




Yonah Mussa
1.5K posts

@dds_yonah
Global Health Advocate| Young African Leader| Building @Kinywasalama|Alumni @theAOHAB 25'|Excom @tdsa_tanzania |Project Lead @YunaMuhas| SDGs Volunteer|






@mduduJnr Eg: Imagine a career platform for orphans.. mentorship, training, job matching, business startup support. A pipeline from “vituoni” to visibility. Mifumo.



Unamtibia mgonjwa meno vizuri anakushukuru kwa huduma ile unajaza taarifa zake yeye yupo bize kuchukua simu yako anaweka mfukoni kwake bahati nzuri simu inaita kwa sauti anakwambia alijua yake kuna watu miyeyusho sana …! 😂🗑️ Yani hajui kutofautisha iPhone na infinix !?




@PharmLaurent It definitely will be. I think you should collaborate with the likes of @Josefchubi & @dds_yonah for this thread as well along with other young people in #Tanzania running their own startups or organizations. It's not as easy as many seem to think it is. Looking forward!

Siku ya Jumamosi Rais wa chama Cha wanafunzi wa kada ya kinywa na meno Tanzania Mh.Abdalah Mohamedi @Dr_Alwatan_DDS atatembelea chuo Cha Mgao HT kilichopo Njombe..katika Ziara hii Raisi atakutana na wanafunzi pamoja na kufungua rasmi tawi jipya la TDSA Mgao Chapter.. #oralhealth



















Nimefurahi kushiriki kipindi cha THE PHARMACIST na Host @AdamJMohamed ambapo nimegusia mchango wa wanawake katika maendeleo ya sekta ya afya; kama sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Kutazama interview yote, BOFYA: youtube.com/watch?v=oNrgWo… #DaktariMwandishi #IWD2025

JOIN THE “ *A* *HAPPY MOUTH IS A HAPPY MIND SHORT VIDEO CHALLENGE* ”! 🌟 Your mouth happiness, is your mind happiness!😇 🦷 *Show your creativity by sharing a video(of not more than 45 seconds ) explaining the theme “A Happy Mouth is a Happy Mind.” and how it can bring positive

