Just reply hello 💯 Let's follow you instantly 📉📊
GOOD tweet media
English
269
44
149
5K
Classymusictz
Classymusictz@classymusictz·
@GMwimbage @ItsKamala Tatitizo unadhani ni nini kutotengenezwa? Ni barabara muhimu ya kimkakati kuunganisha mwambao wa Karagwe na nchi za Rwanda, Burundi na maeneo ya jirani. Km 120 tuu iyo barabara...nimepita sana hapo zamani kidogo kipindi kuna utekaji mkubwa wa magari njiani.
Filipino
1
0
0
106
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
Kama unatoka Dar na Private unataka kupitia Benako (Ngara) kwenda Karagwe barabara ya Benako imeharibika sana mpaka ufike omurushaka ni noma, Ukifika Nyakanazi pita Bukoba mjini uitafute Karagwe
Indonesia
11
9
153
8.6K
Classymusictz
Classymusictz@classymusictz·
@chapo255 Kweli kabisa, kama sikosei aliandika Wakazi juzi kati hivi
Indonesia
0
0
1
382
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
“Kumtafutia mtu kazi sio kumtumia tangazo la kazi aombe bali ni kumwambia tarehe flani aende kwenye interview au apeleke vyeti Jumatatu aanze kazi” Sijui nani aliandika hii tweet ila aliandika ukweli.
Filipino
52
220
1.5K
36.3K
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Wapwa huu ni muda wakuinuana! Andika neno Active hapo chini tukufollow hakikisha una follow back
Indonesia
95
71
172
3.3K
ELIAS🇹🇿
ELIAS🇹🇿@Eliaskaneke·
Wakuu mnaonaje leo saa 4 tukaanza kuinuana kila mmoja na mention kila mmoja apate folowazi 100+ hivi Weka hendi yako hapa nanadaa list chap👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Indonesia
38
19
46
692
9teen:84
9teen:84@OgindoJunior·
Good morning Afrika, drop those handles, let's follow you.
English
64
55
91
973
Classymusictz
Classymusictz@classymusictz·
@tonytogolani @MbelwaK You are the best kaka, natamani siku moja niweze kukutana na wewe personally na naimani itawezekana na iyo siku itafika niweze kupata busara zako mheshimiwa. Nakutakia kheri kwenye majukumu mapya huko Marekani na Mwenyezi Mungu azidi kukusimamia
Indonesia
0
0
1
115
Togolani Mavura
Togolani Mavura@tonytogolani·
Wakati Balozi @MbelwaK anajiandaa kwenda China kuwa Balozi, katika utaratibu wa kawaida wa kuaga, alikwenda kumuaga na kupata busara za Mheshimiwa Rais Mstaafu Hayati Ali Hassan Mwinyi. Katika busara alizopewa na Mheshimiwa Mwinyi aliusiwa, "uende ukayakuze mahusiano yetu na rafiki zetu wa China. Ukishindwa kabisa hilo, basi walau usiyaharibu wala kuyavunja mahusiano". Somo hili nami nililichukua nilipoteuliwa kwa Balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Korea. Niliwasili Seoul tarehe 10 Novemba, 2021 kuanza kazi na nimehitimisha utumishi wangu tarehe 6 Mei, 2026. Ninayo furaha kuwa katika kipindi cha miaka minne na nusu, mahusiano kati ya Tanzania na Korea yameimarika na kukua zaidi. Hayajadorora wala kuvunjika. Kazi kubwa ya kwanza ya mwanadiplomasia ni kujenga, kukuza na kuimarisha mahusiano, ambayo baadae yatajitafsiri katika urafiki, fursa za uchumi na nyinginezo. Nafarijika nimeondoka Korea mahusiano yetu yakiwa imara zaidi kuliko nilipoyakuta.
Togolani Mavura tweet media
Filipino
6
19
95
7.3K
Classymusictz
Classymusictz@classymusictz·
@GyozlynB Good morning from Dar es salaam Tanzania 🇹🇿. Nakutakia wikendi njema mrembo
Indonesia
0
0
0
37
Miss Home
Miss Home@GyozlynB·
Good morning ladies and gentlemen😇
Miss Home tweet media
English
125
67
200
1.7K
DOLL❣️
DOLL❣️@renamitchy·
Kama unataka followers leta handle upate 400 organic followers...
Filipino
75
48
118
1.7K
Classymusictz
Classymusictz@classymusictz·
@ayubu_madenge Maombi na Imani ya kweli kwa Mwenyezi Mungu lazima tuu ujibiwe, it's all about time na uvumilivu
HT
0
0
24
876
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Bedriya kutoka Ethiopia alitafuta mtoto kwa miaka 12 ndani ya ndoa, hatimaye amejifungua mapacha Watano. Bedriya mwenye miaka 35 anasema alimuomba Mungu ampe mtoto, alipopata ujauzito aliambiwa amebeba 4 ila siku ya kujifungua amepata 5, wakiume 4 na wakike 1. Wanaendelea vizuri.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
29
75
1.1K
18.9K