thatsdck
4.3K posts


@anon_codex Watu hatujakataa ila sio kwa kusema mtu anayelipwa 600k ni bora aache kazi ili akafanye nini?? Akose kabisa au???
Indonesia

@bonifacejoseph_ Wamefika mbali wanasema elimu yako haipaswi hata kulipwa hiyo 600K..😂
Filipino

@bonifacejoseph_ Haya sio maoni ni kudhiaki watu wanaolipwa hiyo ela. Au bhasi tupe hiyo kazi yako yenye 900K tuanze kesho 😂.Mtu akisema 600K ndogo ujue umeme haujawahi kumkatikia niaminini! Hii tweet itakunyanyasa sana humu ndani siku ukihitaji msaada wowote humu wa kifedha. Bookmark this..

Indonesia

@dicksoni96 Sasa kutoa maoni ambayo wao hawajayapenda Kuna shida Gani? Si ndo uhuru wa maoni huo
Indonesia

@Narrowbeeflying Kwani dodoma mjn hawezi kupata chumba na sebule kwa 50000
Polski

@ReganTesla_ Dah! Maisha bhana,
Stay strong utasimama upya, mwenyezi Mungu utupa majaribu ambayo tunayamudu.. Yataisha tu.
Indonesia
thatsdck retweetledi

Sawa Mimi ni keyboard warrior siendi mahakamani wala kwenye shughuli za chama
Naomba picha yako moja ukiwa kwenye shughuli yeyote ya chama chetu ndugu mkeleketwa




Shasila Nabipa@Shasilanabipa
@Mwinshehe07 Nyinyi keyboard worrier huwa mnapost tu humu seeking for attention kwa ground ukoo gheto unajamba tu
Filipino

@MainoKeystone23 @kenafricx21 Siku hizi mi sinunui kifurushi azam labda kama huo mwezi una matukio muhimu ya mimi kuangalia ila bila hivo hiyo ela naongezea nalipia router naenjoy..
Indonesia

@kenafricx21 Azam tv matapeli tuh wafuatilie kwa makini utaja uniambie 😂🙌🏾
Indonesia

@DanyeMufasa 821KJ op makao makuu kuna mwamba Ambali, Kamarebi, mjerumani,Ngutanyi ni omba husiingie kwenye 18 za hawa jamaa hiyo siku utajuta sana,Bulombora ilinifanya nikawa jasiri sana qmmk sijui bado wa moto mpka sasa hwa jamaa..😂🙌🏼
Indonesia

@Mwinshehe07 Waziri wa michezo anafanya kazi za wizara ya utalii, ni huzuni..😁
Indonesia

Rolex hainunui mined gold moja kwa moja kutoka Afrika — kwa mujibu wa taarifa zao rasmi dhahabu wanayotumia hutoka nchi kama Canada, Marekani, Peru, Chile, Argentina, Sweden na Finland huku sehemu nyingine ikitokana na recycled gold kutoka electronics na viwandani
Rolex ilianzishwa mwaka 1905 na Hans Wilsdorf pamoja na Alfred Davis kabla ya kuhamia Geneva, Switzerland. Kampuni hiyo ilijijenga kwa precision, waterproof technology na self-winding movement zilizobadilisha dunia ya luxury watches
Brand ambassadors wao maarufu ni
Roger Federer
Tiger Woods
Carlos Alcaraz
Leonardo DiCaprio
Zendaya
Rio Ferdinand sio sehemu ya kampuni hiyo wala sio brand ambassador wa kampuni hiyo japo ni mteja na anavaa Rolex kama celebrities na wateja wengine duniani
Thamani ya brand ya Rolex inakadiriwa kuwa kati ya dola bilioni 10 hadi 16+ kulingana na tathmini mbalimbali za 2025, huku kampuni ikiendelea kuwa moja ya luxury watch brands zenye nguvu zaidi duniani


Indonesia

@Sirajitz1 Ruvuma hii yenye mbinga ya kahawa na makaa ya mawe..😂
Indonesia


















