Daniel Mkisi

101.9K posts

Daniel Mkisi banner
Daniel Mkisi

Daniel Mkisi

@danielmkisi2024

All about my thoughts nothing else guys. . God bless us abundantly.

Mwanza Katılım Ağustos 2018
30.6K Takip Edilen46.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Daniel Mkisi
Daniel Mkisi@danielmkisi2024·
Kila jambo gumu katika maisha lina sababu ya kukutoa hatua moja kwenda hatua nyingine. Inaweza kuwa ni hatua ya utukufu zaidi.
Indonesia
5
14
43
2.4K
TricyLove🦁
TricyLove🦁@amprincess9·
Tubarikiwe tutokapo na tuingiapo🙏
TricyLove🦁 tweet media
Filipino
31
78
407
7.8K
MrBlack™
MrBlack™@KE_MrBlack·
Ukipata mali kama hii ni nini ingine unataka in life?
MrBlack™ tweet media
Eesti
499
112
1.1K
48.3K
Joyce Evaristi
Joyce Evaristi@JoyceHuru·
Taarifa za Zungu zitatolewa n mamlaka husika!
Joyce Evaristi tweet media
Indonesia
58
44
1K
104.2K
KOT OCS👮👮
KOT OCS👮👮@WaruiJohn2·
UCL Predictions today Sporting 2-2 Bodø/Glimt Chelsea 1-2 PSG Man City 2-3 Real Madrid Arsenal 3-1 Leverkusen
English
55
69
733
18.2K
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Leo nimeweka jiwe la msingi katika ujenzi wa matanki 15 ya kupokea mafuta, Kigamboni mkoani Dar es Salaam. Mradi huu wa kimkakati ambao ni utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2025 utaimarisha usalama wa nchi yetu kwani, kwa mara ya kwanza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) itakuwa na matanki yake, hali itayotuhakikishia upatikanaji toshelevu wa mafuta kwa kipindi kirefu zaidi. Aidha, utaimarisha nafasi ya Tanzania kama kitovu cha biashara na uwekezaji kwa kupunguza muda wa meli kushusha mafuta kutoka siku 22 hadi siku 7, muda wa meli kuhudumiwa gatini kutoka siku 7 hadi siku 1 na kupunguza gharama za uagizaji wa mafuta. Ufanisi huu utaifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa shindani na kuwa chaguo la wafanyabiashara wengi zaidi. Katika kuhakikisha mradi unakuwa na tija, nimeelekeza Wizara ya Uchukuzi pamoja na TPA kuwa, kipaumbele cha ajira kiwe wananchi wanaozunguka mradi, pia zisimamie utekelezwe kwa wakati na kwa ubora unaozingatia viwango vya kimataifa na ulinzi wa mazingira.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
44
94
226
16.9K
Daniel Mkisi retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
SERIKALI YOYOTE INAYOUA RAIA WAKE INASTAHILI KUONDOLEWA MADARAKANI KWA STYLE YOYOTE ILE…..
Indonesia
106
228
1.5K
49.1K
Daniel Mkisi
Daniel Mkisi@danielmkisi2024·
Simba wamepiga mpira mzuri kabisa, kama Dodoma Jiji mbovu waulize Yanga. Habari wanazo, siku zote hisani ya Refa inawaokoa.
Indonesia
0
0
10
153
Daniel Mkisi
Daniel Mkisi@danielmkisi2024·
@Tweener003 Hapo bado haijanyesha ya kilo saba, lazima kutafutana kabisa.
Filipino
0
0
2
426
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Mbagala ya Mama 😅😅😅
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
47
60
619
25.9K
Daniel Mkisi
Daniel Mkisi@danielmkisi2024·
Hata Uongo una mwisho siku zote, njia ya mwongo si ndefu sana.
Indonesia
0
0
3
115
Daniel Mkisi
Daniel Mkisi@danielmkisi2024·
@DRyoba Kabisa maana alipita kqwnyw Bonde la uvuli wa Mauti.
Indonesia
0
0
1
8
Daniel Mkisi
Daniel Mkisi@danielmkisi2024·
Mimi peke yangu nimepona,mimi tu kukuletea habari.
Indonesia
1
1
3
169
Daniel Mkisi
Daniel Mkisi@danielmkisi2024·
@xlusako We jamaa mbona umeuliza swali gumu sana?
Indonesia
0
0
0
39
Daniel Mkisi
Daniel Mkisi@danielmkisi2024·
Hakuna mtawala mbaya kwenye Biblia kama Ahabu.
Filipino
0
0
0
83
Daniel Mkisi
Daniel Mkisi@danielmkisi2024·
@davitheempire Wanajitenga naye maana damu ya watu haijawahi kuacha kunena. Muulize Kaini baada ya kumuua Habili.
Indonesia
0
0
0
181
Daniel Mkisi
Daniel Mkisi@danielmkisi2024·
@chapo255 Yaani wakija unaambiwa maneno kibao, shida kubwa ukija kulipa ndio utajua adha ya mkopo.
Indonesia
0
0
2
234
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Mikopo ya bank Bongo ni utapeli sana. Kwanza utakatwa makato ya kijinga utasikia ‘Transfer fee” na takataka nyingine kibao, unakopa milioni 20 unapewa milioni 17.5 😂😂 unarudisha milioni 35 jichanganye ufanye topup unaweza usimalize mkopo hadi unakufa akalipa mjukuu😂
Dr. Kala. MD@kalegamyeh

Nilienda bank moja hapa mtoni kuulizia mkopo. Wakaniambia riba ni 10% kwa personal loan. Mfano ukichukua million 10 utalipa milion 11 ndani ya miaka mitano. (Mikopo ya biashara mpaka 3%) Bank za bongo unaambiwa riba 16% kwa mwaka. Mtumishi anaweza kopa milion 10 akalipa million 25 ndani ya miaka mitano. Yaani riba ni kubwa kuliko mtaji uliochukua. Ndio maana kila mwaka wanatangaza faida ya mabilioni.😃

Indonesia
20
15
207
20.9K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Hili jamaa ni LISENGE sana. Kila likiongea ni USENGE tuu.
SIR TIVA tweet media
Suomi
31
42
530
22.4K
Futbal Planet ✴️
Futbal Planet ✴️@PlanetFutbal·
🚨Timu zote nne za Tanzania 🇹🇿 zimetolewa katika hatua ya makundi ya michuano ya CAF msimu huu UNADHANI kipi kimesababisha timu zetu kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali_____!?
Futbal Planet ✴️ tweet mediaFutbal Planet ✴️ tweet media
Indonesia
39
4
106
5K