Rahimu Msafiri

97 posts

Rahimu Msafiri banner
Rahimu Msafiri

Rahimu Msafiri

@creative_rahim

⚙️ Founder &CEO AFRIID| Building Africa Decentralized Digital Identity Network|Strategic Partner's Dm 📥 lets Collaborate

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2024
175 Takip Edilen13 Takipçiler
Rahimu Msafiri
Rahimu Msafiri@creative_rahim·
@gabyconscious Ndo shida ilianzia hapo😂 wao wame play long term wakafanya distribution na supply chain mpaka vijijini ambako agiza china hawakuwahi kwenda so wao sasa ndo wanaamua soko liende vipi sio sisi😂🙌.hio ndo CAPITALISM mwenye kisu kikali ndo anakula nyama,😂🙌
Filipino
0
0
0
55
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Kitu kinachekesha hii VITA ya Wachina Vs Wabongo kuna wabongo tena wenye Influence wanawaPROMOTE balaa. Hata leo nipate visenti Dubai kibarazani niseme nikamueke mchina auze Duka pale Ubungo nitapata wateja wa kufa mtu. Ndomana kuna vita zingine unachangia tu mawazo ila ni VITA Kubwa sana😄
Indonesia
4
3
93
5.8K
Rahimu Msafiri
Rahimu Msafiri@creative_rahim·
@BaricKGL @gabyconscious Hakuna kutia huruma mwenye mtaji mkubwa ndo anaendesha soko😂🙌.ukimkalibisha lunch mgeni nyumbani kwako hakikisha asifike jikoni akifika tu jikoni yeye ndo atapanga mpike nini kwako😂🙌.ndo kinachowakuta watu wa agiza china waliona sifa saiv wanatia huruma😂Hio ndo CAPITALISM
Indonesia
0
0
0
25
Rahimu Msafiri
Rahimu Msafiri@creative_rahim·
@MkulimaKante Ukishakua tajiri privacy ni muhimu sana brother. Kila mtu anakuwinda alafu uweke mke wako online umekwisha😂 watu wanakuumiza kupitia watu wako wa karibu. Hii ndo hasara yq kuwa tajiri watu wanakuwinda mda wote
Indonesia
0
0
0
39
Kante
Kante@MkulimaKante·
Swali la kizushi pamoja na kuwa bilionea kijana Afrika kupenda kushare picha zake mara kwa mara. Kwanini huwa hapendi kumuweka mke wake hadharani maana najua hakuna mtu wa kumuiba mke wa tajiri maana pesa ipo. Nataka nijifunze kitu ili siku nikitajirika nipite njia zake huenda kuna jambo la muhimu sana hapa🙏
Kante tweet media
Indonesia
21
11
42
4.4K
Rahimu Msafiri
Rahimu Msafiri@creative_rahim·
@gabyconscious Siri nawapa ukifanya biashara na wachina hakikisha usimpe details za wateja wako wapo wapi akijua tu umekwisha 😂🙌.maana ana access ya kuleta mzigo container 10 kwa mkopo kutoka viwandani kwao na anaweka faida kidogo ili mzigo uishe faster hii ndo CAPITALISM hakuna kutia huruma
Filipino
1
0
2
64
Rahimu Msafiri
Rahimu Msafiri@creative_rahim·
@gabyconscious Bongo kila mwenye nauli ya china akaanzisha agiza china zikawa nyingi wakaangalia faida ya muda mfupi😁 walivogo vilaza. Kwa akili ya kawaida mchina ana access na viwanda we unamuonesha wateja wako wa bongo wako wapi,unatoa details zote this is CAPITALISM wasitie huruma😁🙌
Filipino
1
0
0
73
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Hivi inawezakanaje mtu kasoma Feza analipa zaidi ya Million 10 kwa mwaka kama ada Halafu anakuja kukosa kazi mtaani? Kwanini hizo million 10 za ada kila mwaka asingezi invest kwenye biashara?
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
Indonesia
44
16
144
9.6K
Rahimu Msafiri
Rahimu Msafiri@creative_rahim·
@e50232511 @Elsukay0 Exactly maana hao wakimaliza wanaenda nje direct 😁😁 yani mzazi amlipie mwanae 15 ada alafu ategeme apate kazi bongo sio kweli🙌.
Filipino
0
0
0
14
Patrick_Mwarabu
Patrick_Mwarabu@Patrick_Mwarab·
@MarekaMalili Kuna tajiri alitaka-ga kunipa project ya 400+m akaniambia " usije ukapewa Hela ukaenda kununua gari"😁 bahat nzr au mbaya sikupata huo mchongo😁 kwann awaze ninunue gari.?
Indonesia
2
0
13
1.2K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Projects za Matajiri, nyingi zinasimamiwa na watu wenye age ya 40+ na wana familia.
Filipino
26
70
823
26.2K
Rahimu Msafiri
Rahimu Msafiri@creative_rahim·
@Positivenga1 Na bado kuna watu watabisha unachosema😂. na wameijua forex juzi juzi hapa ila vijana wa X wa hovyo sana, 😁🙌
Indonesia
0
0
0
67
Haulay
Haulay@Positivenga1·
TBT at TMT! Kipindi Forex Trading Inaingia 🇹🇿😀!
Haulay tweet media
Indonesia
13
3
82
11.3K
Rahimu Msafiri
Rahimu Msafiri@creative_rahim·
@dosantos255 @gabyconscious We jiulize bank CEO ana ratiba ngumu plus safari lakini kafika kwenye event 1 hour .ila kijana jobless hajui hata kesho atakula nini anachagua kwenda derby anaacha event na invitation anachukua na hafiki. Ndo utajua kuwa bongo vijana wana Vipaumbele vya hovyo sana😂🚮.
Indonesia
0
0
0
9
Life Of Easy
Life Of Easy@dosantos255·
@creative_rahim @gabyconscious Tunachotaka ni awafundishe kutengeneza hizo Bilioni mbona wamekimbilia kuajiriwa? awafundishe nao wawe na media zao ukoo uwe wa mabilionea tupu.
Indonesia
4
0
1
7
Rahimu Msafiri
Rahimu Msafiri@creative_rahim·
@WaridaYahaya @gabyconscious 😂😂😂 kabisa si unajua vijana tulionao vipaumbele vyao ni vitu vya ajabu ajabu kizazi cha shisha na club utawaambia nini😂🙌
Indonesia
0
0
1
6
Rahimu Msafiri
Rahimu Msafiri@creative_rahim·
@dosantos255 @gabyconscious Nakupa challenge siku andaa event ya vitu vya maana vya kumsaidia kijana kupata fursa ukipata watu hawatozidi 10.lakini hao vijana unaotaka kuwasaidia wanakesha club wana spend alafu waje mtandaoni kulalamika😂.jaribu hii utakuja na majibu tunza hii tweet
Indonesia
0
0
0
68
Rahimu Msafiri
Rahimu Msafiri@creative_rahim·
@dosantos255 @gabyconscious Sasa Mimi nikajiuliza hivi mtu akikosa kuangalia derby siku moja anaweza kupungukiwa nini?anapoteza nini? Watu 8 waliofika event mpaka mwisho wote walipata 10M na mafunzo na usimamizi saivi wapo mbali sana kuliko wale walioenda kuangalia derby 😂😂😂.vipaumbele vya vijana anasa
Indonesia
0
0
0
5
Rahimu Msafiri
Rahimu Msafiri@creative_rahim·
@dosantos255 @gabyconscious Ndugu zake hawana njaa pesa wanazo awafundishe vijana gani hawa wa hovyo. Sisi tushawahi kuandaa event ya biashara na benki tukalipia ukumbi wa watu 1000.tuka mu invite CEO wa bank guess what waliofika hawakuzidi 10 kisingizio ety wameenda kuangalia simba na yanga😂.
Indonesia
0
0
0
11
Manjiwa balozii
Manjiwa balozii@ManjiwaBalozi·
@Sativa255 Fuatilia Taarfa za sehem husika, zipo katika mchakato na kama tunavyoamini maendeleo ni mchakato ache uchochezi kila kitu kina umuhimu
Indonesia
3
0
1
538
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kipaombele kwasasa ni kujenga ofisi ya mkuu wa mkoa (10B). Hili ni soko la NGUCHIRO ambao kodi wanazokusanya kutoka hapa ndio zinaenda kujenga OFISI ya chalamila. Ndiomaana wanatuuwa na wanatuita NGUCHIRO na hawajali kitu kuhusu sisi.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
41
201
1.3K
26.5K