gap star

111 posts

gap star

gap star

@GMapalala98

Katılım Ocak 2025
118 Takip Edilen12 Takipçiler
gap star
gap star@GMapalala98·
@HabiibYahyaa Akitamka kweli ivo mapema tu tutamsahau nayeye do not play trump young boy
Filipino
0
0
0
3
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚
"Baada ya Miaka 15 Hakutakuwepo Tena Nchi inayo itwa Israil Katika Uso wa Dunia, Hii ni Falsafa ya Ya nchi na sio msimamo wa mtu mmoja kama kiongozi, Jamuhuri ya kiislamu itasimama katika Jukumu la kuifuta Israil mazima, Tumeanza Vizuri na tutahakikisha hilo" Ayatollah Mojtab Ali Khomenei
Indonesia
11
6
68
3.3K
Chapo Guzmán 🇹🇿
Chapo Guzmán 🇹🇿@GuzmnChapo1·
Wachambuzi wanauliza okello mbona anazifunga timu ndogo na sisi tunawauliza kwani Okello kacheza na hizo timu mara ngapi? na wametoka ngapi ngapi na hizo timu kubwa?
Filipino
5
5
20
413
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Imagine una capital ya million 20 leo. Unadhani ni biashara gani Bongo zina potential kubwa zaidi miaka 10 ijayo?
Indonesia
28
8
114
8.5K
Jeany
Jeany@jeju_julius·
TUWE WAKWELI NANI ATASCORE JUU YA 50 HAPA Upo single = 10 Hujawai date = 10 Bado bikra = 10 Hujawai kukiss = 10 Hujawai tumia kilevi = 10 Hujawai cheat = 10 Hujawai kumasturbation 10 Hujawahi sema uwongo 10 Hujawai vuta sigara 10 Hujawai nunua malaya 10 Ume score ngapi?
Indonesia
52
13
65
4.6K
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
@Kil0voltI "Kwenye watu 1000 walio graduate huenda 50.." naomba research uliyokuja na hyo conclusion.
Indonesia
2
0
0
209
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
Kwa mim ninae ishi Majimoto, Mpanda mkoani katavi; Kodi-20k Maji-Kisima Umeme- 5k Chakula-ef 50, huku mchele kilo buku Usafir-Natembeaga Internet- 10k Dharula- sijawahi pata Msaada kwa familia- wazaz bado vijana Sadaka-sisalig Total 85k Hv mnahis kila mtu anaishi Dar humu ?
Kilo-Volt@Kil0voltI

Tuivunje 600k (kwa kijana aliyetoka chuo) Kodi - 100k Maji - 10k Umeme 15k Chakula - 150k Usafiri - 60k Internet/airtime - 20k Dharula - 50k Msaada kwa familia - 50k Michango ya kijamii - 30k Sadaka - 40k Total 525,000/= Kuna vitu neglected hapo. How 600k ni nyiiingi???

Indonesia
14
6
45
2.4K
gap star
gap star@GMapalala98·
@Kicheche_jr Kama iyo kazi inachukua 90% ya mda wako hakuna sehem utaenda
Indonesia
0
0
1
35
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Mimi hiyo 600k ndio napewa mimi kwenye kibarua changu kila mwezi, nina familia, tunakula kama wengine fresh na huwa nakutanisha na mwezi mwingine. This month nilikuwa nmebakiwa na 80k kutokea April na ndio mwezi nmetumia matumizi makubwa. Halafu bachela anasema haitoshi.
Filipino
4
2
32
981
MILOS KERKEZ
MILOS KERKEZ@GoatSzobo·
@GMapalala98 @Narrowbeeflying Nenda katavi ukajionee ,sio cheap hivyo unavyowaza ..vitu ni bei kubwa mikoani kuliko Dar. isipokuwa vichache vingi vinavyolimwa eneo husika ila kama pia vinatoka mbali ..bei yake ni kubwa pia.
Indonesia
1
0
0
42
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Mwanangu mmoja Tamisemi wamempangia Dodoma mjini take home 610k. yani Dodoma halafu "Mjini?" 😁
Indonesia
58
29
786
60.7K
gap star
gap star@GMapalala98·
@OleSangka kuimarisha biashara ambayo tayari ipo na unajua fika mzunguko wa biashara yako. Haukopi kwa matamanio yako ila unakopa kwa sababu unachotaka kufanya ndo kinataka ukope
Filipino
0
0
2
126
gap star
gap star@GMapalala98·
@OleSangka Mfano tu wewe ni ticha ukikopa m35 uwezekano wa kuferi ni mkubwa sababu huna mda wa kusimamia icho utakachokifanya. Juzi jamaa yangu nikawa namshauri anataka akope ml15 afungue agrovet yaani akakope ndo afungue imagine akili ya wapi hiyo Usikope kuanzisha biashara mpya kopa
Indonesia
2
1
3
774
Olesangka
Olesangka@OleSangka·
hivi anajua 600k Take home basic yake ni ngapi huyo? tena ukute ni permanent and pensionable, alafu ana access ya Loan marejesho sasa hivi mabank yanaenda mpaka 11 yrs so akisema achukue mkopo hamna hamna hakosi 35M. wengine sasa hivi tutachapa sabini akili zirudi factory setting
Filipino
9
13
152
11.6K
gap star
gap star@GMapalala98·
@Kingston_Kappa Mfano mwingine kama umewahi kuajiriwa utanielewa mtu anaelipwa laki 5 mpka 6 take home Anaweza akamaliza mwaka hajashika ml 1
Indonesia
0
0
0
15
gap star
gap star@GMapalala98·
@Kingston_Kappa amekuacha mbali mno sababu uwezekano wa kukua kwenye biashara zake na harakati zake ni mkubwa sababu ana mda mwingi wa kujiamulia mambo wewe 90% ya mda wako utakuwa fixed kwenye ukitumikia iyo laki sita ambayo haiwezi ata kupanda mpka kuwa 1M baada ya miaka mitano hiyo ndo hoj
Indonesia
1
0
0
15
Broski_
Broski_@Kingston_Kappa·
Wewe hapo ulipo inakuchukua muda gani kuipata 600k??? Hapo ndo utakujua kama ni kubwa au ni ndogo kwako..
Indonesia
19
8
69
4K
gap star
gap star@GMapalala98·
@leo_unsc Mimi huwa naona Mungu akikupa namna ukawa na harakati zako mtaani zinakanyooka ata kama sio asilimia mia una chance ya kutoboa na kuwa na maisha ya freedom kubwa zaidi kuliko anaelipwa mara 12 kwa mwaka
Filipino
1
0
2
90
leo
leo@leo_unsc·
Swala la kulipwa mara 12 kwa mwaka wakati unatumia ela kila siku nalo ni ujinga km ujinga mwingine.
Indonesia
7
13
83
2.9K
gap star
gap star@GMapalala98·
@therealrigoh @zed_ogtz Umechanganyikiwa 😅 aaingekuwa huko aliko hii ligi mchezaji yeyote ambae hachezi kariakoo au chamazi hawezi kuanza na kuwa na consistency kwenye hizi timu tatu Mfani,chasambi,tepsi evance,karabaka,nawengine wengi
Indonesia
0
0
0
2
ochola..🦅⚠️
ochola..🦅⚠️@therealrigoh·
Yule Paul Peter wa JKT ana msimu Bora kuliko hata huyo chama mnayemsifia hovyo Sema tu chama yupo kwenye timu ambayo mashabiki wake wanampa PR kubwa tu 😎
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
2
6
18
162
gap star
gap star@GMapalala98·
@GoatSzobo @Narrowbeeflying Ukiwa katavi basic needs nyingi bei ni cheap Unajua gharama kubwa huwa ni chakula katavi unaweza kulima eca mbili ukaja kuvuna ukapata mahindi ya kuendesha maisha yako mwaka mzima,katavi pango la 60000 unakaa mpka na ndg kutoka upande mkeo🤣
Filipino
6
0
1
487
MILOS KERKEZ
MILOS KERKEZ@GoatSzobo·
@GMapalala98 @Narrowbeeflying Halafu unajua kuna vitu ambavyo ni bei kubwa ukiwa katavi kuliko Dar. Bidhaa za importations lazima ziwe bei kubwa kuliko dar sababu usafiri na biashara ni nyingi hapo kati. Ila kuna vitu ni bei rahisi pia.
Indonesia
1
0
1
707
gap star
gap star@GMapalala98·
@YoungAfricansSC @PPentrela Afunge goli mbili zidi ya simba au azam au champions league kuanzia robo fainal Mnamu over rate tu uyo dogo ni wakawaida tu 26 years na anacheza nbc nayeye mpira wake utaishia kwenye league za kawaida kama nbc Ila mnavompamba utafikiri anaweza zima ad EPL
Indonesia
1
0
3
315
meku mjanja
meku mjanja@PPentrela·
Tangu ligi ianze nikumbusheni ni nani aliwahi kufunga goli mbili mbili kwenye mechi 4 mfululizo tofauti na okkelo 🆚Coastal ⚽️⚽️ 🆚Dodoma Jiji ⚽️⚽️ 🆚Singida BS ⚽️⚽️ 🆚Namungo ⚽️⚽️
meku mjanja tweet media
Indonesia
11
20
569
15.7K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
@GoatSzobo Lazima wanazingatia pia na location hivi 610k au 540k mtu anakaaje mjini?
Indonesia
5
0
12
3.9K