Life Of Easy

575 posts

Life Of Easy

Life Of Easy

@dosantos255

Katılım Mart 2025
130 Takip Edilen25 Takipçiler
Life Of Easy
Life Of Easy@dosantos255·
@TheHertkiller @Mashow22 @EduTalkTz Hoja ya Dunia kuwa Duara imekuja kuwa proved kabisa baada ya wazungu kupiga picha ya kwamza ya angani mwaka 1946. Point nyngine zote watu walikua wanahisi tu na wanasayans wengi walikufa bado wanaamini Dunia ni Flat. So mtu akiwaza dunia sio duara sio kitu chakumdharau kiivyo.
Indonesia
2
0
1
10
Life Of Easy
Life Of Easy@dosantos255·
@Mashow22 @miahhwolf @TheHertkiller @EduTalkTz Ukiachana hizo points za kwenye vitabu (ambazo infact hazikujitosheleza kuprove Dunia Duara) wewe binafsi huna point hata moja yakutetea hoja yako?? Yani utaishi miaka 60 duniani ukiulizwa kwann Dunia Duara utarudia waliyoandika watu wewe huna mawazo?? Tumefungwa sana kiakili..
Indonesia
4
0
1
43
Life Of Easy
Life Of Easy@dosantos255·
@Mashow22 @EduTalkTz Umeongea vema. So what if wakaja watu na ushahidi wao kadhaa kuwa muda wote huu tulikua wrong Dunia sio duara ni flat. Je tutakubali au tutaemdelea kukazania msimamo wa vitabu ambavyo hata hatuandika kwafunya tafiti sisi.
Indonesia
1
0
1
11
Nelly JR.
Nelly JR.@Mashow22·
@dosantos255 @EduTalkTz Tafiti zinaboreshwa kulingana na maendeleo ya sayansi na technologia kama points zako ni weak inamanisha vumbuzi haiwezi kufanyiwa kazi lazma mvumbuzi aje na facts za kutosha kama zile za wa dunia ni duara
Polski
1
0
0
16
Life Of Easy
Life Of Easy@dosantos255·
@BarakaMaviatu Mimi sipingi kuwa Dunia ni Duara ila kumdharau mtu anaefiri hivyo ndo kitu siwezi fanya. Nawazaga what if 2030 tukaamka jamaa tu from NASA wakaja na makala na ushahidi wao kuwa ilikua ni makosa kuidefine dunia ni Duara so Dunia ni Flat. Tutakataa tena au tutaenda na upepo?
Indonesia
1
0
1
74
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
@dosantos255 Tutengeneze satellite kaka nchi watubwetu watufanyie tafiti kama hizo. Ila hutoa hoja kua mbona vitabu vya miaka 2000+ nyuma vinasema dunia sinia ni hatari. Maana ndio hoja kuu ya flat earthers.
Suomi
2
0
1
789
Life Of Easy
Life Of Easy@dosantos255·
@CodeMetalai @MbeziNicks34940 @EduTalkTz Me nataka unipe sababu yako moja tu nje ya zile ulizozisoma kwenye kitabu "Kwanini unahisi dunia ni Duara"?? Ebu tuonyeshe kama kweli unaweza kuwaza nje ya Elimu uliyokariri.
Indonesia
1
0
0
8
CodeMetal
CodeMetal@CodeMetalai·
@dosantos255 @MbeziNicks34940 @EduTalkTz Wewe kama uwezo wako wa ku-reason ni mdogo au ulisoma shule ya kata yenye walimu wawili tu ni shauri yako. Sitokaa hapa kufundisha jitu zima basic geography ya form 1. Hayo maswali nilikuwa najiuliza nikiwa Darasa la 3, nikasoma nikaelimika.
Indonesia
2
0
0
9
Saint Ngobey
Saint Ngobey@saint_ngobey·
@francismtey Fanya chochote ukiwa ulimwenguni. ila kamwe usije ukaingiwa na ujinga wa ku doubt uwepo wa Mungu na vitu alivyovifanya. kumbuka hili siku zote.
Indonesia
4
0
1
558
I AM
I AM@francismtey·
"Kulikuwa na VITA mbinguni" inawezekanaje Vita kufika Sehemu takatifu kama Mbinguni na sifa tunazoambiwa kuhusu Mbinguni... How?
Indonesia
30
8
100
5.4K
Life Of Easy
Life Of Easy@dosantos255·
@Mashow22 @EduTalkTz Mm sijasema Dunia ni Flat...ila ukiona mtu anakudharau kwakuwaza kuwa maybe dunia ni Flat ujue huyo amekalili tu nae. Mana hata hao scientists nguli wapo waliokufa wakijua Dunia ni flat kwakua science kipindi hicho ilisema hivyo.
Indonesia
2
0
1
100
Life Of Easy
Life Of Easy@dosantos255·
@1Cypher0 ..nyie mnahisi hivi vitu wazungu waliandika tu walioteshwa au? Unajua kabla ya Galilei Galileo kuja na hiyo conclusion watu wote waliishi wakiamini na kujua kuwa Dunia ni flat,,sayansi yeyote before hapo ilidefine dunia ni Flat. So hata yeye ana haki yakuwaza hivyo msikalili.
Indonesia
1
0
0
18
.
.@1Cypher0·
Hapo katafakari nini
Life Of Easy@dosantos255

@ndowosiah1 @EduTalkTz Me sio nabii ila huyo dogo amekuzidi elimu amini kwamba ila tofauti ni kuwa madogo wasikuizi hawaamini vitabu kama mang'ombe wanatafakari pia.

Indonesia
1
0
0
11
Life Of Easy
Life Of Easy@dosantos255·
@TzNiker @BarakaMaviatu Kama unahisi hiyo Geog ya form two ndo itajibu why mtu wa South Pole anatembea kwakusimama wima japokuwa Dunia ni duara...Basi wewe ndo unashida na sio huyo jamaa unaemkebehi hapo.
Indonesia
1
0
1
39
Martine Sosoma
Martine Sosoma@TzNiker·
@BarakaMaviatu Basi hata unasema Physics ngumu watu wali drop ila hii si Geography ya form 1&2, ukweli ni kwamba kama taifa tunatakiwa kukemea weaning ya watoto wakiwa na 6 month and uji wa mahindi tupu upigwe marufuku.
Filipino
3
0
4
1.1K
Mucrim Mtale
Mucrim Mtale@MtaleMucrim·
Iyo ni kwenye theology ya christianity. Kwenye islamic theology hamna mambo ya vita za mbinguni wala mambo ya fallen angels. Kwenye Uislam malaika wote ni submissive kwa Mungu na hawana freewill meaning they can never disobey Allah. Viumbe pekee wenye free will ya either to obey au disobey God ni Binadam na Majini.
Filipino
7
1
5
567
Life Of Easy
Life Of Easy@dosantos255·
@ndowosiah1 @EduTalkTz Me sio nabii ila huyo dogo amekuzidi elimu amini kwamba ila tofauti ni kuwa madogo wasikuizi hawaamini vitabu kama mang'ombe wanatafakari pia.
Indonesia
3
1
3
141
Life Of Easy
Life Of Easy@dosantos255·
@CodeMetalai @MbeziNicks34940 @EduTalkTz Elimi imefanyaje sasa?? yeye ametumia akili wewe unalazimsha afate vitabu blindly. Mana hata hao wayasayansi nguli kina Galilleo hili swala lilikua ni debatetable kwao.
Indonesia
1
0
1
26