CyberKitz

1K posts

CyberKitz banner
CyberKitz

CyberKitz

@cyber_kitz

InfoSec 011

Katılım Mart 2023
325 Takip Edilen279 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
CyberKitz
CyberKitz@cyber_kitz·
"If you think technology can solve your security problems, then you don't understand the problems and you don't understand the technology." ~ Bruce Schneier
English
0
1
6
1.6K
Zed
Zed@zed_ogtz·
@EsirEid Sijui Mzito Anakwama Wapi Vunja Baraza La Mawaziri Fukuza Wakuu Wote Wa Ngazi Za Usalama Timua Ma Afisa Wote Wa Ikulu Mwachie Lissu Futa Kesi Zote Za Kisiasa Wape Ruzuku Na Malimbikizo Yao Waruhusu Wafanye Mikutano Ya Kisiasa Kwenye Kuteua Teua Sura Mpya Kabisa. Ruhusu Hoja.
Indonesia
91
41
348
18.2K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Ni Ukweli Usiopingika kwamba WANAHARAKATI WANALIPWA…. hasa waliopo Nje ya nchi kwa huku kwetu na kuna foundations kibao tu za HUMAN RIGHTS ACTIVISTS karibu kila Nchi duniani kote…. ila Kwa yaliotokea Oct 29. haikuhusiana na Malipo haya wala msukumo wa wanaharakati… Wananchi wenyewe tu walichoka… kuna raia waliandamana hata hawana SmartPhone… wengine hawapo hata mitandaoni… Yaliotokea ni matunda ya Udhalimu wa Viongozi wetu…. Huwezi zuia chama kikuu cha Upinzani chama kinachoPendwa zaidi Tanzania nzima- KUTOSHIRIKI UCHAGUZI MKUU… Umfunge Mgombea Urais wa Chama…anaependwa zaidi na Vijana… Alafu u expect ZERO REACTION… HAIWEZEKANI! Tusijifiche kwenye malipo ya FORD FOUNDATION… Hawajaanza leo kulipwa… wanalipwa toka enzi… kila mtu analifaham hili… wanalipiwa RENT, CHAKULA na UPKEEP ZOTE na hata Kutoa Elimu, yale ma space nk. Ni kazi kama kazi zingine tu. Wengine wanaotaka kuongeza Elimu… wanapewa ufadhili! Hili lipo wazi… na sijui kwa nn WANAHARAKATI wanalificha hili,hawataki lijulikane! Ila haihusiani kivyovyote vile na yaliotokea Oct 29th. Tuliweke hili sawa!
Filipino
223
258
1.3K
56.2K
CyberKitz
CyberKitz@cyber_kitz·
@samuelmway Hadi waoe pia ili waweze kujadili mambo ya msingi
Indonesia
0
0
1
75
CyberKitz
CyberKitz@cyber_kitz·
@Consolataally Hamna kitu hapo, huwezi weka vikwazo kwa mtu hawazii kabisa kuja kwako kuomba chumvi..
Suomi
0
0
1
17
CyberKitz
CyberKitz@cyber_kitz·
@DKabugumila @Finah_Business Huko sahihi, mitandao imewaweka hadharani watu wenye matatizo ya afya ya akili baada ya kuwa desperate kwa muda mrefu.
Indonesia
0
0
1
22
Mwesi
Mwesi@DKabugumila·
@Finah_Business Unajua,at times tunaona ni content "krieshen" au uthubutu/ujasiri.....kumbe wenye changamoto/matatizo ya afya ya akili wamepata platform wanaji'expose. Watu wamechizi wanaonesha uchizi wao,sisi tunaona content ya kuchekeshana kwa mlango/kichaka cha burudani.
Indonesia
3
0
3
1.7K
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Jeshi la Polisi lilifika Makao Makuu ya Chama na kumtaka David Djumbe kwa mahojiano. #Picha Jumbe akishuka kituo cha Polisi Oysterbay, Dar es salaam.
Chadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet media
Filipino
42
191
920
41.1K
CyberKitz
CyberKitz@cyber_kitz·
@ThatBoyKhalifax Hawawezi maana majeshi ya West Afrika uwa hawavumilii au kulealea viongozi walafi. Kitu viongozi wa Afrika wanaogopa ni hili suala la kuwa na Afrika States kwasababu kuna mataifa wameelimika na wanatanguliza maisha ya wananchi kwanza na sio maslahi binafsi kama nchi za North.
Indonesia
0
0
2
349
CyberKitz
CyberKitz@cyber_kitz·
@Ugeniaconso Unataka asinuke ila apate kansa.. Kunuka kwapa, midomo na mijasho inatokana na vyakula wengi wanakula na misoda halafu mazoezi hawafanyi na hawasafishi makwapa, midomo na maeneo mengine vizuri. Punguza hizo perfum/deodorant, fanya mazoezi, oga asubuhi&jioni na Covex, swaki RED
Indonesia
0
0
0
287
MADOPE🌾
MADOPE🌾@Ugeniaconso·
Mtu ana harufu Kali sana ya kwapa unamuambia deodorant ya Nivea ni 5k , anasema ameshatumia sana eti huwa inamfanya kwapa inaloa kama kajimwagia maji 😂
Indonesia
42
41
384
21.2K
CyberKitz retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Kamateni video na nitumieni zingine tuzisambaze leo na kesho tuhakikishe FOCUS ni #FreeTunduLissu Hakuna kingine!
Eesti
10
380
948
13.3K
HUNTER
HUNTER@Hunterjay12345·
Siku ya leo nmepigiwa simu asubuhi kuwa Mama yangu kafariki, Nilikuwa siamini mpaka pale ambapo nimeambiwa nipande gari kwaajili ya kurudi nyumbani kumzika Mama yangu.. Eeh Mwenyezi Mungu naomba unipe uvumilivu,kila nikijikaza nashindwa kujizuia..😭😭😭😭
Indonesia
258
118
945
23.4K
Kanna
Kanna@Neemasaideya·
🥺😊
Kanna tweet mediaKanna tweet media
QME
29
26
249
7.8K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Mahakamani shaidi hudodoshwa ili kumcondradict na ushaidi wake na mwisho kumpotezea credibility. Story ya Hilda sitaki kuisema kuwa yote ni ya ukweli au yote ni uongo. Nitakuwa nagusa maeneo maalumu tu. 1. HILDA: Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani. FACT: Si kweli nilidai Msuya alikuwa diwani Ubungo. Ili limepindishwa makusudi kimkakati. Nilimtambulisha Msuya kama aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Ubungo Msewe. 2. HILDA: Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton kama girlfriend wake japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony. FACT: Sikuwahi kutaka kwa njia yoyote kumtumia Bonny kutia ushawishi ili Msuya aaminike. Sijisikii vizuri kumjadili hapa Bony kwani nitakuwa namuingiza kwenye issue isiyomuhusu. But ni kweli tukiwa kwenye maongezi ni Msuya mwenyewe alieleza juu ya ukaribu wake na Bony very casually. Pia ni kweli Msuya alitueleza mimi na Mshabaha kuwa Hilda alikuwa girlfriend wake. Hapa ukakasi ninaoupata, Hilda kwa nini anataka kujitenga na Msuya kwa kukana kutomjua. Lets say inawezekana hawakuwa na mahusiano, vipi ashindwe kumtambua Msuya kama mwenyekiti wa mtaaa maarufu kama Msewe, ambao wakati ule ulikuwa ni kama kambi ya wasomi wengi wa UDSM NB: Nitaomba nisaidiwe, Msuya alitueleza alikuwa mwenyekiti wa wenyeviti mkoa wa kichama Ubungo. Kama ni kweli, Hilda bado anashindwa kumtambua kiongozi wake huyu chamani? 3. HILDA: Nilimpigia simu Buyobe, nikamuuliza kwanin alimdanganya Mshabaha kwamba mimi ni Girlfriend wa Msuya wakati anajua mimi na Msuya hata hatufahamiani, alijiumauma sana mwisho akajitetea kwamba Msuya alimdanganya. FACT: Sijawahi kuulizwa na HILDA juu ya taarifa za Msuya kudai wana mahusiano. Nazidi kutia mashaka kwa nini hapa kwenye Mahusiano anaparejea hadi kutoa ushuuda wa uongo. The fact ni kwamba Hilda anamjua Msuya inawezekana sio kama mpenzi wake. Kumkana kutomjua Msuya hadi kutotambua nafasi yake ya uongozi chamani inaweza kutoa strong suspicion ya inawezekana wanajuana zaidi tujuavyo. Ni issues ndogo but yenye trustworthy issues. HILDA: Msuya baada ya kupiga tukio jioni ya siku hiyo hiyo, alionekana maeneo ya Namanga akivuka kuelekea Dar wakati huo Buyobe yeye alikimbilia maeneo ya Busia (Hii ni kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe) na hapo alifanya bila kuwasiliana na mtu yeyote hata wale waliompokea hakuwajulisha, licha ya kwamba awali wakati anafika alisema haijui kabisa Kenya ni mara yake ya kwanza kufika Kenya. FACT: Sikujiondokia bila taarifa. Mtu nisiyetaka kumuingiza kwenye mjadala kwa kuwa hausiki, tuliwasiliana naye. Nilipigiwa simu ya Mshabaha, huyu mtu mwingine wakiwa na nia ya kutaka kunibrief kilichotokea. Nilikuwa nimelala hotelini sikusikia simu zao. Majira ya kwenda saa 11 nikampata Mshabaha na akanijuza kilichotokea na yupo hospital. Mshabaha pamoja na madhira yaliyompata, hakusahau his duty of care kwangu. Ni yeye akashauri niondoke haraka pale hotelini hadi itakapothibitika kuna usalama. HILDA: Azizi na Msuya walikuwa wakiishi na mimi FACT: Huu ni uongo! Msuya alikuwa anakaa Himalaya Heights, mimi nilikuwa ninakaa Myra residence HILDA: Msuya alipoona Mshabaha amekataa mambo yatraining akamuomba amkutanishe na Hilda, Maria, Sativa, na Mwaipaya. Mshabaha alikataa mind you huyu mtu ambae anamuomba Mshabaha amkutanishe na mimi, kwenye utambulisho wake alisema kwamba mimi ni girlfriend wake. FACT: Hapa Hilda anajichanganya kwenye Dodoso la Pili (2. HILDA) Anasema kuwa mimi nilimtambulisha Msuya kuwa wanahusiano naye wa kimapenzi. Lakini Msuya akamkataza Mshabaha asimpigie Hilda kwa kuwa Msuya anajua uongo wake utajulikana. Hapa anarudi kujicontradict kuwa Msuya baada ya kuwa desperate kwa kukataliwa kutoa training kwa wanaharakati akaomba akutanishwe na kina Hilda na wenzake. Yani Hilda aliyemkwepa asitafutwe kwa kuwa uongo wake utajulikana, sasa anamtafuta bila kuhofia uongo wake. Hilda na Msuya Kunani?
Fortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet media
Filipino
171
40
252
68.9K
TricyLove🦁
TricyLove🦁@amprincess9·
Oh Lushoto is treating me right👌
TricyLove🦁 tweet mediaTricyLove🦁 tweet media
English
68
56
726
39.3K
CyberKitz
CyberKitz@cyber_kitz·
@Innocen89950594 Maisha ni fumbo, usijilinganishe na mtu wala usiwe desperate. Kila mtu ana muda wake. Tafuta cycle mpya, endelea kujishughulisha. Usioneshe progress zako au kutafuta validation. Weka akiba hata kama ni ndogo. Kidogo kidogo kina maana. Kikubwa usikate tamaa, maisha hubadilika.
Filipino
0
0
12
712
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
1/3 Imefika wakati nawaza sana juu ya Mungu kama wewe mwwnzangu ivi ni kwel Au basimaana nitakufuru ila now nimechoka sana sijui kama hii wiki nitaimaliza salama
KIDUKU OFSA NGIRI tweet mediaKIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
23
5
85
13.8K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Nafikiri ni baada ya siku 4 au tano, tena randomly nikiwa na Mshabaha nilienda kutoa pesa kwenye ATM ilikuwa barabara inaitwa Ng’ong road Msuya nilimuona Msuya akiwa anafanya jogging. Nikamuita. Tukashangaana wote kukutana mazingira ya mbali. Alinielekeza kuwa yeye yupo Nairobi ana zaidi ya miezi miwili. Nikamuuliza issue zake za kesi akanijibu ndio sababu ya yeye kuwa Kenya. Ngo’ong road hadi Kindaruma road ninapokaa ni walking distance. Nilifurahi sana kupata company ya Msuya. Nisingekuwa mpweke tena. Hapa najibu uongo mmoja wa wazi wa Hilda Newton (Msuya alikuwa amefikia makazi yanayoitwa Himalaya Heights na sio nilipokuwa nikikaa Myra Resudence. Records zake za makazi naamini kama watoa tuhuma hizi wako serious wanaweza kwenda kuzitafuta na wakazipata. So sijui huu upotoshaji wa sijui nilikuwa nikiishi na Msuya unatokea wapi na una nia gani? Kwenye makazi yangu kuna cameras. Hakuna hata footage moja inaweza kuonesha kama nilishare makazi na mtu mwingine. Naomba nisitoke kwenye mada. So Msuya akanifika kwangu, tukawa tunapiga michapo na ya mjini ya siku nyingi akawa ananitania kuhusu masaibu yangu. Hadi wakati huu nilikuwa nimeshamtambulisha Msuya kwa Mshabaha kuwa ni mtu wangu tunayefahamiana siku nyingi sana. Tusimame hapa kidogo Tumefahamiana na Msuya tangu 2009 (more than 15 years). Leo ninavyomtambulisha Msuya ninajua anachokifanya Msuya kwa sasa? Inawezekana nisijue. Lakini kumjua Msuya ni mtu ambaye anajiweza tangu enzi hizo kupo kwenye kumbukumbu zangu za miaka 15. Hata hapa tulivyokutana anaonekana si mchovu. Mimi nina imani mpaka sasa kuwa Msuya ni kijana mwema na hana lolote baya. Utambulisho wangu wa Msuya kwa Mshabaha naweza kuuita ni moja ya my grave mistake au jambo ambalo bado wanajua wawili tu waliokuwa pamoja siku ya tukio kadiri ya nitakavyofafanua mbeleni. Nikawa naenda kwa Msuya kuogelea nikipata chances. Wakati huo Mshabaha ananitafuta akisisitiza nimalizie checkups na psychological assessment. sikuwa naona kama bado ninahitaji tena mambo ya medical check. Wakati nina company ya mazoezi asubuhi na kuongekea mchana. Ilikuwa ni remedy ya kutosha. Focus kwenye kazi zangu ikaanza kurudi. Nikawa mtu wa kushindwa kwenye laptop nikisort issues za home Bongo. Msuya na Mshabaha wakawa wanaweza kupigiana simu na kupanga miadi ya kwenda kokote. Saa nyingine nikishirikishwa au kutoshirikishwa Hii picha ni katika moja ya mitoko waliyopanga Msuya na Mshabaha kisha nikashirikishwa baadae Ni Mshabaha ndiye aliyepropose hii trip twende kwenye tukio la nyamba choma kwenye karibu umbali wa kama Km 150 nje ya Nairobi huko Kadjiado. Kule tukatikia kwenye mji wa asili wa rafiki wa Mshabaha panaitwa Ubuntu Eco Village. Tulilala huko huko siku hiyo kwenye huo mji wa asili kwenye bonge la giza kwani umeme ulikatika siku hiyo. Hapa najiuliza, kama ni mimi au Msuya tulikuwa na nia ovu ya pamoja dhidi ya Mshabaha, haya mazingira si ndio yalikuwa golden change? Tuliwezaje kusafiri na Mshabaha usiku tukiwa sisi tu na yeye na sifanyiwe ubaya? Baadaye nikagundua, Mshabaha alikuwa ni mnufaika wa vijimisaada alivyokuwa akimuomba Msuya bila kunitaarifu. Msuya alinionesha risiti akiwa amemuingizia Mshabaha pesa fulani baada ya Mshabaha kumkopa. Mara Siku nyingine Msuya akanionesha amemnunulia microwave Mshabaha. Hapa ndipo uzembe wa Mshabaha ulipoanzia if and only if kama ni kweli anachoeleza Mshabaha ndicho alichotenda Msuya. Hapa unaona kuna ushawishi wa kifedha au obligation za kifedha zikiwa zimeanza kuchukua kasi. Baadaye nikajua ni kwa nini tulikuwa tunakwepeshwa kuonana na makada wengine mrija wa takrima usionwe na wengine. Naendelea
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
22
7
66
18K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
𝐀𝐂𝐓𝐈𝐕𝐈𝐒𝐌-{Within and Without Borders} Uzi huu unajibu kwa uzito hoja zifuatazo ambazo @lifeofmshaba ameziibua akitaka nizitolee maelezo ya kina;- 1. Was my arrest a genuine or a staged incident? 2. Namjua vipi mtu anayemtaja kwa jina la Msuya na nina ushirika upi naye? 3. When and Why I travelled to Kenya 4. What was my role in his tragic abduction attempt? 5. Can I still be perceived as a trustworthy partner in movement for changes? 6. Ni sahii kutuhumiana tukiongozwa na hisia bila uthibitisho usioacha shaka? (Hii nimeiongeza mwenyewe) Naam! Nilisubiri wasaa huu zaidi ya mlinzi asubirivyo asubuhi. Kabla sijaanza kujibu hadidu za rejea hapo juu, ni vizuri nianze kujiuliza swali hili mimi mwenyewe. 𝐖𝐡𝐨 𝐚𝐦 𝐈? Am I a Journalist, Politician, or a State’s agent? I am none to all the above. I can identify myself simply as an opinion giver who uses this platform to share beliefs, values and judgments with my esteemed readers and followers. I a nutshell, my opinions here mainly try to provide perspectives on various issues on how ought them to be subjectively, or how they are really are objectively. For Swahili Audience: Ni vizuri niweke bayana kuwa mimi sio Mwandishi wa habari, Mwanasiasa, au wakala wa serikali. Mimi ni mtoa maoni tu ambaye hushirikisha watumiaji wa jukwaa hili wa jinsi mambo yanayoendelea hapa nchini au duniani yalivyo au yanavyopaswa kuwa. Kwenye kufanya haya mada zangu nyingi sana zimekuwa zikiegemea kwenye upelelezi wa jinai mbalimbali. Naamini utambulisho huu unaweza ukawa umeleta ukakasi kidogo wengi wenu mkishangaa kwa nini sijajiita mwanaharakati kutokana na jinsi ambavyo maandiko yangu yananipanua kama mtu wa aina hiyo. Sasa hapa tutahitaji tena tafsiri nyingine:- 𝐖𝐡𝐨 𝐢𝐬 𝐚𝐧 𝐚𝐜𝐭𝐢𝐯𝐢𝐬𝐭? According to Oxford’s dictionary, an activist is a person who actively campaigns to bring about social and political changes. For the above general definition for who activist is, I can confidently claim to be listed into activist log books if opinions I share with you challenge injustices, campaigns for societal changes, and good governance. It’s you through my previous posts, articles, and opinions, can vouch for me in activists docket. NOTE:-𝐀𝐥𝐥 𝐫𝐞𝐛𝐞𝐥𝐬 𝐚𝐫𝐞 𝐚𝐜𝐭𝐢𝐯𝐢𝐬𝐭𝐬 𝐛𝐮𝐭 𝐧𝐨𝐭 𝐚𝐥𝐥 𝐚𝐜𝐭𝐢𝐯𝐢𝐬𝐭𝐬 𝐚𝐫𝐞 𝐫𝐞𝐛𝐞𝐥𝐬. Nimeanza kwa utangulizi wa kujaribu kujitambulisha kwa jinsi ninavyojiona kwenye mitaa hii ya Elon “Kwa Musk” kisha nikakurudishia karata wewe msomaji ya kunitafiri ujuavyo ya kama mimi ni mtoa maoni tu mtandaoni au mwanaharakati? Kama ndiyo, wa mlengo gani? Thread inayofata itaanza kwa kujibu swali la kwanza kwenye hadidu za rejea (Terms of Reference)
Indonesia
80
25
126
55.1K
CyberKitz
CyberKitz@cyber_kitz·
@fbuyobe Umetolewa nje kwa Dhamana halafu ukapita vizuri Mpakani kwenda nchi jirani? Ulikuwa unatumia njia gani kuripoti kipindi hauko nchini kwako? na ilikuwaje rahisi kutoka nje na kurudi ndani wakati tumeona Mhe. @HecheJohn wakizuiliwa kwenda kumzika Mzee Raila.
Filipino
1
2
28
1.7K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
This part disqualifies the all fabrication? Script zenu hapa zinagoma. So huyu RCO yupo upande wa nani? Kama yupo upande wangu kwa nini atake tena kuniumbua? Si anaharibu script? Sasa kwa hii story, Ukweli ni upi? Ni kweli nilikamatwa au tulishirikiana na polisi kutengeneza tukio?
Hilda Newton@HildaNewton21

Nimuuliza Mshabaha kwanini hakuniuliza, aliniambia kwamba walimuomba asiniambie. Nilimpigia simu Buyobe, nikamuuliza kwanin alimdanganya Mshabaha kwamba mimi ni Girlfriend wa Msuya wakati anajua mimi na Msuya hata hatufahamiani, alijiumauma sana mwisho akajitetea kwamba Msuya alimdanganya. Baada ya hapo ndo nilipost picha ya Msuya kuomba watu wanipe taarifa zake, na watu wengine pia wakapost. Taarifa zikaanza kutiririka ndo hapo tukajua kuwa Msuya baada ya kupiga tukio jioni ya siku hiyo hiyo, alionekana maeneo ya Namanga akivuka kuelekea Dar wakati huo Buyobe yeye alikimbilia maeneo ya Busia (Hii ni kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe) na hapo alifanya bila kuwasiliana na mtu yeyote hata wale waliompokea hakuwajulisha, licha ya kwamba awali wakati anafika alisema haijui kabisa Kenya ni mara yake ya kwanza kufika Kenya. Kupitia taarifa izo tulizopokea ndo tulijua kwamba Msuya na Buyobe ni marafiki tangu Buyobe akiwa anafanyakazi Tanroads na zamani walikuwa wakiishi majirani, maeneo ya Ubungo Msewe. Msuya baada ya kufika Dar alimpigia simu @ExMayorUbungo, akamuomba waonane maana anachafuliwa mitandaoni, Bony alikubalia so Msuya akaenda nyumban kwa Bony, alikiri kwamba ni kweli alienda Nairobi, ni kweli alionana na Mshabaha, Buyobe, Aziz na wale Wakenya wawili ila akasema hausiki na utekaji na wala hakuwepo kwenye tukio kabisa. Wakati Bony anazungumza na Msuya Buyobe alimpigia simu Msuya, akamwambia na yeye amekimbilia Busia maana ameona baada ya hilo tukio wale watoto watamng’ang’ania, wakapiga story kidogo then Buyobe akakata simu. Badae Bony alizungumza na Mshabaha ili asikilize na upande wake, Mshabaha akamueleze tukio lote akampa na ushaidi wa namna ambavyo Msuya amehusika. Bony alimpigia simu Msuya, akamuuliza wewe umesema haukuwepo eneo la tukio, mbona maeneo yote mlikopita unaonekana kwenye CCTV ukiwa pamoja nao, Msuya akamwambia ngoja kwanza nitakupigia ndo akapotea mazima. Baada ya kufeli kwa mpango wa kumteka Mshabaha na Wanaharaki wengine, Buyobe alirudi bongo licha ya kwamba alisema maisha yake yapo hatarini, Mafwele anamuwinda. Naomba niwarudishe nyuma kidogo baada ya Buyobe kuachiwa kwa dhamana alimpigia simu @IAMartin_ akamuelezea kwamba anaomba msaada wa Wakili kwasababu anatakiwa kwenda kuripoti Polisi. Aliunganishwa na Wakili then siku ya pili akasindikizwa kureport, wakati wanafika Chang’ombe Polisi njee ya kituo wakakutana na RCO, RPC, OCCID na Askari wengine ambao ni wapelelezi pamoja na Wanachama wa Chadema ambao na wao walikuwa wameenda kuripoti. Mashuhuda wanasema RCO alimuita Buyobe “Wewe njoo hapa” Buyobe akasogea walipo. RCO akamwambia chuchumaa chini, Buyobe akachuchumaa, RCO akamwambia, tumekupa dhamana kwanini umeenda mitandaoni kutushambulia kwa mambo ya uwongo au Tukufutie dhamana? Buyobe akaanza kujitetea kwamba account yake ya X (Twitter) inaendeshwa na watu wengi na aliyewashambulia kupitia account hiyo ni Martin Maranja Masese, RCO akachukua pen na karatasi akaandika jina la MM ili akamatwe na kuhojiwa, Halafu kipindi hiko ilikuwa ni baada ya Oktoba 29 watu walikuwa wanapewa kesi za uhaini sana. Wakili aliyemsindikiza pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chadema waliokuwa pale njee wakamwambia Buyobe “Oya vipi mbona unataka kufanya mambo yawe makubwa, kwanini unataja watu ambao hawausiki” walimind sana. Badae Wakili alimshauri aombe msamaha, ndo Buyobe akaomba msamaha na Wakili nae akawa anakazia kwa kuwambia Polisi wamsamehe. Sasa wakati anaomba msamaha RCO na RPC wakaanza kumuuliza kwamba “Tuwaambie hawa watu wa Chadema ili wakujue wewe ni nan, unajifanya wewe ni mpambanaji/Mwanaharakati wewe ni Mwanaharakati kuanzia lini? Pale pale mbele ya wanachama wa Chadema na Wakili, Buyobe akaanza kuomba msamaha huku akimsihi RCO asitoboe siri “Nakuomba mkuu usiseme” RCO akawauliza watu wa Chadema kwamba nyie mnamtetea huyu jamaa mnajua vizuri? Watu wanasema kila mmoja alibaki anashangaa maana walikosa majibu wakati huo Buyobe yeye alikuwa amenywea, kimya!. Inaendelea part 4👇

Filipino
26
5
61
19.1K