Dan Chibo (DC)

17.5K posts

Dan Chibo (DC) banner
Dan Chibo (DC)

Dan Chibo (DC)

@danchibodc

Father | Husband | Catholic | Media Personnel | 📖 1 Yohana 2:6

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2009
1.4K Takip Edilen16.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Usichoke kumuomba Roho Mtakatifu akusaidie.
4
19
82
713
Benji Newman
Benji Newman@acebenji·
Think back to a time you didn't get what you wanted, only to realize later it was the best thing that ever happened to you. You are being protected in ways you can't see yet.
English
3
8
74
1.6K
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Hatuwezi kupiga goti mbele za Mungu na kuishia kwenye aibu, Amini…!! Jumapili njema..👋🏽
Indonesia
1
4
58
306
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Kabla ya kulala, mwambie Mungu akuangazie uso wake, nuru na utukufu uwe juu yako na wapendwa wako. Isaya 60:1 inasema; “Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja, Na utukufu wa Bwana umekuzukia.” Mungu aendelee kututia nguvu na wapendwa wetu. Tuamke wote kesho tukiwa salama.
Indonesia
1
8
29
226
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Haijalishi safari ni ngumu kiasi gani. Ninajua nitafanikiwa, kwa sababu Yesu anatembea pamoja nami.
Indonesia
1
8
54
347
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
“Mungu wa tumaini na awajaze ninyi furaha na amani yote mnapomtumaini, ili mpate kujawa na matumaini kwa nguvu za Roho Mtakatifu.” 📖~Warumi 15:13
Indonesia
0
4
27
216
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
“Tunajua vizuri kwamba Mungu hufanya kazi pamoja na wale wanaompenda, wale ambao wameitwa kulingana na kusudi lake, na kugeuza kila kitu kwa wema wao.” 📖~Warumi 8:28
Indonesia
0
0
2
34
Obafemi EMILOLA, FIMC, CMC®
Jesus has come to give us life in abundance, everything contradicting abundance in your family is back fire in the name of Jesus
English
6
3
8
179
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Baba wa Mbinguni, tunaomba linda afya zetu ili tuendelee kuwa na nguvu ya kuwalea watoto wetu, mpaka pale watakapoweza kujisimamia. Tujalie miaka mingi ya kuwalinda na tuimarishe katika kuwaongoza, mpaka watakapokuwa tayari kweli bila sisi. Amina.🙏🏽✝️
Indonesia
0
0
0
64
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Baba wa Mbinguni, Asante, kwa kunibeba wiki nzima. Katika Ijumaa hii, jaza moyo wangu kwa amani, fanya upya nguvu zangu na uongoze hatua zangu sasa na hata siku zote. Neema, ulinzi na upendo wako na unizunguke mimi na wale ninaowajali. Katika jina la Yesu, Amina.🙏🏽✝️
Indonesia
7
12
75
515
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Inaonekana kama hakuna kinachoendelea, ila ukweli ni kwamba ushindi unakuja kwako. Ni vile tu, huoni kile ambacho Mungu anafanya nyuma yako.
Filipino
3
28
191
1.6K
Ke Motloung🐘
Ke Motloung🐘@LebogangNM·
Jehovah, thank You for loving me even when I felt forgotten & unseen. Just as You gave life & hope, breathe new strength, healing & purpose into my life today. Help me walk in Your grace, knowing I am chosen, valued, & deeply loved by You. In Jesus' name, Amen🙏🏼 Good morning☕️💚
Ke Motloung🐘 tweet media
English
21
28
100
944
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Baba wa Mbinguni, Katika Jumapili hii takatifu tunainua mioyo yetu kwa shukrani, rehema na pumziko lako. Utufanye upya kwa amani yako, tuunganishe kwa upendo na utujaze furaha inayofurika. Ibada zetu zikufurahishe na maisha yetu yakuangaze. Ibariki wiki mpya inayokuja. Amina!
Indonesia
3
6
43
212
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Baba wa Mbinguni, Tunapoanza wikendi hii, tunaomba tufunike kwa amani na rehema zako. Kumbuka wagonjwa, wenye matatizo ya kiakili na waliovunjika moyo. Utuponye na uturudishe sote na upendo wako utuongoze na utulinde daima. Amina.
Filipino
3
12
51
312
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Wimbo wa katikati; 𝐊𝐢𝐢𝐭𝐢𝐤𝐢𝐨..!!
Dan Chibo (DC) tweet media
Filipino
0
0
1
28
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Imeandikwa, "Na ahimidiwe Bwana ambaye kila siku anatutwika faida" katika Jina la Yesu, ubarikiwe kila siku kwa maisha yako yote. Utimilifu wa urithi wako katika Kristo Yesu uanze kudhihirika katika maisha yako kipindi hiki. Ninakuita "Mbarikiwa wa Bwana".
Filipino
0
4
36
243