Deo

7.3K posts

Deo banner
Deo

Deo

@deo_edward

Diplomat I Marketer I Translator I Agri business Fanatic. Kiswahili | English | French B.A Political Science and Language - Udsm.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2018
2.5K Takip Edilen672 Takipçiler
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
“Mataifa makubwa hayafi kwa kushindwa vitani; yanakufa pale kizazi kipya kinaposahau mbinu na nidhamu zilizowafanya wazazi wao kuwa washindi.” – Polybius Tafsiri: Utajiri wa vizazi siyo kuwaachia watoto pesa na mali pekee; bali pia “Ramani ya kivita” - Financial literacy!
Indonesia
2
1
3
172
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
Oyaaaaaaa! 🗽 KUTOBOA ni VITA. Bila KUTEKELEZA hizi ‘OPERATION 6’ za KIJESHI kimkakati ni ngumu kumshinda ADUI ‘umaskini’ na kupata ‘uhuru wa kifedha’ kamili. TAMKO la VITA: Umaskini ni adui anayekushambulia kila siku. Mkabili. 🧵 [Thread] - Retweet, kisha songa mbele👇
Edwin F.M tweet media
Indonesia
4
33
73
5.4K
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
Huyu akipona 100% beki gani wa kumpisha pale kwenye First eleven ya Simba sc????
MTANZANIA 🇹🇿 tweet media
Filipino
45
18
553
16.2K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kuna mkutano wa Wasababto unafanyika Njombe apo nimeona wamefunga projector sehemu nyingi sana hapa Dar es salaam. Na kiongozi wao anasema mkutano wao unaonekana Tanzania nzima pamoja na nchi za jirani. Dar nimeona sehem tatu wanafunga projector ikifika jioni wanaangalia
Indonesia
42
44
534
21K
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Moyo wangu una furaha tele na hiki kilimo Karibu shambani Uhakika wa mavuno ni 90% Ekari 1 gunia 40+ Plot 1 Gunia 600 Mataji kwa ekari moja 1.2m= Mavuno 4m Mtaji kwa plot moja 20m=Mavuno 60m
Thomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet media
Indonesia
29
30
294
12.5K
STUNNA
STUNNA@CavityDamas23·
@deo_edward We jamaa 😂😂😂😂
हिन्दी
1
0
0
265
STUNNA
STUNNA@CavityDamas23·
Morogoro kumbe hakuna uwanja wa ndege😳 Lakini songwe wana uwanja au kwa sababu songwe kuna makaa ya mawe
STUNNA tweet media
Indonesia
25
21
255
12.3K
Swahili Agribusiness 🇹🇿
Nimeandika sana miradi ya ng'ombe, nimekutana sana na matajiri wa sekta hii Fursa ni hizi.. 1. Unenepeshaji 2. Kufuga mbuzi kisasa 3. Kuunganisha Bucha na mnyororo wa baridi mijini Big capital, Big Revenue 💰
Swahili Agribusiness 🇹🇿 tweet media
Indonesia
4
4
30
419
Deo
Deo@deo_edward·
@Jaguar_455 Nikiona mtu hajui hata kuandika huwa siumizi kichwa
Indonesia
0
0
0
8
JAGUAR.
JAGUAR.@Jaguar_455·
Huyu mchezaji kama simba ingekuwa inashiriki Cuf. Angekuwa ni miongoni mwa wachezaji wabovu kuwa kutokea Tanzania. Ila kwa kuwa anacheza na dodoma jiji, kmc, inakuwa ngumu kuona makosa yake. Boll control mbovu, dribbling mbovu, yani first touch yake tu unamuona.
JAGUAR. tweet media
Indonesia
108
11
177
33.1K
Deo
Deo@deo_edward·
Biashara ipi inabamba fasta ukiwa na mtaji wa maana. 1.Kuimport pombe 2.Kuexport Mazao 3.kuimport mbolea Karibuni wataalamu
Indonesia
2
1
3
148
Msafiri
Msafiri@MsafiriLus24939·
Lipi ni jiji lako pendwa? 1:Dodoma 2:Tanga 3:Arusha 4:Mwanza 5:Mbeya 6:Dar
Indonesia
102
44
177
14.8K
Dada Tuku🌹
Dada Tuku🌹@Mwanzalimaa·
“Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako,kama vile roho yako ifanikiwavyo”.3 Yoh 1:2 Happy Birthday to me 🎂🎉🥳
Dada Tuku🌹 tweet media
Filipino
56
41
303
7.3K
Leonard Njoroge
Leonard Njoroge@Njoroge761·
Leoney761 Grains mchele bora,utamu wa familia. Mchele mkukuu hii ya moto Mbegu-sukari Kutokea-Misungwi(Sumbugu) Upo store kwetu Mwanza-Usagara
Indonesia
1
3
5
170
Deo
Deo@deo_edward·
@nuru_yumyum Maisha ndivyo yalivyo changamoto zake pia huzijui
HT
0
0
0
8
Nuru🌹🌹
Nuru🌹🌹@nuru_yumyum·
Mhubiri 12:1 [1]Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo. Have a blessed Easy Sunday Friends ❤️❤️❤️
Nuru🌹🌹 tweet media
Filipino
9
9
74
2.8K
Deo
Deo@deo_edward·
@fbuyobe Sema mzee umejichapa mweleka na kuharibu réputation yako yote
0
0
0
317
Deo
Deo@deo_edward·
@Eric__Bernard Jamaa kaumbuka vibaya Sanaa mwisho wa ubaya ni aibu
Indonesia
0
0
0
219
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Uzuri wa leo hamna kusogelea Telegram tunapata story hapa hapa 😂
Indonesia
43
26
432
15K
Deo
Deo@deo_edward·
@ItsKamala Rwanda vijana wanaitendea kazi Nchi yao
English
0
0
0
210
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
Seriously Tanzania inahitaji PR ya kimkakati tunaweza kudhani hawa the so called Chawaclass they branding a country but wanaipa Nchi PR Mbovu sana Sijui ila kwenye government kitengo cha Habari hatuwezi kubeba upande wa propaganda tu lazima kuwe na professionals
Indonesia
10
8
55
9.2K
Deo
Deo@deo_edward·
@HildaNewton21 Nadhani itakuwa mwisho sasa wa yale ma utumbo yake ya sogelea telegram,ametumika kama toilet paper Dunia imeflash
Filipino
0
0
0
434
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mashuhuda wanasema RCO na RPC walimuwashia moto sana, badae wakamwambia awafuate ili akatoe maelezo ya ziada so wakaingia nae ndani ya kituo cha Polisi. Walipoingia ndani kuna baadhi ya Wanachama wa CHADEMA, walijiongeza wakawafuata wale Askari waliokuwa pale njee, wakawauliza kwani Buyobe ana issue gani kubwa mpaka kamuomba RCO asiiseme mbele yetu? Wale Askari wakawajibu kwamba walipoenda kumkamata Buyobe nyumbani kwake Kigamboni alijitambulisha kuwa yeye ni ofisa wa TISS, wakamchukua na kuondoka nae kulekea kituo cha Polisi Chang’ombe. Walipofika Polisi wakamuomba atoe password ya simu yake, akatoa wakaingia kwenye WhatsApp yake wakakuta anawasaliana na Mkuu wa Dawati la Siasa wa TISS, Thobias Mwesiga na alikuwa anampa info za watu mbalimbali,(Japo Mwesiga kwasasa kaondolewa kwenye hiyo nafasi) mtu mwingine ambae alikuwa akiwasiliana nae ni Abdul mtoto wa Idd Amin Mama. Lakin pia alikuwa anawasiliana na baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwemo Mawaziri na kote huko alikuwa anajitambulisha kama afisa wa TISS so Polisi baada ya kuona mawasiliano yake na hao watu, hata wao wenyewe waliogopa. So hao Wanachama wakajua issue ni nini so waliondoka zao ila walimwacha Buyobe pale kituoni na Wakili ambae alikuwa kamsindikiza. Mwisho kabisa hii sio vita ya maneno ni uhalisia wa mambo na kwa tulipofika sasa ili kulikomboa Taifa letu lazima kwanza tulindane kwa kuepushana na hatari zinazoepukika. Nawatakia siku njema.
Indonesia
106
237
1.3K
157K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️UKWELI KUHUSU BUYOBE, KWENYE SAKATA LA KUTEKWA MSHABAHA.‼️ Shuka na Thread hadi mwisho👇 Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea. Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha Mafwele, walimvotesa n.k pia alishukuru kwa jinsi tulivompazia sauti. Katika maongezi hayo aliniambia kwamba pamoja na kwamba ameachiwa kwa dhamana bado watekaji wa Mafwele wanaendelea kumfuatilia hivyo maisha yake yapo hatarini , nilimwambia achukue tahadhari maana hao watu hawana masihara, akasema anafikiria kuondoka nchini, nikamwambia ni wazo zuri, akaniambia kama kuna Taasisi yoyote ambayo naijua inasaidia watu ambao wanachangamoto kama yake nimuunganishe nayo, nikamwambia hakuna Taasisi yoyote ambayo naijua so tukaishia hapo. Baada ya siku kadhaa alinipigia simu akaniambia, kwamba yupo mahali nilipo anaomba tuonane, tusalmiane na kufahamiana maana hatujawai kuonana zaidi ya humu mitandaoni, nikamwambia kwasasa siwezi kuonana nae kwasababu za kiusalama, nikamwambia kukiwa shwari nitamtafuta mimi mwenyewe, tukaishia hapo. Baada ya hapo alimpigia simu @Twaha_Mwaipaya akamuomba waonane, Twaha alinipigia simu kuniuliza kama namfahamu, nilimjibu Mwaipaya kwamba simfahamu zaidi ya kumuona online hivyo Mwaipaya na yeye akamkwepa badae akampigia simu @Sativa255 kumuomba waonane. Baada ya issue ya Mshabaha kutekwa ndo nikajua kwamba kumbe wakati anawasiliana na mimi kuniambia habari za yeye kuondoka nchini kuna mtu mwingine ambae alimshirikisha huyo mtu ndo alimuunganisha na @lifeofmshaba ili amsaidie kutoka nchini kwasababu alisema vijana wa Mafwele walikuwa bado wanamuwinda. Alifika Nairobi akapokelewa na @lifeofmshaba na kupelekwa mahali pa kuishi, muda wote alikuwa akidai kwamba anaumwa shingo, kichwa na miguu lakini pia alimwambia Mshabaha vitisho vya Mafwele kusema kwamba atamfira + kuonana na watekaji live ni vitu vilimuumiza sana kisaikolojia hivyo alitafutiwa Mwanasaikolojia lakin alipoambiwa aende Hospital kufanya checkup ili wajue Polisi wamemuumiza kwa kiwango gani ili apatiwe matibabu alikataa. Muda wote wakati Buyobe yupo Nairobi. Mshabaha alikuwa anakwenda kwake kumjulia hali kutokana na madai ya changamoto yake ya afya alokuwa nayo. Siku ya tatu, Buyobe alimpigia simu Mshabaha akamjulisha kwamba, nyumban kwake kuna mgeni ambae na yeye kalazimika kukimbia Tanzania kwasababu Mafwele anataka kumuua akaenda mbali zaidi akamdanganya kuwa mgeni huyo ni Mwanachama wa CHADEMA wakati si Mwanachama wa Chadema. Mshabaha alifika mahali alipokuwa anaishi Buyobe akamkutana huyo mgeni ambae Buyobe alimtambulisha kuwa anaitwa Aidan Msuya ni rafiki ake wa miaka mingi. Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani. Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony. Ili Mshabaha amuamini zaidi Msuya, Buyobe akamdanganya Mshabaha kwamba Msuya ni boyfriend wa Hilda Newton wakati huo anajua fika kwamba mimi na Msuya hatufahamiani kabisa. Mshabaha alimwambia kama anamahusiano na Hilda mpigie simu, Msuya akasema hapana itamletea shida, maana amekuja hajajipanga Mafwele amefunga account zake zote za Bank na kama girlfriend wake, akijua yupo Nairobi na akashindwa kumuhudumia itakuwa aibu sana kwake, haya ni maswali walikuwa wanajibu Buyobe na Msuya kwa pamoja na kwasababu walijua wanasema uwongo, wakamuomba Mshabaha asiniambie chochote so Mshabaha akakausha. Huo ndo ukawa mwanzo wa Mshabaha kumfahamu Msuya ikawa kila akienda kumuona Buyobe anamkuta Msuya kuna wakati walikuwa wanaenda kula pamoja, Mshabaha hakuwa na wasiwasi na Msuya kwasababu ya Utambulisho ambao alipewa na Buyobe, aliamini ni mtu Genuine. Buyobe akatoa wazo wapate gari maana na hali yake ya kiafya na usalama ni muhimu wakawa na gari, mara wazo likawa linafanyiwa kazi na Msuya. Part 2 inaendelea hapa 👇
Hilda Newton tweet media
Filipino
176
414
1.5K
266.8K
Deo
Deo@deo_edward·
@ItsKamala Hawana nyama hawa
Indonesia
0
0
0
10