Avit Khan

8.4K posts

Avit Khan banner
Avit Khan

Avit Khan

@cryptokingKhn

Psalms 23 II Freelance ll Crypto mentor ll Influencer Saint Augustine University II Linguistics & Geography

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ekim 2023
394 Takip Edilen575 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Avit Khan
Avit Khan@cryptokingKhn·
"Wewe ni MBEBA MAONO, usitishwe na kelele za wengine. Sauti za upinzani ni kawaida katika safari yako kuelekea kufikia ndoto zako. Kumbuka, miti mikubwa ndiyo inayopigwa na upepo mkali zaidi. Uvumilivu wako na imani yako ndizo silaha zako zenye nguvu zaidi!
Filipino
3
2
9
1.2K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Hii kitu imenifikirisha sanaa.. Kuna siri gani ndani ya USLAM na utajiri? Maana Tanzania 🇹🇿 nzima hakuna hakuna billionaire MKRISTO hata mmoja aliye shikiria uchumi au hela za utajiri waliandikiwa WAISLAMU pekeyao?? Rostam-muislam GSM-Muislam Said lugumi-muislam Mo dewj-muislam Bakhresa-muislam Petel-muislam Manji-muislam Sett-muislam Kama kuna MKRISTO anaye julikana kwa pesa hapa nchini Tanzania 🇹🇿 mtaje kwenye comment...💬
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
151
9
194
47.1K
Kinkulah
Kinkulah@mustaphakinkula·
@EsirEid Kuna sehemu moja Pasians ilikuwa inaitwa Jet Pub inaanza kuchangamka saa 8, ugomvi muda oote na ukitokea ugomvi watu wana mapanga ukilewa ukisinzia tu imekula kwako bia hukuti mezani Kuna Anko wangu siku moja alijichanganya kuchukua dem weeeeee kesho yake anakojoa usaaa 🤣🤣🤣
Indonesia
2
1
17
2.2K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Ukienda Club ambayo wanasubiri Hadi saa nane-Tisa huko ndio waanze kupiga ngoma za maaana…Amapiano na latest Songs… Jua tu hakuna kitu humo 😅 vibaka,machokoraa na Milaya yenye Gono Sugu wachafu ndio wamejaa huko… Club za watu wanaojielewa kuanzia saa tatu tu … wanaanza kukiwasha!
Indonesia
17
29
339
20.6K
kingcoko1
kingcoko1@coko_king67743·
@EsirEid Tofauti kati SATIVA na Maria, sativa ni mhanga na maria ni mwanaharakati Mwanaharakati kila siku anakuja na taarifa mpya ya siri either ya kweli au uongo. Mhanga ni mtu ambaye anapenda sana kutumia tukio baya iliyomkuta kujadili mambo, kuwaaminisha watu wake
Indonesia
2
1
4
382
Avit Khan
Avit Khan@cryptokingKhn·
@Legend_Mtikila Sasa wewe mtu humwon anavyonyoa pia taarifa nyet anazipata wapi bila kuwa kipenyo
Filipino
0
0
0
172
Mtikila Jr
Mtikila Jr@Legend_Mtikila·
Kwa mujibu wa taarifa nilizopata muda mufupi uliopita, huyu bwana ni TISS. Jamaa ni mbogamboga damudamu. Kaeni naye mbali. ✌️
Mtikila Jr tweet media
Indonesia
104
141
1.3K
79.6K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Mwamba huyu hapa ,mwanaume hutakiwi kuvumilia mazadharau jamaa katuwakilisha vyema 👊
PàChâ#1738 💫 tweet media
Suomi
31
33
314
29.9K
Avit Khan
Avit Khan@cryptokingKhn·
@mreno255 Sudden hotel kuna balaa mule
हिन्दी
0
0
0
435
MRENO_255
MRENO_255@mreno255·
Nilienda instagram account ya huyu binti mweupe mwenye tattoos za kichina itoshe kusema huyu binti ana laana. Anaitwa AIDDA_GIGY_BRAND Ni binti wa kipemba mcheza baikoko wa velvet club na clubs zingne za dar. Video yake moja nimeiweka kwenye comment
MRENO_255 tweet media
Filipino
75
25
429
113.5K
KINCAID💰
KINCAID💰@AmourGingi·
Ila Dar ipo kimkakati sana, yaani unakwenda saloon kunyoa unatoka umefanya na mapenzi 🤣🤣🤣
Filipino
58
59
847
43.8K
Avit Khan
Avit Khan@cryptokingKhn·
@millardayo Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo, Mwalimu Nyerere
Indonesia
0
0
0
2
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Vijana wa Tanzania kutokubali kutiwa maneno na kushawishiwa ili waharibu amani akiwasihi wailinde amani ya Taifa kwa kulindana wenyewe na kuambiana na kuhakikisha yaliyotokea October 29, 2025 hayatokei tena. Rais Samia amesema hayo leo May 08,2026 wakati akiongea na Wananchi Jijini Dodoma kabla ya kuelekea Dar es salaam. “Niwaombe sanasana kama kweli mmekusudia never again kama fulana zenu zinavyosema, niwaombe sasa mlindane wenyewe kwa wenyewe na msikubali kutiwa maneno kuharibu usalama wetu na nchi yetu kwa ujumla, lililotokea nyuma halikuwa jema kwa yoyote na mtego ule anaingia aliyekuwemo na asiyekuwemo” “Wengi walikamatwa kwa mkumbo na walipokamatwa nikasema waachieni walishajifunza, niwaombe Vijana vijiweni na kwenye kazi yenu ambianeni yasitokee tena, yake yaliyotokea yametia doa Taifa, Tanzania ni nchi ya amani yaliyotokea yametutia doa, tuuoneshe ulimwengu sasa kwanba yaliyotokea ni mambo ya kupandikiza, ambizaneni na lindaneni kwamba yasitokee tena” #MillardAyoUPDATES
Indonesia
40
9
96
10.6K
Avit Khan
Avit Khan@cryptokingKhn·
Never respond to insults. The main purpose of an insulter is to make you act without thinking. Frustrate them with silence.
English
0
0
0
4
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Chukua pikipikiya mkopo iuze 2.3M mpya lipa hiyo 300k kwenye deni zaidi ya siku 30 hapo unakuwa huru. Tulia angalia idea nzuri ya biashara hasa biashara unayoipenda anza kufanya biashara halafu kwa siku endelea kupeleka 10k Boda boda zinaua sana Ata kwa bajaji fanya hivyo
Indonesia
31
37
339
22.4K
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
Hivi ni mwanaume ndio anaomba kufira au demu ndio anaombaga afirwe?!,mnieleweshe kwa upole.😎
Indonesia
74
30
410
55.6K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Dikteta JIKE linaongea mbele ya DUNIA kwamba yeye ndie aliemteka BONIFACE MWANGI & Agatha na kisha kuwatesa na kuwarudisha nchini mwao. DUNIA imesikia na tumeona hakika haya matamshi yake ATAYAJUTIA siku sio nyingi sana. Hii ndio Shida ya "Elimu mbali mbali". TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Indonesia
15
174
1.1K
19.9K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema imepokea na kuzingatia taarifa na maoni ya umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti katika wiki iliyopita na washirika wa maendeleo na serikali kuhusu Tanzania na matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025. Taarifa ya leo Desemba 5, 2025 imetaja orodha ya washirika wa maendeleo na serikali ambazo ni pamoja na Ubelgiji, Canada, Denmark, Ujumbe wa Umoja wa Ulaya, Finland, Ufaransa, Ghana, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Norway, Poland, Slovakia, Uhispania, Sweden, Uswisi, Uingereza, Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Marekani, na Wakfu wa Thabo Mbeki. Tanzania imeeleza wasiwasi wake kuhusu yaliyomo katika matamko hayo licha ya ushirikishwaji wa wazi kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na wanachama wa Kikosi cha Kidiplomasia kilichoidhinishwa Tanzania, uliofanyika tarehe 28 Novemba 2025. Tanzania imesema kuwa ingawa inatambua jukumu la jumuiya ya kimataifa katika kukuza demokrasia na maendeleo ya kijamii na kisiasa nchini, ni muhimu pia kutambua kuanzishwa kwa Tume ya Uchunguzi ambayo itachunguza vurugu za baada ya uchaguzi na kutoa ripoti hiyo na kubainisha kuwa matokeo ya ripoti hiyo yataleta uelewa wa matukio mabaya yaliyotokea na kuunda msingi wa ushirikishwaji wa kujenga wa siku zijazo. “Tanzania inasakia kujitolea kwa ushirikiano wa kujenga wa kimataifa kwa ajili ya amani na maendeleo na kwa heshima inawaomba wadau wote kuruhusu mifumo ya kitaifa kutekeleza na hatua zilizochukuliwa na serikali.” imesema sehemu ya taarifa ya Tanzania. “Zaidi ya hayo, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inataka kuwahakikishia jumuiya ya kimataifa na washirika wa maendeleo kuhusu utayari wake na kujitolea kwake kuendelea kushiriki katika masuala yote yenye maslahi ya pande zote, kama washirika sawa”— imesema #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
64
17
414
38.6K
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Kwa maoni yako kama Mzalendo umeionaje hotuba ya Rais wa Samia leo akiongea na Wazee wa Dar es salaam.
Filipino
102
4
32
8.6K
Crown Media
Crown Media@CrownMediaTZ·
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limeendesha operesheni maalumu ya msako na doria katika maeneo ya milima na mapango yanayotajwa kuwa maficho ya wahalifu, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kutokomeza uhalifu mkoani humo. Akizungumza wakati wa doria hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa, amesema operesheni hiyo ilianza rasmi Novemba 29, 2025 ikihusisha maeneo ya Kata za Mkolani, Buhongwa, Isamilo, Mhandu, Igoma Kati na Mahina Wilaya ya Nyamagana pamoja na Kitangili, Bwiru Ziwani, Kawekamo na Ibungilo, Wilaya ya llemela. Aidha, Kamanda Mutafungwa amesema jumla ya watuhumiwa 12 wamekamatwa wakiwa wamejificha katika mapango hayo huku wakiwa na vifurushi vya bangi na kuongeza kuwa wanaendelea kuhojiwa na watafikishwa kwenye vyombo vya sheria baada ya upelelezi kukamilika. Pia amesema operesheni hiyo ni endelevu na Jeshi la Polisi litaendelea kushirikiana na wananchi kuhakikisha ulinzi na usalama vinadumishwa katika Mkoa wa Mwanza. Sambamba na hayo Kamanda Mutafungwa ametoa wito kwa wakazi wa maeneo ya milimani, misituni na jirani na mapango kutoa taarifa mapema endapo watabaini uwepo wa watu wasiowafahamu au wanyama wakali ili hatua zichukuliwe mara moja. Endelea kuwa karibu na mitandao yetu ya @crowntvtz @crownfmtz na sikiliza 92.1 Mhz au Redio Box/ Garden na kutufuatilia live YOUTUBE channel ya CROWN MEDIA. #CrownMedia #HapaNiNyumbani
Crown Media tweet mediaCrown Media tweet media
Filipino
70
5
172
23.9K
Dunia🌍
Dunia🌍@DuniaSlaveDunia·
Gwajima Na waumini wako nyie wote ni Wapumbavu
42
8
334
53.1K
Bixen
Bixen@heisbixen·
Kwenye maisha yako muogope sana mwanamke anae jichubua niamini mimi.
Bixen tweet media
Filipino
57
26
292
17.3K